tamthilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teko Modise

    Waigizaji wa Tanzania wana la kujifunza kwenye tamthilia ya Mpali

    Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao. Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa yaani. Director analazimisha story isiidhe ili aendelee kupiga pesa. Matokeo yake inapoteza mvuto...
  2. Mufti kuku The Infinity

    Msaada: Kuna namna ya kupakua tamthilia za Mexicans, Brazilians?

    Sana sana nahitaji Da Cor do Pecado /Shades of sin. Mwenye anajua namna ya kuipata hii mtandaoni, hata kwa kulipia 🙏🏻🙏🏻
  3. The Transporter

    Azam TV (Sinema zetu) itoeni hii tamthilia ya Nazi Bubu

    Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu. Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya...
  4. CONSISTENCY

    Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Binafsi nasikitika kuona Tamthilia hizi za Kituruki, kihindi, kikorea, kichina, kiarabu n.k zilizotafsiriwa kwa lugha yetu ya Taifa kiswahili zinazooneshwa sana muda mwingi katika chanel zetu maarufu nchini hasa Azam kila nikiingia nyumbani, saloon, bar, hotel n.k. Serikali hasa Wizara ya sanaa...
  5. passion_amo1

    Anayefuatilia hii tamthilia anihadithie

    Wakuu habari za uzima na poleni kwa majukumu. Najua wengi huwa tunafuatilia Tamthilia, maana nyingi hufundisha mambo yanayotokea katika jamii. sasa mama watoto Huwa ninamuhadithia kuhusu tamthilia ya SIRI, na yeye huwa ananihadithia za Jua kali na zingine nyingi, sasahiv yupo na hii ya Azam...
  6. wanzzuki

    Natamani nije niwe mwandishi wa filamu au tamthilia, nishaurini nianzie wapi?

    Shikamooni wakubwa zangu, sina mda mrefu sana hum jamii forum ila nlichogundua asilimia kubwa hum mnautambuzi wa mambo tofauti tofauti,ata kwa hili langu naamin hamtashindwa kunipa mawazo. wakuu mimi nna kipaji cha uandishi wa hadithi au simulizi tofauti tofauti, nna stori nyingi sana ambazo...
  7. Carlos The Jackal

    Tamthilia ya SIRI , imekaa kimchongo, ila Inaonyesha namna gan GOOD BOYS ,wakikutana na Wadada wa mjini , wanapelekwa mikono juu mwendo wa mateka 😅

    Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!. Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI. Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
  8. E

    Kuna Tamthilia huko leo ni siku ya Nne inaonyeshwa safari ya Dk 25 , Bongo movie mjitathimini

    Bongo movie mjitathimini , Tamthilia ya Huba leo ni siku ya nne inarusha scene ya safari toka Zanzibar to Dar . Humo ndani siku zote hizo nne hakuna cha maana kinarushwa humo ndani ya ndege zaidi ya majungu na vijembe . Mtalaumu sana watu hawafuatilii but mnaboa .
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Tamthilia ya Huba haiendani na jina lake. Kinachoendelea ni upotoshaji na uhuni

    TAMTHILIA YA HUBA HAIENDANI NA JINA LAKE. KINACHOENDELEA NI UPOTOSHAJI NA UHUNI TUU. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanafilamu wengi walikuwa wakilalamika hakuna wawekezaji katika tasnia ya filamu ndio maana kazi zinazotoka ni mbofumbofu. Miaka ya hivi karibuni kumetokea mabadiliko kidogo...
  10. mangiTz

    Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo. Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
  11. Eli Cohen

    Misiba ya watu weusi ni tamthilia tupu!

    Misiba yetu huwa ni event fupi yenye mambo mengi ya ajabu, yakuchekesha, kuhudhunisha na kustajaabisha. Misibani huwa ndio fursa nzuri kwa ajili ya wambea na wanafiki. Wanatunga stori kuhusu kifo na maisha ya familia yenye msiba. Unakuta kuna vikundi vikundi vya wakina mama, vya wakina baba...
  12. C

    Msaada kupata hii tamthilia ya Kiswahili

    Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika. Youtube kuna episodes chache tu.
  13. K

    Kwa waliotazama tamthilia ya Jumong wataona Rais Samia ana mtazamo ule ule katika kujenga Tanzania yenye nguvu

    Tamthilia ya Jumong inaelezea mengi, magumu kwa mepesi ya kiongozi anayokutana naye anapotaka Kujenga nchi yenye nguvu. Na haya ni baadhi: I. Atakutana na kukosolewa vikali na kupingwa na hata walio karibu yako. Kwenye Jumong tunaona mtu wa karibu sana wa Jumong, Mfalme Geumwa alipoona nchi ya...
  14. Reptilia

    Nawezaje kuzipata tamthilia za zamani za kibongo kama vile Taswira, Ngurumo, Radi na Safina?

    Mu hali gani wadau poleni na mchakato mzima wa DPW pamoja na TEC. Rejea kichwa cha habari hapo juu nataman sana kuzipata hizo tamthilia nimejaribu kuzitafta youtube na platform mbali mbali lakin siku hambulia chochote TASWIRA NGURUMO RADI SUNAMI dah kitambo sana nadhan miaka ya 2005 hivi,mwenye...
  15. BARD AI

    "Fezco" Muigizaji wa Tamthilia ya Euphoria afariki dunia akiwa na miaka 25

    Cloud amefariki dunia akiwa na miaka 25 kwa kile kilichoelezwa na familia kuwa ni tatizo la Afya ya Akili ikiwa ni wiki 1 tangu atoke kwenye mazishi ya baba yake mzazi. Kupitia tamthilia za Euphoria inayotayarishwa na kampuni ya HBO, alifahamika kama Fezco ‘Fez’ O’Neill ambaye ni Muuza Dawa za...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Dogo Edu wa Tamthilia ya Pazia ndiye muigizaji Bora kijana atakayekuja kushika Bongomovie

    Habari Wakuu! Leo Kwa habari za Burudani na Sanaa, nimekuwa nikifuatilia Tamthilia za hapa na pale za bongo kama sehemu ya kusapoti na kuona kile wakifanyacho wenzetu katika Tasnia hiyo. Nikakutana na Dogo mmoja hivi ambaye ameigiza kwenye Tamthilia ya Pazia, namfahamu Kwa jina moja "EDU"...
  17. Kalpana

    Tamthilia ya Unfaithfull Azam Tv ni ya moto

    Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi.. Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani... Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin Karibuni...
  18. Andre-Pierre

    Tamthilia ya Jua Kali ilipaswa iishe siku nyingi

    Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi. Bill kashajua mama yake ni aunt Zai, Maria na Frank kila siku vitimbi kama ilivyo femi na luka kila siku drama za kufumaniana...
  19. Msanii

    Chama cha wauguzi Tanzania (TANNA) na sakata la tamthilia ya Zahanati ya Kijiji. Ukimya wa Bodi ya Filamu unatoa mwanya wa unyanyasaji

    Chama cha Wauguzi TANNA wametoa waraka unaoelezea sakata lao na waandaaji wa thamthilia ya Zahanati ya Kijiji onayorushwa na kituo cha Azam TV. Wadau mbalimbali wa sanaa wameonesha kuchukizwa na mwenendo wa chama hiko cha wauguzo kuongilia taaluma ya sanaa hususani kuonesha dalili ya...
  20. C

    Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

    Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma). Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano...
Back
Top Bottom