Natamani nije niwe mwandishi wa filamu au tamthilia, nishaurini nianzie wapi?

wanzzuki

Member
Feb 27, 2024
66
129
Shikamooni wakubwa zangu,

sina mda mrefu sana hum jamii forum ila nlichogundua asilimia kubwa hum mnautambuzi wa mambo tofauti tofauti,ata kwa hili langu naamin hamtashindwa kunipa mawazo.

wakuu mimi nna kipaji cha uandishi wa hadithi au simulizi tofauti tofauti, nna stori nyingi sana ambazo nnazo ila shida ni kwamba sijui nianzie wapi au nimfuate nani hasa wakuweza kunsaidia kufikia ndoto yang maana nnachotamani ni kwamba mimi nije niwe mwandishi wa filam na tamthilia hapa bongo maana nna uhakika ntaleta mabadiliko makubwa sana kwenye soko la filam hapa bongo.

Kwa yoyote anayejua kuhusu hili tafadhari?
 
Back
Top Bottom