Kuna Tamthilia huko leo ni siku ya Nne inaonyeshwa safari ya Dk 25 , Bongo movie mjitathimini

Bongo movie mjitathimini , Tamthilia ya Huba leo ni siku ya nne inarusha scene ya safari toka Zanzibar to Dar .

Humo ndani siku zote hizo nne hakuna cha maana kinarushwa humo ndani ya ndege zaidi ya majungu na vijembe .

Mtalaumu sana watu hawafuatilii but mnaboa .
Wewe ndio mwenye matatizo, unategemea nini kutoka Bongo movie?

Dar to Zanzibar Kwa ndege ni almost dakika zisizozidi 15, sasa tamthilia ya series moja one hour halafu bado ndege iko angani maana yake wote mnaofuatilia hizo tamthilia mna matatizo kwenye ubongo.
 
Hahahah
 
😆😆😆
 
Bongo movie mjitathimini , Tamthilia ya Huba leo ni siku ya nne inarusha scene ya safari toka Zanzibar to Dar .

Humo ndani siku zote hizo nne hakuna cha maana kinarushwa humo ndani ya ndege zaidi ya majungu na vijembe .

Mtalaumu sana watu hawafuatilii but mnaboa .
Kwani walisema tamthilia inaonyeshwa in real time? Mbona kwenye movie za Hollywood huwa hamshangai safari ya kutoka New York mpaka London kuchukua dakika 2?
 
Back
Top Bottom