tafakuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Astrum27

    Tafakuri ya leo kuhusu herufi

    Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliyegundua herufi alikuwa anawaza nini? Mfano: A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I? Angalau W daliyuuu.... sababu alishagundua d, a, b, l, i hiyo y nina mashaka nayo na u. Masharti ya...
  2. Asphalt1961

    Tafakuri: Matumizi ya choo kisicho na Maji, chenye toilet paper

    Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama. Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya...
  3. B

    Netanyahu na HAMAS katika siku 2 Muhimu za Tafakuri

    1. Wale mahasimu wa vita Gaza wana siku 2 za kuleta mrejesho: 2. Inajulikana tambo "kupigana kama ngoma" hazitakosekana: 3. Si ajabu kwamba Natenyahu angedai washirika wake wamshike au wamzuie kupigana kwa maana ataua mtu! 4. Wenye busara zao nao hawataacha kudadavu yao: 5. Kwa...
  4. Labani og

    Tafakuri: Mwaka huu Yanga wanashindana na Yanga wenyewe

    🎙️ ALI KAMWE: “Msimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata.”
  5. Stephano Mgendanyi

    Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA 📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
  6. S

    Tafakuri ya kauli ya CDF kuhusu mkimbizi kupewa uteuzi

    Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani? Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za...
  7. ChoiceVariable

    Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  8. DR Mambo Jambo

    TAFAKURI: Utajisikiaje endapo utaambiwa Wazazi uliohisi wamekuzaa na kukulea kwa miaka mingi si wazazi wako halisi?

    Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu. Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani.. Je...
  9. Idugunde

    Tafakuri: Bora ukose hadhi ya kibalozi kuliko kukosa heshima ya kutetea rasilimali za taifa lako

    Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo...
  10. Balqior

    Tafakuri binafsi: Wakati unamhudumia mdada kipesa, ushawahi kutafakari hili

    Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa.. Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma...
  11. FaizaFoxy

    Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

    Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika...
  12. Equation x

    Tafakuri ya kimaisha

    Nazungumza na wale wenye miaka 35+ Jaribu leo utoke peke yako, na uende kwenye mazingira tulivu, kama yanaruhusu kupata kinywaji au kula matunda yoyote fanya hivyo. Jitafakari ulipotoka, mpaka hapo ulipo sasa. Jiulize haya maswali; leo hii nikifungwa gerezani ni nani atakuwa karibu na mimi...
  13. Athumani malumalu

    Tafakari katika uombaji wa Vyuo

    Kwanini wanafunzi wanaotuma maombi kujiunga na vyuo vikuu ambao hawajafaham vizuri kozi zinazotolewa na vyuo husika, wanatakiwa kulipa kwanza hela kabla yakuchagua kozi!!! Kitu ambacho kinawalazim wachague kozi wasizozipenda kwakuwa pesa hairudi. Usipolipa huwezi kuona hatua inayofuata...
  14. P

    Nchi ina mihimili 3, mihimili 2 inayoongozwa na akina Mama na inatakiwa tufanye tafakuri yenye tija

    Nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Nchi yetu. Wote tunatambua kuwa wanawake ni watu makini sana na waoga linapokuja jambo lisilo la maslahi kwa Nchi. Hivi Karibuni mkataba wa Tz Bara na Dubai ulishughulikiwa na mihimili 2 inayoongozwa na wamama ikiwa ni Serikali (Mama SSH) na Bunge ( Tulia)...
  15. FaizaFoxy

    Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

    Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...
  16. Mwande na Mndewa

    Je ni mkataba wa bandari au makubaliano ya bandari? Je ni mkataba au makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar?

    JE NI MKATABA WA BANDARI AU MAKUBALIANO YA BANDARI? JE NI MKATABA AU MAKUBALIANO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR? Leo 13:15hrs 29/06/2023 Rais Museveni alipokuja Chato aliwahi kusema Watanzania tuna uhaba wa maneno ya kiswahili,Ukweli ni kwamba neno "mkataba" kwa kiswahili lina maana pana sana...
  17. M

    Hivi Chama na wachezaji wenzako waandamizi wa Simba SC, hamjachukua hongo kweli ili mcheze chini ya kiwango?

    Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam. Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao...
  18. DR HAYA LAND

    Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

    Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya. Sifa zangu Urefu Futi 5.9 Elimu: degree moja Kazi Mwalimu wa secondary (Government) Kabila Haya Sifa za Mwanamke Awe Bikra Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili Dini Muslim Sifa kuu awe bikra na smart kichwani That all...
  19. B

    Tafakuri baada ya Hotuba #1 ya Lissu

    Hotuba ya kwanza ya Lissu ilikuwa jana. Basi kama ilivyo kwa makombora tulitegemea majibu thabiti kutokea ule upande mwingine. "Kinyume chake kumepiga kimyaaaa!" Kwa kimya kingi hiki ni wazi kuwa: 1. Mama hana uungwaji wowote mkono kwenye huku alikotufikisha na hali hii ya maisha, ikiwamo bei...
  20. masopakyindi

    Tafakuri: Mwisho wa wiki, Mwisho wa mwaka 2022

    Kabla sijalala usiku huu nimeingiwa na tafakari nzito. Leo tayari ni 31st Dec 2022, siku ya mwisho wa mwaka 2022. Namshukuru Mungu kwa kunipa ingalau kuiona hii siku. Rafiki yangu, tena wa cheo cha juu, alifariki SIKU YA KRISMASI! Na tumempumzisha jana. Mimi nimempa nini Mungu? Ni rehema...
Back
Top Bottom