Tafakuri: Matumizi ya choo kisicho na Maji, chenye toilet paper

Asphalt1961

Member
Jan 7, 2022
5
13
Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama.

Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya haja, hili swala la toilet papers huwaga ni extra tu baada ya maji lakini kadri siku zinavyozidi kusoga napata ukakasi sana ninapotembea nchi mbali mbali na kuingizia kwenye fancy hotels, aisee huku kote ni watatumia toilet papers only as chooni hamna hata tap shower au bomba lolote la maji.

Hili swala niliwahi liona airport terminal two pia (pale waiting area nje) miaka ya zamani kidogo 2010-2014, lakini hotel nyingi kubwa ziko hivi, nimeenda migahawa kama Karambezi-SEA CLIFF, water front restaurant- SLIP WAY na nyingine nyingi sana to mentiom here.

Ndugu zangu, huwa mna deal vipi na hii hali plus ni kwanini hata nyumbani hapa hawa watu hawajiongezi hata kidogo basi kufuatana na uhalisia tuliuzoea? Naomba kuwasilisha wakuu.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Back
Top Bottom