Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka...
Leo sisalimii
Moja kwa moja kwenye hoja.
Aisee leo nimepata kugundua kitu fulani hapa ulimwenguni.
Mara nyingi hasira za wanawake huwa zinakuwa ni ushindi au furaha kwa wanaume. Immediately a woman gets mad, she cheats with another man, it's men who are winning.
If women want revange, she...
Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana.
Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa unazomhonga anampatia.
Yule Mkeo uliyemuoa kwa upendo yupo zake hotel anampa tendo Mwanaume wa hisia...
Kwema Wakuu!
Vijana wa siku hizi wamechanganyikiwa mno. Hata vitu vidogovidogo kama maana ya maneno au dhana hawajui. Mathalani, Neno "Ndoa".
Kuishi na mwanamke au mwanaume kiunyumba kwa lengo la kuunda familia ndio tafsiri sahihi ya Ndoa. Ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke kuishi...
Twende nami taratibu.
Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎
1. Oprah Winfrey
Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi.
Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa.
Huyu...
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.
maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.
Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02...
Ndugu wanachama na masenior , magavana na maseneta wote tuliobarikiwa kujielewa kwamba katika ulimwengu wa kibepari kuoa na ndoa ni adui wa maendeleo ya kiuchumi.
Karibu tufanye mjadala wa kuandaa agenda.
Mwenyekiti Donedrake karibu kwa muongozo wako.
Mimi ntakuwa mwenyekiti wa kamati ya...
Uanaume ni mateso, yaani mababu zetu ndo walifurahia uanaume ila siku hizi ni mateso mara mia.
Nina jamaa yangu aliyumba kdg kiuchumi baada ya kuachishwa kazi miaka minne imepita, jamaa alikuwa ana hela kinoma, mke aliomuoa kwa ndoa ya mapepe mengi akamwomba amfungulie biashara huku yeye...
Inatambulika dunia kote, toka dunia hii imeanza—haijalishi kwa dhana ya Uumbaji wa Mungu au Evolution ya kisayansi— Baba, Mama na Watoto (Familia), ndio imekua jumuiko la kwanza, kuu na la msingi la wanadamu.
Siku hizi kumeshamiri wimbi [si geni kihistoria] la kupinga Uwepo wa Familia ya Baba...
Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa.
Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya...
Ukiacha ngono, tu-pesa pesa na tu-vitu vitu kijana wa kiume hana namna nyingine ya kuanzisha na kukuza uhusiano.
Mtoto wa kike naye anaona ‘asitumiwe’ bure —uhusiano ni bills. Uchumi ndio unaamua ‘afya’ ya mahusiano.
Halafu tunajiuliza kwa nini mahusiano hayafiki mbali.
Baada ya Salam.
Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti.
-Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu
-Kuolewa-kuoa baada ya mistake ya mimba
-Kuolewa-kuoa sababu ya umri kuwa mkubwa au umri wa kuolewa kufika
-Kuolewa-kuoa...
Sina Maneno meengi
Mkiambiwa huwa HAMSIKIII..
=====
Mtu yeyote atakaekuja kuniskia nasema nampenda mwanamke yeyote basi mtu uyo kama nipo naye karibu yani uso kwa uso basi naruhusu anipige ata kofi sababu nimegundua mwanamke sio mtu wakumuamini ata kidogo.
Haijalishi atakuaminisha kiasi gani...
Gwala kwa wana Jf wote, kwa wengine wote ninawapa salamu yangu ya heshima!
NB: Naomba kwanza niombe samahani kwa ambaye atakereka na mada tajwa, pia hii sio sehemu ya utafiti na hivyo haitakiwi kuchukulia hili jambo kwa ujumla.
Naomba rasmi nianze na uzi huu, kwa miaka ya hivi karibuni...
Mithali 31:10-31
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za...
According to report Elon Musk and his company are on the final stages of making a Robot Wife. The supply of Robot Wives is expected to roll out in September 2023. They will reach Africa by November 2023.
Robot Wife will use batteries that last in accordance with menstrual circle. Batteries will...
Imefikia mahali hadi nakosa raha kabisa yani watu niliwaamini kama ndugu zangu humu JF leo wananitenga nakunipakizia kashfa mbaya mbaya na chafu.
Mimi kama kijana nilikua sitaki kuoa nikuwa kijana lengo langu lilikua ni kuchakata mbususu hadi ntapofika umri wa miaka 70- 80+ ndo nitimize nusu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.