ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,863
Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.

Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo

Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.

Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49

---
PICHA: BAADHI YA VIONGOZI WALIOZULU HANANG

Hanang.jpg
Hanang2.jpg
 
Great!!

Wajiolojia wapande hilo chopa liambaee ambaee kuzuunguka Mlima...namashilanga yao kama GPS 50 maps camera binoculars waambatane na wenyeji wa mlima huo ...

Mkiona Nyani na ndege wengi pembeni ya Mlima...mjuwe bado Hakujapoa

All the best....

......
 
Mfumo Unaotumika Kwenda Kulipwa Nakukumbusha Mwakani Uchaguzi Serikali Za Mtaa
Watu Wanatafuta Huruma Tu Na Kunenepesha Ng'ombe Siku Ya Mnada
 
Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.

Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo

Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.

Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49

View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

BBC Wako mubashara
 
Back
Top Bottom