Habari zenu, awali leo niliweka maana >> hii << juu ya ndugu yangu ambae ana chang moto za kusikia.
Kwa ufupi ni kwamba alizaliwa fresh ila akapata homa akiwa na miaka 9, alipigwa sindano ya kwinini kwa dozi iliyozidi matokeo yake taratibu akaanza kupoteza usikivu mpaka imekuwa ni tatizo kabisa...
Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi.
Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo mkoani Pwani, Mohamed Usinga ameagiza Vikundi vya Wanawake wanaliopatiwa mafunzo ya ubunifu na ujasiriamali na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC, ambayo bado havijapatiwa mikopo katika Halimashauri hiyo vipewe kipaumbele kwanza ili waweze kujikwamua...
Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu.
Ili walau biashara na mzunguko wa pesa uwe mzuri mwezi wote serikali na waajiri wengine wangefanya...
Kuanza kwa shughuli za kisiasa kumekuja na yake.
Tayari mwelekeo uko wazi. Mikutano ya CCM, Chadema na CUF imesikika na mwenye macho kaona.
Hayapo mashaka tena kuwa Chadema haina cha kufanya na ushoga wala kwamba upo mtafaruku wowote wa kimadaraka chamani.
"Chadema inataka katiba mpya, sasa."...
Kiufundi na Kiujuzi wametuzidi almost kila Idara hivyo nashauri ili Kupunguza Magoli tukimalizana na Horoya Kesho tukirudi tutafute Waganga wa Kienyeji sehemu mbalimbali ya nchi ili wawapunguze Kasi Raja Casablanca na tujitahidi tufungwe nao Goli chache kwa Mkapa au tutoke nao Sare japo najua...
MUHIMU: jiji la Mbeya ni wilaya moja tu ndani ya Mkoa na sio wilaya zote za Mbeya
WANYAKYUSA
Hawa kwa asili sio wazawa wa wilaya ya Mbeya jiji, wametokea wilaya jirani za Rungwe (ulipo mji maarufu wa Tukuyu) na Kyela. Walikuja Mbeya jiji kwasababu ndipo yalipokuwa makao makuu ya mkoa mzima na...
Serikali yasitisha shughuli za Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu (OHCHR) nchini Uganda
OHCHR, idara ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, imepewa mamlaka ya kukuza na kulinda furaha na utambuzi kamili kwa watu wote, na haki zote zilizowekwa katika Mkataba wa Umoja wa...
Baada ya mateso ya muda mrefu kwa wananchi wa Mtwara na Mnivita kutokana na changamoto ya ubovu wa barabara, serikali sikivu ya Dkt. Samia Suluhu Hassani imetatua changamoto hiyo kwa kamilisha ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 50km kwa kiwango cha lami.
Lengo la serikali ni...
Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo.
Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi.
Hawa watu ni matajiri wakubwa kwa Sasa, na baadhi...
Wakazi wa Iringa mjini kwa yoyote mwenye nafasi au anajua sehemu ambayo naweza kupata nafasi ya shughuli yoyote hapa Iringa mjini kama kubeba/kupanga mizigo godown/store, kibarua shambani kwa kipindi hiki cha kilimo, cash wash, kujaza mafuta sheli, kuuza duka/stationary, uhasibu, huduma za...
Wanafunzi wa kigeni kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Zhejiang walifanya shughuli za kushuhudia ya mwaka mpya wa jadi wa kichina ili kupata uzoefu wa desturi za China na kuona uzuri wa utamaduni wa jadi wa China.
“Hata shabiki nae ana fursa ya kwenda Ulaya vile vile kwa biashara zake anazofanya. Kama wanadhani kwenda ulaya ni rahisi basi shughuli zao pia ziwapeleke Ulaya. Hata ulaya wanatumia mkaa pia wakauze mkaa ulaya. Usimpangie mtu kwenye shughuli yake,” Ibrahim Ajib
Yuko sahihi au maneno ya mtu...
Kwanza nianze Kwa kutoa disclaimer kisa hiki ni Cha kweli majina yaliyotumika hapa ni ya kweli bila kubadili chochote ilirekodiwa NAMI nikaihamisha kimaandishi kama ilivyo.
MWANZO
Kwa majina naitwa justice simangwa mkazi wa mkoa wa songwe katika wilaya ya mbozi kijiji cha msia, nilizaliwa...
Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.
Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando.
Kauli hii ya waziri, imeenda kinyume na sera ya TEHAMA 2016 inayotaka...
Tumekuwa na wakati mzuri sana kuangalia kombe la dunia na sasa tunakaribia kufika mwisho. Kila timu imevuna ilichopanda. Argentina ndio timu bora zaidi kwenye michuano hii.
Lionel Messi anaenda kuwa kinara baada ya mchezo mkali dhidi ya Ufaransa. Atastaafu kwa heshima kama mchezaji bora zaidi...
1.Summary
Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake.
Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
Kwenye mada straight wadau nataka kuchagua kuvuta jiko hitajika la kuishi nalo nataka mtoto wa pwani nshapata inbox kama 50 chuguo langu nataka chombo Cha pwani,kwenye sampuli kuna wafuatao.
1. Mluguru
2. Mkwere
3.Msagara
4.Mzigua
5. Mzaramo
6.Msambaa
7.Mbondei
8. Mdigo
9. Mjikenda
10...
UJASUSI KWA MTU BINAFSI KATIKA SHUGHULI ZA KILA SIKU.
Anaandika, Robert Heriel
Jasusi wa kujitegemea.
Dondoo
• maana ya ujasusi
• Ujasusi Kwa mtu Binafsi
• manufaa ya ujasusi Kwa mtu binafsi
Lengo kuu la andiko
• Mwisho wa Andiko msomaji atapata maarifa na ufahamu katika namna ya kupanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.