prof. kitila mkumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Prof. Kitila Mkumbo: Vijana watengenezewe mazingira rafiki ya Biashara

    Profesa Kitila Mkumbo akizungumza na Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo na nafasi yao katika kuwezesha biashara nchini. Alisisitiza umuhimu wa Viongozi wa serikali kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kufanya biashara. Katika...
  2. Roving Journalist

    Prof. Kitila: Wazabuni eneo la ujenzi, tumieni bidhaa zinazozalishwa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amewataka wazabuni wanaopata tenda za Serikali kwenye eneo la ujenzi kutumia vifaa vinavyozalishwa ndani ya nchi ili kuokoa fedha za kigeni. Prof. Mkumbo ametoa wito huo Machi 14, 2024 akiwa Mkuranga, Pwani alipofanya...
  3. Ileje

    Serikali kuwabana zaidi waagizaji Magari yaliyotumika ili kulinda uzalishaji wa ndani

    Watanzania wajiandae kuanza kununua magari mapya baada ya serikali kukamilisha kuandaa sera mpya ambayo itapiga marufuku Watanzania kununua magari yaliyotumika. Sera hii mpya inaungwa mkono na wawekezaji ambao watakuwa na jukumu la kuingiza magari mapya na pia kushirikiana na makampuni ya...
  4. Suley2019

    Prof. Kitila Mkumbo: Pato la kila Mtanzania ni milioni 2.8

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Ripoti ya Hali ya Uchumi Nchini imeonesha Pato la Mtanzania mmojammoja (GDP Per Capital Income) limeongezeka kutoka USD 399.5 (Tsh. 322,397) kwa thamani ya dola mwaka 2000 hadi kufikia USD 1,200 (Tsh. 2,880,000)...
  5. BARD AI

    Prof. Kitila Mkumbo: Pato la kila Mtanzania limeongezeka nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema katika ripoti ya Hali ya Uchumi nchini imeonesha Pato la Wananchi (GDP Per Capital Income) limepanda kutoka Dola za Marekani 399.5 (Tsh. 322,397) mwaka 2000 hadi kufikia Dola 1,200 (Tsh. 2,880,000). Akifafanua...
  6. Roving Journalist

    Maelezo ya Prof. Kitila Mkumbo akihitimisha Hoja ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo

    Maelezo ya Prof. Kitila Alexander Mkumbo, Akihitimisha Hoja ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo Ijumaa, 10 Novemba 2023, Dodoma Mheshimiwa Spika, Ninaomba kukushuru wewe pamoja na wasaidizi wako, Mheshimiwa Musa Zungu (Naibu Spika), Mheshimiwa Najma Murtaza Giga (Mwenyekiti wa...
  7. M

    Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

    Hii ni kali. 👇 "Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Prof. Kitila Mkumbo - Tukiongeza Ufanisi Tutafaidika Zaidi na Bandari Zetu

    WAZIRI PROF. KITILA MKUMBO - TUKIONGEZA UFANISI TUTAFAIDIKA ZAIDI NA BANDARI ZETU "Wenzetu wamepeleka sumu nyingi kwa watu na hawataki tuiondoe, tulikuwa tunawaangalia wakadhani CCM haipo, CCM ipo, serikali ipo na watu wake tupo tutafanya kazi hii (ya kutoa elimu kuhusu uwekezaji wa bandari)...
  9. Stephano Mgendanyi

    Prof. Kitila Mkumbo: Watanzania hawapingi uwekezaji wa Bandari, wanataka Mikataba iwe Mizuri

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kilibadili mwelekeo wa kisera za kiuchumi na kisiasa miaka ya 90's, mojawapo ya mabadiliko ya kisera za kiuchumi na kibiashara ni kuachana na Serikali kuhodhi nyenzo za uchumi kama ilivyokuwa hapo kabla"- Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo "Miaka ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Prof. Kitila Mkumbo - Achangia Mtaala Mpya wa Elimu

    MBUNGE PROF. KITILA MKUMBO - MAARIFA YAPATIKANE KWA LUGHA MBILI & LUGHA ISIWE KIKWAZO KWENYE KUPATA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema ni muhimu maarifa yapatikane kwa lugha ya...
  11. tawakkul

    Prof. Kitila Mkumbo ni kweli zile bilioni 600 za maji zilitosha?

    Picha: Prof. Kitila Mkumbo Habari Prof! Njoo hapa tuambie, ulipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya maji, bajeti ya wizara yako ilikuwa bil 600. Wadau walipokuuliza kama zitatosha, ulijjibu ndiyo. Mbona leo shida ya maji bado ni kubwa sana? Ile ilitosha kwenye kitu gani au Ubungo tu? ANGALIZO...
  12. Roving Journalist

    TWAWEZA yawasilisha Matokeo ya Mpango wa 'KiuFunza' ambao umesaidia Wanafunzi 26,000

    Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
  13. beth

    Prof. Kitila Mkumbo: Serikali ifanye 'National Audit' kujua mahitaji halisi ya Watumishi wa Umma

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amezungumzia upungufu wa Watumishi wa Umma katika Sekta mbalimbali zikiwemo Elimu, Afya, Kilimo, Maji na Kilimo akisema Serikali haina budi kuja na Mikakati mipya kutatua tatizo hilo Amependekeza kufanyika Ukaguzi wa Taifa (National Audit) ili...
  14. The Sunk Cost Fallacy

    Prof. Kitila Mkumbo: Kuhusu kupanda bei za mafuta "Desperate time needs Desperate Measures"

    Moja kwa moja kwenye mada. Mbunge wa Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameishauri Serikali kuchukua hatua zisizo za Kawaida Kuhusu kupanda bei za mafuta. Akichangia hotuba ya Waziri Mkuu,Kitila amesema tuko kwenye kipindi kisicho cha kawaida kufuatia ongezeko kubwa la bei kutoka 30% hadi asilimia...
  15. Analogia Malenga

    Prof. Kitila Mkumbo: Serikali za Mtaa hazishauri Serikali Kuu badala yake zinapokea maelekezo kutoka Serikali Kuu

    Mbunge wa Ubungo, Kitila Mkumbo amesema serikali za mtaa hazishauri serikali kuu kama ilivyopangwa badala yake zinapokea maelekezo kutoka serikali kuu. Wananchi wanabaki kushangilia mafanikio ya serikali badala ya kuwa sehemu ya mafanikio ya serikali. Mbunge ameyasema hayo bungeni ambapo...
  16. Q

    Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

    "Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
  17. J

    Profesa Kitila Mkumbo: Bei za vifaa vya Ujenzi hazijapanda kwa wazalishaji labda wanaoongeza bei ni hawa Wasambazaji

    Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila Mkumbo ametolea ufafanuzi taarifa zinazozagaa mitandaoni kwamba bei za Vifaa vya ujenzi zimepanda. Kitila amesema viwandani ambako ndiko bidhaa zinakozalishwa bei hazijapanda ziko vile vile so kama kuna maeneo machache bei ziko juu basi itakuwa ni...
  18. M

    Prof. Mkumbo, Geofrey Mwambe; pokeeni lawama hizi kisha mjipime

    PROF. MKUMBO, MWAMBE, POKEENI LAWAMA HIZI KISHA MJIPIME Na Bollen Ngetti SIJUI kama kuna ukweli katika usemi huu. Kwamba "kenge hasikii hadi umtoe damu au aone kwa macho". Eti hata kama anaona na kukutazama usoni lakini ni kiziwi asiyesikia hata jambo la hatari. Naam. Vivyo hivyo katika...
  19. P

    Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

    Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa. Prof...
Back
Top Bottom