ofisi

  1. K

    Kwanini ofisi ya Air Tanzania tawi la Mwanza hawavai sare?

    Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za Air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care na wamevaa sare za sketi blue na blouse za njano na beji kwa akina dada na wanaume wakiwa pia na...
  2. M

    Kwanini ikitokea mfanyakazi mmoja wa ofisi za umma akawa mtenda haki, sio mpenda rushwa anachukiwa sana?

    Nawasalimu Kwa Jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa hivi nilivyo nashukuru. Mimi nimekuwa miongoni mwa watu ambao nimezaliwa nikajikuta nina moyo ambao muda wote unaitaji amani, na sipendi kuonea mtu wala sipendi kuona mtu mwingine akionewa...
  3. Kaka yake shetani

    Uwakala wa crypto una faida kubwa na huduma zisizohitaji ofisi

    Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021. Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye nchi yetu ilikuwa changamoto hata wengine ilifikia pesa zao kuzuiwa na benki nyingi au kuletewa...
  4. Anonymous

    DOKEZO Kurasini - Dar: Baadhi ya maofisa wa Uhamiaji, wamekuwa na vitendo vya wazi vya kuomba rushwa ili kukupatia huduma kwa wakati

    Ndugu ZANGU, Mimi kimajukumu ni mchungaji wa Kanisa hapa Dar es Salaam. Napenda kueleza uma masikitiko yangu juu ya ofisi za uhamiaji (immigration) zilizopo kurasini. Baadhi ya maofisa wa Immigration hapo wamekuwa na vitendo vya wazi vya kuomba rushwa ili kukupatia huduma kwa wakati. Na usipo...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Mifuko 30 ya Saruji (690,000) Ujenzi Ofisi ya UWT Kata ya Ibaba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na kuwapa mrejesho wananchi kuhusu utendaji kazi wa Serikali. Katika ziara yake, Mhe. Juliana Shonza...
  6. MK254

    IDF yagundua handaki na ofisi ya kijeshi chini ya makaburi

    Yaani hawa magaidi wa dini walitumia nguvu nyingi sana kujipanga, dadeki.. Hawa walipaswa wapigwe carpet bombing tuanze upya, ingekua Mrusi au Mchina anapambana na hawa, angepiga moja tu na tunasahau hizi issue, dunia inapiga makelele mwezi mmoja kisha tunafanya mengine. Israel wanatumia nguvu...
  7. R

    Ukiona Mwanasiasa anaona wivu ujenzi wa ofisi kama Makao Makuu ya CHADEMA kwa naye mbali anaweza kukupa hata sumu

    Kuna watu wamezaliwa na roho mbaya, wana roho na wataendelea na roho mbaya. Kuna watu niwakatili na wataendelea kuwa wakatili. Ukiona kiongozi anasimama adharani analalamika chama cha siasa kujenga ofisi basi tambua huyo mtu akipata upenyo anaweza kuchoma moto hata nyumba ya jirani yake ambaye...
  8. Alana Rolmodo

    Je, unahitaji mfanyakazi kwenye ofisi?

    Habari! Ikiwa unahitaji mfanyakazi katika ofisi yako, nipo tayari kuja kufanya kazi. Elimu yangu ni shahada ya kwanza ya usimamizi rasilimali watu (Human Resources Management). Nina uzoefu wa kazi zifuatazo kama vile; (Loan officer, sales representative and stationarist, human resources...
  9. Mr Dudumizi

    Nimeoteshwa kuwa hii ndo inaweza kuwa kauli ya mwenyekiti wa chama katika ofisi yao mpya huko Mikocheni.

    Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo. Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa kwa lengo la kuweka mambo sawa kuhusu mustakabali wangu na wa chama changu. Mtakumbuka miaka kadhaa...
  10. Ryan The King

    Msaada: Naomba kujua zilipo Ofisi za Mganga mkuu(RMO) Mkoa wa Dar es salaam

    Hello! Kama kichwa kinavyojieleza, hivi hizi ofisi ziko wapi? Natanguliza Shukrani
  11. TRA Tanzania

    Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Ofisi za TRA zitakuwa wazi siku yavtarehe 30 na 31 Desemba ,2023 ili kuweza kuwahudumia wananchi na walipa kodi
  12. Mufti kuku The Infinity

    UWABATA kumbe ina ofisi kabisa?

    Hebu jionee. Halafu si walisema stand imebadilishwa jina??
  13. Stephano Mgendanyi

    Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana

    Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa kutegemeana na kushirikiana bila kutengeneza makundi. Ametoa rai hiyo Mkoani...
  14. Burkinabe

    Mwabukusi: Kama Kiongozi wa Umma hataki mambo yake yawe wazi kwa Umma, aachie Ofisi

    Nchi zetu za Kiafrika kila kitu ni changamoto sana. Viongozi wetu wanatamani kuwa viongozi wa Umma, lakini hawataki mambo yao yoyote yajulikane na Umma, Ajabu kwa kweli. Ndiyo maana Wakili Msomi Boniface Mwabukusi aliwahi kusema kwamba; 'Kama kiongozi wa Umma hataki mambo yake yajulikane na...
  15. Roving Journalist

    Zaidi ya Bilioni 1.4 yajenga Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Sagini atoa neno

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara katika eneo la Manispaa ya Musoma wenye thamani ya shilingi Bilioni 1.4. Akizungumza baada ya kukagua wa Mradi huo, Sagini...
  16. Manjagata

    Ofisi za Msajili wa NGOs

    Wakuu salama huko? Naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za Msajili wa NGOs kwa hapa Dodoma. Kwa yeyote anayefahamu zilipo tafadhari naomba msaada huo haraka iwezekanavyo niko jijini hapa sasa hivi. Hata kama Dr. Gwajima atasoma ujumbe huu anielekeze! Asanteni sana.
  17. chiembe

    Makamu wa Rais Philip Mpango kwanini Ofisi yako inashindwa kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti msimu huu wa mvua?

    Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti. Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
  18. chiembe

    Jerry Slaa, ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa umefikia wapi? Tinazikumbuka zile bilioni 350! Sasa mnazua zogo, wakati Hela mnayo ya kutatua tatizo

    Mwaka huu katika bajeti, Kuna bilioni 350 za ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa zilizua zogo, sijaona hata dalili ya mtu kuchimba msingi hapa Dodoma Wala Dar es salaam. Basi hizo Hela zielekezwe kununua vifaa vya upimaji, upimaji uwe bure nchi nzima, wanaodai fidia ya viwanja, walipwe humo.
Back
Top Bottom