kunuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Magonjwa ya Koo, Tumbo, Figo na Ini husababisha mdomo kunuka

    Je Wajua? Baadhi ya Magonjwa ya Koo, Njia ya Hewa, Mfumo wa Tumbo, Figo na Kisukari husababisha Kinywa kutoa Harufu Mbaya Watu wenye Kisukari wanaweza kuwa na kiwango kikubwa cha Sukari kwenye mate yao, ambayo husababisha bakteria wa mdomoni kuzalisha Kemikali zinazosababisha harufu mbaya...
  2. mdukuzi

    Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya. Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
  3. n00b

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana. Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu. === Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Kutunza uke na...
  4. U

    Miji ya Tanzania kunuka uchafu nini tatizo?

    Habari ndugu wadau. Hivi watanzania nini tatizo.? Miji yote ukitoa Arusha na Moshi ni michafu kupindukia, watu wanakojoa na kunya ovyo. Plastic zipo kila mahali mitaro imejaa inanuka vinyesi.Hii nchi ya namna gani? Watumishi wa Serikali wapo wanakula mshahara hakuna kinachoeleweka nani...
  5. music mimi

    Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

    Huwa nashangaa sana mwanamke anaenuka kikwapa. Kwa kifupi kikwapa ni uchafu na mwanamke anaenuka kikwapa ni mchafu. Kuna njia nyingi za kuzuia harufu ya kwapa. Kupaka deodorant ni njia easy kabisa ya kuzia jasho baya la kwapa. Kuna deodorant mpaka za elfu 5. Pia wanasema kuna njia za asili...
  6. seedfarm

    Uhaba wa Maji Dar es Salaam: Harufu zimeanza kuwa kali maofisini na Majumbani

    Watu wa Dar es Salaam, Mambo yamekuwa sio mambo, ni harufu kali na uchafuzi wa mazingira unatokana na uhaba wa maji Familia zenye watu wengi ni shida na balaa, Watu wana nawa uso tu, nguo hazifuliwi zinanuka jasho Je, CCM ni ile ile au hii nyingine Na joto kali sio Dar es Salaam tu bali...
  7. Mung Chris

    Mdomo huwa unaanza kunuka wakati gani?

    Bado sijapata jibu maana kuna wakati naamua kutolala ili nijue ni muda gani mida ya usiku ndio mdomo unaanza kutoa harufu. Mwenye uzoefu na hili atueleze mdomo unaanza kunuka sangapi usiku.
  8. Nyungu nyungu

    Hivi kwanini Korodani zinawasha na kunuka?

    Hivi kwa nini korodani zinawasha na kunuka? We zioshe utakavyoziosha, zipigie perfume uwezavyo but still lazima kaharufu katoke. #Wataalamu njooni mnipe Darasa.
Back
Top Bottom