Nimeoteshwa kuwa hii ndo inaweza kuwa kauli ya mwenyekiti wa chama katika ofisi yao mpya huko Mikocheni.

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,860
12,293
Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo.

Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa kwa lengo la kuweka mambo sawa kuhusu mustakabali wangu na wa chama changu.

Mtakumbuka miaka kadhaa iliyopita kuwaliwahi kutokea mtafaruku ndani ya chama chetu, watu wengi wakitaka mimi nijiuzulu uenyekiti wa chama na wengine wakafika mbali kabisa kwa kutaka kunifanyia yale aliyofanyiwa hayati mzee Mrema kwenye NCCR Mageuzi, au aliyofanyiwa maalim Seif kwenye CUF. Lile jambo ndugu zangu halikuwa dogo nafikiri nyinyi ambao mko nje ya chama hamkuliona kwa mapana yake.

Binafsi baada ya kuona asilimia kubwa ya wanachama na mashabiki wa chama changu hawanitaki, niliamua kutoa taarifa malepa kabla ya kutokea matatizo makubwa ndani ya chama. Nikaamua kujitokeza na kuweka wazi kuwa wanivumilie niliendelee kutawala kwa miaka mingine kadhaa ya mbele hadi mwaka 2023 nitakapostaafu mwenyewe uanachama na kuwaachia wenzangu wengine wenye uwezo, kipaji na maarifa ya kuongoza chama kama mimi.

Ndugu waandishi wa habari, baada ya kauli ile, watu wengi waliona kama ni hadaa, yani watoto wa mjini wanaita funika kombe mwanaharam apite. Lakini nawahakikishieni ndugu waandishi kuwa ile haikuwa hadaa hata kidogo, kila mtu anajua kwamba msema kweli ni mpenzi wa Mungu, na mimi kamwe sitaki kuwa muongo mbele ya Mungu.

Nimejipanga kwenda kuanza maisha mapya nje ya uenyekiti kama wafanyavyo wenyeviti wastaafu wengine wa CCM. Ila ninachoahidi kwa wanachama wenzangu haswa wale wanaonipenda kuwa bado mimi nitaendelea kuwa mshauri wa viongozi wapya wa chama pale wataponihitaji. Na pia nitakuwa mstari wa mbele kuendelea na mapambano ya kupigania haki za watanzania hata pale nitapokuwa nje ya mfumo wa uongozi wa chama.

Kuanzia leo tarehe 13 mwezi wa 1 mwaka wa 2024, nakabidhi madaraka yangu niliopewa kikatiba na chama kwa makamu mwenyekiti wetu ndugu na mheshimiwa Lisu ili aendeleze mapambano pale nilipoishia na nina imani ataweza kutufikisha kama chama kule tunapohitaji kufika.

Mungu akibariki chama changu,
Mungu ambariki kaimu mwenyekiti wangu/ wetu
Mungu aibariki nchi yetu

Ameen

Kwa leo sihitaji maswali, kwaherini.
 
Pombe sio nzuri.
 
Lissu ni full dikteta kama Magufuli tu. Shauri yenu
 
Mbowe anawatesa sana nzi wa kijani
 
Subiri tuone.
 
Punguza bangi haikufai, utakuwa chizi.
 
Back
Top Bottom