chuma ulete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Msaada: Nimekuta kibubu kina 30,000/- tu baada ya kuweka pesa karibu miezi 5, nifanyeje?

    Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada; Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani...
  2. BARD AI

    Lindi: Benki Kuu yapokea Noti zinazodaiwa kuwa na ‘Chuma Ulete’

    Meneja Huduma za Kibenki wa Benki Kuu Kanda ya Kusini, Melchiades Rutayebesibwa amesema fedha zilizochakaa zimekuwa zikirudishwa ili kubadilishwa ambapo zipo zilimwagikiwa rangi, zilizoandikwa na zingine huja zikiwa zimekatwa katika pembe nne. Akizungumza katika mahojiano maalumu yaliyotokana...
  3. Nyuki Mdogo

    Hakuna muuza mkaa anaesumbuliwa na chuma ulete

    Hili suala liko wazi kabisa. 100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete. Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine miti yote ya dawa tofauti..
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna uchawi wa chuma ulete, ni visingizio vya watu wazembe

    Anaandika, Robert Heriel Ni Watu wajinga pekee watakaoamini mambo ya Pesa kupotea kimazingara, ati kupotea kichawi! Chuma Ulete! Yaani ati unaweka Pesa kwenye kibubu labda laki tatu za Kitanzania alafu Baada ya muda ukija kuangalia unakuta elfu hamsini. Huo ni Uongo Mkubwa utakaoaminiwa na...
  5. Tajiri Tanzanite

    Hivi ukifanyiwa CHUMA ULETE, utagundua

    Hapo vip!! Nimekuwa najiuliza binafsi maswali kadha ya kadha juu ya chuma ulete,mara nyingine nakosa jibu.Ila nina imani kuna watu katika jukwaa hili watanifungua baadhi ya mambo dhidi ya chuma ulete. Binafsi siamini sana juu ya chuma ulete ila nadhani ipo kwasababu watu wanalizungumzia...
  6. Joasi

    Wamiliki wa maduka ya uwakala wa mabenki na chuma ulete

    Ndugu habarini, Hapa ni nyumbani naomba tupeane uzoefu. Binafsi nipo na ofisi ya Uwakala wa mitandao ya simu na Banks kama wakala wao. Tatizo nalokutana nalo ni chuma ulete au sijui ni kiini macho. Tarehe 23.3.2022 alikuja mteja kwa bashasha sana na aliweka 50,000 asubuhi kama saa 2 hivi...
  7. Undava King

    Watanzania tuelimike, kuchana pesa kwa kisingizio cha "chuma ulete" kumepitwa na wakati

    Leo hii kumekuwa na ongezeko kubwa la noti kuukuu, zilizochakaa na kuchanwa kwenye ncha au kutobolewa kwa makusudi kabisa kisa wafanyabiashara wanaamini katika ushirikina. Watanzania wenzetu mnahiaribia nchi yenu wenyewe uchumi wake, haiwezekani pesa umeipokea ni nzima tena mpya inanukia wewe...
  8. Kiboko ya Jiwe

    Ukiona panya, popo, mende, mijusi wanazoea ndani mwako usipuuze. Huenda ni uchawi na chuma ulete umewekewa ndani

    Uchawi ni roho kamili, roho huwa haifi kirahisi. Hivyo mchawi akifa hata kama alipokuwa hai hakumrithisha mtu ofisi yake, usitegemee ule uchawi utapotea. Automatically uchawi utamtafuta mrithi atafundishwa katika ulimwengu wa Roho naye atakuwa mkubwa kuliko hata muasisi wake. Muhimu: Huwezi...
  9. May Day

    Siasa za Kenya ni burudani tosha kila kukicha. Mwanasiasa Mtata Aisha Jumwa akiserebuka kwa Gospel kusherehekea anguko la BBI

    Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.
  10. 4

    Serikali ya awamu ya tano iliharibiwa na chuma ulete?

    Mungu mwema sana kwangu, pia mwema kwa WanaJF wote, na niwasalim katika yeye mwenye uwezo juu ya kila kitu alicho kiumba Niende kwenye mada, ambayo ni fupi mno maana yaitaji majibu ili mnisadie. Mwendazake na serikali yake ilikua inasema kwamba inakusanya mapato Mara dufu ya serikali zote...
Back
Top Bottom