kumnajisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Afungwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
  2. benzemah

    Baba kizimbani kwa mashtaka ya kumnajisi mwanawe wa kumzaa mwenye miaka 14

    MKAZI wa Mtaa wa Nyabubele Kata ya Kasamwa Kukailwa (40), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita kwa mashtaka ya kunajisi mwanawe - msichana mwenye miaka 14. Alipandishwa kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Johari Ki uwile na aliposomewa mashtaka, alikana kuhusika...
  3. Roving Journalist

    Tunduru: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti Mtoto wake wa miaka minne

    Mkazi wa Kijiji cha Namiungo, Wilaya ya Tunduru, Mohamed Saudi Ngwelekwe mwenye umri wa miaka 25 amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia kumlawiti mwanaye wa kumzaa mvulana wa miaka minne. Mtuhumiwa Mohamed Saudi Ngwelekwe ambaye kwa sasa ameanza kifungo chake Hukumu...
  4. JanguKamaJangu

    Shinyanga: Mbaroni kwa tuhuma kumnajisi mtoto wake wa kambo

    Mkazi wa Ndala Manispaa ya Shinyanga (26) (jina limehifadhiwa), anashikiliwa naJeshi la Polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wake wa kambo mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11. Kamanda wa Jeshi la Polisi wa Shinyanga, George Kyando akitoa taarifa kwa vyombo vya habari...
  5. Roving Journalist

    Lindi: Selemani Matola (53), ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumnajisi Mjukuu wake

    Mahakama ya hakimu mkazi wilaya Lindi imemuhukumu Selemani Matola (53) mkazi wa Halmashauri ya Mtama kifungo cha maisha gerezani baada ya kukutwa na hatia ya Kumnajisi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 8 Inadaiwa kuwa mshatakiwa huyo alifanya tukio hilo Disemba 17,2021 usiku wakati mkwewe...
  6. Miss Zomboko

    Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

    Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linamchunguza dereva wa basi la wanafunzi, Yohana Mwambene, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka mitano. Dereva huyo anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya St. Anne Marie Academy iliyopo Mbezi kwa...
Back
Top Bottom