Waendesha mashtaka wataka Dani Alves aongezewe miaka zaidi jela

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
dani-alves-barcelona_6464741.jpg
Waendesha Mashtaka wa Hispania waliosimamia kesi dhidi ya Beki wa zamani wa Barcelona, Dani Alves wamedai kifungo cha miaka Minne na Nusu jela alichohukumiwa Mwasoka huyo kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono ni kidogo na kuwa anastahili kuongezewa miaka ya kuendelea kubaki jela.

Wanatarajia kukata rufaa ili nyota huyo wa zamani wa Seville, Juventus, Paris Saint-Germain na Sao Paulo ambaye pia alitakiwa kumlipa mshtaki Pauni 128,000 kama fidia, aongezewe kifunge iwe miaka Tisa hasi 12.

Alves (40) alihukumiwa wiki iliyopita kutokana na tukio kwenye Ukumbi wa Muziki na amekuwa akishikiliwa tangu Januari 2023, mwenyewe alipinga na kudai alishiriki ngono na mshtaki baada y wawili hao kukubaliana.


================= ========


Spanish prosecutors 'set to demand a longer sentence for disgraced former Barcelona star Dani Alves' after his four-and-a-half-year jail term for rape

Spanish prosecutors are set to appeal against the four-and-a-half year jail term handed to former Brazil and Barcelona player Dani Alves for rape, arguing that it should be longer.

The 40-year-old was sentenced last month for the incident in a Spanish nightclub bathroom, having been held on remand at Brians 2 Prison near the Catalan capital since his arrest in January 2023.

uring the trial, state prosecutors had expressed a desire for a nine year jail term, while a lawyer acting for the victim demanded a 12 year sentence.

Judicial sources reported on Friday to AFP (via RFI) that national prosecutors will press for a tougher sentence.

In addition to the four and a half year jail sentence, Alves was also handed five years' probation after serving his jail sentence, and ordered to pay the victim €150,000 (£128,000) in compensation.

Alves, who also played for Seville, Juventus, Paris Saint-Germain and Sao Paulo, insisted that the encounter was consensual, but the court ruled in favour of the woman, who said Alves had violently forced her to have sex in a private bathroom of the nightclub despite her begging him to release her, causing 'anguish and terror'.

In October 2022, Spain's parliament passed a law requiring explicit consent for sexual acts, following demands from women's rights groups and assault survivors.

Immediately following last month's conviction, Alves' lawyer Ines Guardiola confirmed outside court that an appeal would be lodged.

She said: 'We are going to appeal the sentence and I still believe in the innocence of Mr Alves. He's doing okay.

Source: DailyMail
 
Mtu una pesa za kutosha, pesa mpaka unaingia kaburini unatumia tu. Unashindwa nini kubaki na mke mmoja na michepuko yako hata kadhaa tu?
 
Jamaa alikuwa na uwezo wa kukamata mademu wengi tu kwa pesa na umaarufu wake. Ilikuaje akawa na huyo aliye enda mshtaki au ilikuaje akabaka?
 
Mahali salama kucheza soka kwa Sasa ni Belgium , germany na uarabuni.kwingine huko siasa zinatawala sana Kwenye soka.ndio maana saivi wachezaji wanaojitambua wanahama england na kwenda bundesliga na uarabuni.
 
Nchi za wenzetu huko ulaya na USA ukiwa maarufu inabidi uchunge sana kidudu chako
Huyo ana bahati, jamaa alimuingilia msichana kwa nguvu chooni akiwa kaenda kujisaidia.... kwa kesi ilivyokua na ushahidi uliotolewa pamoja na video zikionyesha akimbaka msichana chooni, kwa sheria za bongo miaka 30 ingemhusu
 
Mahali salama kucheza soka kwa Sasa ni Belgium , germany na uarabuni.kwingine huko siasa zinatawala sana Kwenye soka.ndio maana saivi wachezaji wanaojitambua wanahama england na kwenda bundesliga na uarabuni.
Huko ndio wanaruhusu uhalifu?
 
Alves kuna maisha fulani alikulia ya utotoni ndio yamemharibu tabia, hajaonewa kwenye hiyo kesi, hata ushahidi aliokuwa akitoa alikuwa akijichanganya sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom