wakala

  1. MOSHI UFUNDI

    Kuwa wakala wa p2p binance

    Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ . Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu. 1. Vipi risk ya hii biashara? 2. Vipi wateja unatafuta mwenyewe au imekaa vipi?
  2. Trainee

    Kusajili laini mnaniletea wakala ananifuata mpaka vichochoroni lakini kufuta usajili mnaniambia nifike dukani kwenu! Hii siyo sawa!

    Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa
  3. Pdidy

    Ff Spain derby R.Madrid atashinda goli kuanzia 2 ama zaidi niko kwa Masawawe wakala

    Research kichwa cha habari hapo juu kama ujaelewa subiri matokeoooo Dk Pdidy
  4. Joninho

    Nimetuma pesa kwa Wakala asiyestahili, naombeni msaada wa jinsi ya kumfikia

    Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau. Umetuma TSh 135,000...
  5. chama mpangala

    Natamani kufahamu hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa wakala wa kampuni za betting

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natamani kufaham hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa WAKALA wa kampuni za Betting kama, MERIDIANBET, PLAYMASTER, PRIMIERBET na nyingine zinazofanana na hizo. Naomba Mwenye uzoefu au aliyefungua Ofisi anisaidie hatua za kufuata niweze kufungua Ofisi Mkoani...
  6. Stroke

    Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna. Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
  7. T

    Mnaotoa fedha kupitia NMB wakala kuweni makini

    Habar za muda huu! Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta. Tunaingia kwenye ATM, hapo kwenye ATM kuna sheli ya mafuta lakini mabasi yanayoenda mikoani wanapita hapo kwa...
  8. T

    Mnaotoa fedha kupitia NMB wakala kuweni makini

    Habar za muda huu! Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta. Tunaingia kwenye ATM, hapo kwenye ATM kuna sheli ya mafuta lakini mabasi yanayoenda mikoani wanapita hapo kwa...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Umewahi kusumbuliwa na wakala wa Bima za Mitandao ya simu?, Wape majibu haya watakata simu haraka

    Ni watu wanaosumbua sana, Reality sio matapeli ila jinsi wanavyoshawishi unaona kabisa ni biashara inayoshahabiana na biashara za kitapeli. Akianza tu mwambie naomba nikuulize swali , akikupa ruhusa muulize hivi; BIMA maana yake ni kuwekeza unufaike wakati ambao huenda utakuwa hauko vizuri...
  10. Gabby msafi

    Nina milioni 1, nawaza kufungua biashara kutuma na kutoa pesa. Je, inalipa?

    Nina 1.M nawaza kuwa Wakala wa kutoa pesa na ktuma pesa wazoefu inalipa kweli? Wenye experience na hii kazi Ina faida kweli
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kasaka aunga mkono azimio la mkataba wa wakala wa Nishati Jadidifu Irena

    MBUNGE wa Jimbo la Lupa Chunya Mhe. Masache Kasaka amesema kuridhia kwa azimio la Tanzania kuhusu mkataba wa wakala wa kimataifa wa Nishati Jadidifu IRENA utaleta manufaa kwa nchi huku akibainisha kwamba nchi nyingine jirani zikiwemo Kenya Uganda Rwanda na nchi za SADEC zilizoweza...
  12. MSAGA SUMU

    Hivi Mo Dewji akipokea laki moja kimakosa hawezi kukimbia kwa wakala kuitoa?

    Tuseme bilionea yupo asubuhi ofisini anaendelea na majukumu Mara ghafla inaingia laki moja kwenye simu kimakosa, je hapa bilionea hawezi kuacha shughuli zake na kuchukua lifti kwenda kwa wakala kuwahi kuitoa? Hapa tunaongelea bilionea anayewalipa wafanyakazi wake wa viwandani chini ya laki 2...
  13. hermanthegreat

    Tuna nini cha kuwafanya DP World na wakala wake?

    Wakuu, Naona Kama watanzania hatuna Cha kuwafanya Hawa DP World na wakala wao kwasababu Sisi ni waoga Tunaogopa kutoa sauti zetu kukemea Mambo yasiyo mazuri kwenye nchi yetu wenyewe. Hatuna ushirikiano Mfano, tumewaachia watu wachache watutetee akina mdude, hatuwezi kuwa wamoja kama nchi...
  14. GENTAMYCINE

    Wakala Jasmine Razaq: Medical check up ya wenzetu walioendelea ni Masaa 8, ila hapa Tanzania ni Nusu Saa tu

    "Nilipoenda na Mchezaji wangu Fiston Mayele huko Pyramid FC aliko sasa alishangaa vitu vingi na sasa ni Upimwaji wa Afya ambao kwa Wenzetu walioendelea na hata huko Ulaya ni tofauti na hapa Tanzania" "Mayele alipofika aliambiwa kwanza akalete haja kubwa yake tayari kwa Vipimo. Kiukweli...
  15. GENTAMYCINE

    Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

    "Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
  16. B

    CRDB Wakala: Muongo mmoja wa kuwezesha Jamii na kuboresha maisha nchini

    Mkuu wa Kitengo cha CRDB Wakala, Ericky Willy (wapili kushoto) akimkabidhi mshindi wa mwezi wa tano wa kampeni ya “CRDB Wakala 10 na Kitu”, Joshua Lembeli Loketa kadi ya Bajaj baada ya kuongoza kwa Idadi ya miamala katika kampeni hiyo. Wengine pichani ni baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB...
  17. BARD AI

    Watumishi 8 Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) wafunguliwa mashtaka 48

    Kupitia shauri la Uhujumu Uchumi namba 26/2023 lililofunguliwa Juni 2023 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, ambapo washtakiwa waliokuwa waajiriwa TGFA, walisomewa mashtaka 48. Mashtaka mengine waliyoshtakiwa nayo ni pamoja na Kuendesha Genge la Uhalifu, Kughushi, Kuchepusha...
  18. winnerian

    Ninaionya Serikali katika kuingiza siasa kwenye Mashirika na Wakala zake mbalimbali

    Kuna trend inaendelea ya kuweka siasa kwenye kila kitu ambacho serikali ina nguvu na mamlaka juu yake bila kujali dira mwelekeo na maono ya taasisi hizi. Kubadilisha watendaji wakuu kwenye taasisi, mashirika na wakala tendaji za serikali kwa vipindi vifupi vifupi ni kuingiza siasa kwenye uti wa...
  19. benzemah

    Rais Samia ateua na Kutengua Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo: i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw...
  20. Mnada wa Mhunze

    Huenda Maulid Kitenge ni wakala wa Mafisadi?

    Ukimfuatilia mlolongo wa matukio kadha wa kadha ya hivi karibuni lazima mwanzoni mwa picha utamushuhudia Kitenge akiwaandaa watu kisaikolojia. Mfano la Waarabu wa Loliondo na lile na Wamasai kule Ngorongoro Kitenge alitangulia kufanya kipindi cha kizushi. Hili la Bandari tena Kitenge huyohuyo...
Back
Top Bottom