bilionea

  1. Erythrocyte

    Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

    Taarifa ya dharula ya Chadema iliyosambazwa mitandaoni inaeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho amelazimika kukatisha ziara ya kichama ili kuwahi mazishi ya Bilionea mwenzake Sabodo Sabodo aliyefariki Alfajiri ya kuamka leo atazikwa leo saa 4 usiku kwenye Makaburi ya Kisutu INNALILLAH...
  2. S

    Bilionea Nwoko: Nimi siwezi kumuoa mwanamke ambaye sio bikra

    Bilionea Ned Nwoko kutoka nchini Nigeria amesema huwa hafungi ndoa na Mwanamke ambaye sio bikra. Bilionea huyo hadi sasa ana wake 6 anaishi nao wote hadi sasa. Maneno hayo alitamka kwenye interview Mpya na kuweka wazi kuwa yeye akitaka kuoa ni lazima mwanamke husika awe bikra bila hivyo Haoi...
  3. Danielmwasi

    Kila mchezaji wa Young Africans SC atakuwa bilionea kwa Shilingi za Tanzania

    Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa. Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia mafanikio hayo against mamelodi. 🌟🇹🇿 Kufikia mafanikio ya kuwa bilionea ni ndoto kubwa kwa...
  4. DodomaTZ

    Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio...
  5. W

    Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya

    Historia fupi juu ya Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya, Kuuawa kwa Dada yake, Kukamatwa kwa Mke wake hadi Kuachiwa kwake Agosti 7, 2013 Saa 7 Mchana ya Jumatano, taarifa mbaya za mauaji zinaanza kusambaa Jijini Arusha zikieleza kuwa Mfanyabiashara Maarufu na Mmiliki wa Migodi ya Madini ya...
  6. GENTAMYCINE

    Sasa ni rasmi ukiwa Waziri Tanzania usipokuwa Bilionea umejitakia tu Mwenyewe kwa Ujinga wako

    Kuwa na kiasi cha Pesa cha Kuanzia Shilingi Bilioni Moja katika Akaunti zao ni jambo la kawaida mno kama ilivyo katika Kushindana Kwao kuitafuta Shilingi Trilioni ili wawe na uhakika wa Maisha yao ya Kiujumla na Fedha ya uhakika ya kuwarejesha tena Bungeni kwa Kushinda katika Majimbo yao kila...
  7. R

    Wahusika tuwekee katika TanzLII Judgement ya mke wa marehemu Bilionea Msuya tusome reasoning ya Judge

    Kawaida, tena on the spot, judgment zinazotolewa na HC and CoA zinawekwa kwenye website ya TANZLII. Such a sensitive judgment one would expect to be posted as soon as possible! Tuwekeeni tuchambue reasoning ya Judge maana sasa inaruhusiwa kusema lolote kuhusu shauri hilo na Judgement hiyo.
  8. C

    Mahakamani hakuna haki, ndo maana M23 hawaweki silaha chini.( Refer kesi ya bilionea Msuya).

    Kwema wakuu Mawakili kama kibatala ni mafala wanajiona wajanja kutetea wakosaji ili wasifungwe, watu wanaamua kushika silaha kama M23
  9. D

    Kesi ya mke wa bilionea Msuya imenifanya nikumbuke misemo na nahau zifuatazo

    Hii ndiyo misemo unayoweza kuikumbuka dhidi ya ushindi wa mke wa bilionea! 1. Anaye cheka mwishoni hucheka sana 2. Tamaa mbele mauti nyuma 3. Mchuma janga hula na nduguze 4. Heri kumwagwa kuliko kumiminwa 5. Haiwi imekwisha hadi iishe 6. Ghafula bin vuu 7. Ukitaka kuruka agana na nyonga 8. Leo...
  10. Erythrocyte

    Huu hapa ni Ujumbe wa wakili wa Utetezi kwenye kesi ya mke wa Bilionea Msuya

    Wakili Peter Kibatala akielezea kesi ya mjane wa Bilionea Msuya baada ya Mahakama Kuu kumwachia huru Miriam Mrita. "Watu wa Arusha nawatania kidogo, nimewaletea dada yenu, wifi yenu na shemeji yenu, hatudaiani tena" - Peter Kibatala Wakili wa Mjane wa Bilionea Msuya. Pia soma: - Mjane wa...
  11. Nyendo

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haikumkuta na hatia

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemkuta hana hatia Miriam Steven Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, bilionea Erasto Msuya hivyo ameachiwa huru baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yake. Miriam pamoja na mshitakiwa...
  12. N

    Mjane wa Bilionea Msuya anaachiwa huru leo

    Pasi na shaka leo mjane wa bilionea Msuya atakua uraiani baada ya miaka 8 jela. Ushahidi uliotolewa kulingana na hukumu inayoendelea kusomwa na mh jaji, basi mtuhumiwa anaachiwa muda si mrefu.
  13. D

    Hukumu ya mke wa bilionea msuya yaanza kusomwa

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/live-hukumu-ya-mjane-wa-bilionea-msuya-yaanza-kusomwa--4534534 Credit: MWANANCHI
  14. P

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    Hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, ya mjane wa bilionea wa madini, Bilionea Msuya, Miriam Steven kusomwa leo. Miriam pamoja na mshtakiwa mwenzake, Revocatus Everist Muyella, maarufu kama Ray, wanakabiriwa na shtaka la mauaji ya kukusudia, wanadaiwa kumuua kwa kumchinja, Aneth Elisaria...
  15. BARD AI

    Bilionea kutoka India, 𝗔dani ainunua TICTS kutoka kwa Karamagi na Manek

    KAMPUNI inayomilikiwa na kampuni ya Gautam Adani, ambaye ni miongoni mwa matajiri wakubwa duniani, imenunua Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Makontena Tanzania (TICTS), ambacho wakurugenzi wake waanzilishi ni pamoja na wafanyabiashara wazawa Nazir Karamagi na Yogesh Manek. Thamani ya mkataba...
  16. D

    Dozy Mmobuosi - Mnaijeria aliyetaka kununua Sheffield United kwa kujifanya bilionea

    Kama kuna watu wamesoma na wanajua mambo ila wanatumia elimu yao kutapeli ni wanaija. Dozy ni mnaija anayedai kuwa ni CEO na Mwanzilishi wa Tingo Mobile. Jamaa alianzisha tingo mobile ikiwa na model ya kuwakopisha wakulima wa naijeria smartphones, ila baadaye akaanzisha soko la kidijitali...
  17. Jaji Mfawidhi

    Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

    Wilfred Tarimo siyo jina geni kwa watu wa kaskazini hasa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutokana na baba yao mzazi mzee Lucas Tarimo[Marehemu] kuwa na utajiri kumkaribia Reginald Mengi. Mtoto wa Lukas Tarimo aitwaye aitwaye Wilfred Lucas Tarimo ambaye sasa ni mmiliki wa Snow Crest lakini pia...
  18. Nyafwili

    Bilionea Warren Buffett: Nikifariki mali zangu wapewe wenye uhitaji

    Bilionea namba 5 duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes, Warren Buffett baada ya mwanahisa mwenzake ndani ya kampuni ya ''Berkshire Hathaway'' Bwana Charlie Munger kutangulia mbele ya haki 28/11/2023 Kwenye jarida la Fortune Magazine, linaeleza kuwa kwenye barua iliyochapishwa na kampuni ya...
  19. A

    Nitajie Msomi Bilionea

    Kibongobongo Kusoma Sana ni kukataa kuwa Bilionea Kwa makusudi
  20. O

    Kesi ya mjane wa bilionea Msuya: Kampuni ya CMC Motors ilivyomtetea mjane wa Bilionea Msuya

    [Kampuni ya uuzaji magari ya CMC Automobiles Limited imeieleza Mahakama kuwa gari aina ya Ford Rangers yenye namba za usajili T307 CBH, inayohusishwa katika kesi ya mauaji ya Aneth Elisaria Msuya iko kwenye gereji yake tangu Mei 9, 2016. Maelezo hayo yametolewa na Meneja Utawala na Matengenezo...
Back
Top Bottom