maono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Miaka 60 ya uhuru bado maji shida. Huku ni kukosa maono

    Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu. Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana. Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
  2. K

    Maono yangu kwa Tanzania baada ya miaka 3 (2019 mpaka 2022)

    Nimekuja Tanzania kwa likizo baada ya miaka 3 na mpaka sasa nipo hapa na haya ndiyo maono yangu tangu 2019 mpaka leo Sehemu ambazo zina mabadiliko mazuri 1. Ujenzi kwa ujimla umeongeka hasa airport terminal ya Dar ambayo imepunguza usumbufu sana 2. Urafiki kwa wageni umeongezeka airport sana...
  3. Elius W Ndabila

    Tunayaishi maono ya hayati Mwalimu Nyerere?

    Baada ya simulizi ya jana juu kifo Cha Mwalimu Nyerere tarehe 14/10/1999, simulizi iliyopambwa na ulikuwa wapi tarehe hiyo! Niliahidi kuendelea na Uchambuzi wa MAONO ya Mwalimu Kwa Taifa hili. Jambo kubwa na la msingi sana HAYATI Julius Kambarage Nyerere ndiye kiongozi wa mstari wa mbele katika...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

    Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya Jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal. Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Maono ya kuendeleza na kupendezesha jiji la Mbeya

    Mwangaluka! Mwakaata! Mwagona! Mwaghona! Mughonile! Mapembelo! Kamwene! Ukurasa wa 1 MAONO YA KUENDELEZA NA KUPENDEZESHA JIJI LA MBEYA “When it comes to innovating big ideas and realising them, the sky is the limit” “Suala la kuibua fikra pana na pevu na jinsi ya kuzitekeleza, huwa halina...
  6. K

    SoC02 Maono ya Kapanda

    KILIMO Sekta inayolisha na kuleta neema kwa mabilioni ya watu imeendelea kupata changamoto za kila aina, Mungu si Athumani, bado imeendelea kutulisha na kutupa afya na ustawi wetu wa kila siku, wanadamu na viumbe vinavyotuzunguka. Kilimo ni ajira kale sana, miongoni mwa ajira za kwanza za...
  7. T

    Maono: Siku Marekani akichoka visa vinavyofanywa na Korea Kaskazini huenda ataifuta kabisa

    Kila siku Korea kaskazini inajaribu kujitutumua mbele ya Marekani kwa kujaribu kuwatisha Korea Kusini na Japan kwa majaribio ya silaha za nyuklia. Majaribio hayo yanaikera Marekani kwa kiwango kikubwa ila kwa usalama na amani ya dunia anaamua kukaa kimya wala kutokujibu majaribio hayo huku...
  8. L

    Rais Samia ni kiongozi mwenye maono sana

    Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza. Ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona...
  9. Mtz_D

    SoC02 Elimu yetu inatufundisha kuwa na maono juu ya mustakabali wa Taifa letu?

    UTANGULIZI: ELIMU ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga Akili, Tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Jamii hutumia Elimu kupitisha Maarifa, Ujuzi na Maadili kutoka kizazi kimoja hadi kizazi kingine. MAADILI ni mafundisho yanayotolewa katika nafasi mbalimbali hasa...
  10. M

    Huyu ndio mwanasiasa mwenye akili. Wapinzani wanafuata maono yake

    Ukweli mtupu, hapa anaelekeza kulamba asali kwa Mbowe. 👇
  11. Corticopontine

    Rais Samia anaongozwa na Magufuli anakusanya kodi kutekeleza Maono ya Magufuli, wanaobwabwaja wana akili ndogo sana

    Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza...
  12. T

    Rais Samia ni kiongozi bora, ni mbeba maono na mvumilivu kweli

    Anaweza kubezwa leo kwa anachofanya lakini akakubwa kesho na kiongozi bora hafanyi kwa ajili ya leo tu anafanya kwa ajili ya kesho. Baadhi ya nukuu na hotuba za Mwalimu Nyerere bado zinaishi mpaka leo na ukizisikiliza unaweza kufikiri ni leo ndio anazungumza. Kipindi Cha Mwalimu kuna...
  13. mr gentleman

    CHADEMA ni wakati wa kuomba msamaha kwa Zitto ili awasaidie, amewazidi sana maono

    Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema. Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni. Sasa...
  14. G

    Yapi ni Maono ya Taifa la Tanzania huko tuendako?

    Tanzania kama Taifa mojawapo hapa Duniani lazima iwe na Dira na Maono yanayoonyesha jinsi na namna itakavyojiendeleza kitaifa na kimataifa. Kuna vipindi tumeshuhudia tukiletewa mipango ya muda mfupi,kati na mrefu ya Taifa Letu,tatizo ni maono,dira na mipango gani hiyo tuliyoweka? Hayo maono...
  15. Magazetini

    Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
  16. mgt software

    Hayati Magufuli alikuwa na maono juu ya mpango wa Magereza kuwa na shughuli za uzalishaji. DPP ndiye kikwazo

    Wana JF Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali. Kwanini...
  17. britanicca

    Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

    Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali...
  18. kavulata

    Wabunge hawa hawana sifa ya kutengeneza maono ya Taifa kama Askofu Gwajima anavyotaka iwe

    Maono ya taifa ni makubaliano ya jumla ya taifa kuhusu uelekeo wa wanakotaka kufika na kujiona wamefika huko wanakotamani kufika miaka kadhaa (mingi) ijayo. Makubaliano ya aina hii ni lazima yatengenezewe mikakati ya kufika huko tunakotamani tufike kama taifa. Mkakati huo lazima utekelezwe na...
  19. R

    Ukweli Usemwe: Mtu ambaye anaiba uchaguzi anaweza kuwa na maono/ mpango wa maendeleo wa muda mrefu?

    Kuna vitu vinashangaza sana ktk hii dunia. Kuna watu wanasikika wakisema Nchi haina maono na haina mipango ya maendeleo ya muda mrefu. Nchi iliyojaa wala rushwa, wabadhilifu, wasioheshimu viapo vyao, wakanyaga katiba ya nchi na wafujaji wa mali za umma wanawezaje kuwa pioneers wa maendeleo...
  20. J

    Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

    Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani...
Back
Top Bottom