magereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    UHAMIAJI NA MAGEREZA

    Wakuu kwema kuna Watu walifanya usahili uhamiaji na magereza washaripoti? Kama unafahamu chochote NAITAJI majibu
  2. U

    Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  3. Greatest Of All Time

    Esther Matiko ahoji tofauti ya mishahara kwa askari magereza na askari polisi licha ya kuwa wote wapo wizara moja

    "Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba...
  4. G

    Mliowahi kupita kwenye idara ya Uhamiaji na Magereza tunaomba uzoefu wenu

    Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi. Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki kuomba msitukatishe tamaa.
  5. I

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
  6. M

    Naomba kuuliza kwa anayefahamu kwa uhakika: Ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza inabidi akae bila kuoa au kuolewa?

    Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
  7. K

    Wajuzi nishaurini, nataka kujiunga na Jeshi la Magereza

    Wakuu habari za muda? Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo; - Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi. - Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi...
  8. WeedLiquorz

    Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

    Salaam Wakuu. Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa. Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi Angalizo; Mimi si Askari na sina...
  9. M

    Peter Madeleka: Kutishia watu kuwapeleka Magereza ili wateseke ni Ushamba na ulimbukeni. Kuuza bandari za Watanganyika ni ufisadi

    Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
  10. Nyuki Mdogo

    Njia Panda Ya magereza😅😅😅

    Njia za kumpeleka mwanaume JELA ziko nyingi sana😂😂😂
  11. Lidafo

    SoC03 Jinsi jeshi la Magereza na Jamii kwa ujumla zinavyopelekea wafungwa kurudia uhalifu pindi wanapomaliza vifungo vyao

    Tatizo la wahalifu waliohukumiwa wanapomaliza vifungo na kurudi mitaani kisha kuendelea na uhalifu ni moja ya changamoto katika jamii zetu pamoja na kazi nzuri inayofanywa na jeshi la magereza ya kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili watoke wakiwa raia wema lakini bado jukumu hili...
  12. T

    Usaili wa magereza unakuaje?

    Msaada Naomba kufahamu usaili wa magereza kwa wenye fani mbalimbali Unakuwaje
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Aitaka Wizara ya Mambo ya Ndani Kuboresha Makazi ya Polisi na Magereza

    MARTHA FESTO MARIKI AITAKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUBORESHA MAKAZI YA POLISI NA MAGEREZA "Katika Mkoa wa Katavi katika Jeshi la Zimamoto tuna takribani zaidi ya miaka 12 hatuna gari la uhakika la Zimamoto. Mkoa unakua, Serikali imewekeza ikiwepo Bandari. Mkoa unapokea wafanyabiashara wengi...
  14. E

    SoC03 Magereza yasiwe sehemu ya kuua ndoto za wafungwa

    Kumekuwepo na changamoto ya wahalifu wengi (japo sio wote) kuongeza matukio ya kihalifu na tabia zisizo za kimaadili pindi wanapotoka magerezani baada ya kumaliza kutumikia vifungo vyao. Ambaye alikua havuti sigara anatoka anavuta sigara, aliyekua hanywi pombe anatoka anakunywa pombe, aliyekua...
  15. R

    Jeshi la Magereza lazindua sare mpya wa wafungwa wakike

    Jeshi la magereza nchini limezindua sare mpya ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia leo Aprili 26, 2023 kwa wafungwa wakike wote wanaotumikia vifungo vyao gerezani. Akizindua sare hizo, Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini, CGP Mzee Ramadhan Nyamka amewataka wakuu wa magereza katika mikoa yote...
  16. Poppy Hatonn

    Kamishna Jenerali wa Magereza akabidhiwa Detention Centre na ICTR Arusha

    Hii imefanyika Feb 23,2023. International Criminal Tribunal for Rwanda ambayo imemaliza kazi yake, imekabidhi Detention Centre kwa Kamishna Jenerali, kuitumia anavyopenda. Ni Detention Centre ya watu mia moja(100). Kila chumba kina choo. Lipo jiko pale. Haiitwi jela. Inaitwa Detention...
  17. BARD AI

    Tume ya Hakijinai kukagua Vituo vya Polisi, Magereza, kuhoji Wafungwa, Wananchi na Askari

    JF SUMMARY Tume ya Kuboresha Taasisi za Hakijinai Nchini itaanza ziara ya siku 12 katika Mikoa 13 kwa kutembelea Magereza Makuu 14 na Makazi ya Askari ili kupata maoni kutoka makundi mbalimbali wakiwamo Wananchi na Askari wa Vyeo vya chini. Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu #OthmanChande...
  18. Hemedy Jr Junior

    Haya ndiyo magereza manne ya kifahari zaidi duniani

    LIPO AMBALO WAFUNGWA WANALIPWA Tsh. 18,000 NA LINGINE UKIINGIA UNALIPIA ADA KILA MWISHO WA MWEZI. 1. ARANJUEZ,Gereza hili linapatikana huko Hispania Jijini Madrid. Inaaminika hili ndio Gereza la kifahari na la kitofauti zaidi duniani,kwani wafungwa wa hili gereza huishi maisha kifahari sana...
  19. Teko Modise

    Kwanini Askari Magereza wengi wanaishi maisha magumu?

    Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui? Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao. Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine. Pili makazi yao duni...
Back
Top Bottom