Rais Samia anaongozwa na Magufuli anakusanya kodi kutekeleza Maono ya Magufuli, wanaobwabwaja wana akili ndogo sana

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli

Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza maono, falsafa za Dr Magufuli.

Miradi ya Umeme na SGR ni miradi ya kihistoria ambayo itakumbukwa vizazi hadi vizazi.

Miundombinu ya nchi nzima yote hii 90% imejengwa na Magufuli akiwa Rais.
 
Taja mradi mpya alioanzisha Hayati Dr Magufuli ambao haukuwepo wakati wa watangulizi wake! ni kweli Dr Magufuli alifanya mengi mema akiwa Rais, lakini hili la miundo mbinu asilimia kubwa aliijenga akiwa Waziri na sio Rais
 
Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli

Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza maoni, falsafa za Dr Magufuli
Miradi ya Umeme na SGR ni miradi ya kihistoria ambayo itakumbukwa vizazi hadi vizazi

Miundombinu ya nchi nzima yote hii 90% imejengwa na Magufuli akiwa Rais
Akiri kisoda
 
Tabu hizi wapatazo ndg zangu zinanisikitisha Sana! Kimsingi sioni sababu ya kujipa tabu zote hizi huku ukijua fika kuwa huwezi kulipangua alipangalo Mungu bila kujali ni vp unamchukia aliyempangia.
 
Kwa stress uliyo nayo kwa sasa mimi nakushauri pumzika kwanza kutoa thread.

Hazina kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom