madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NostradamusEstrademe

    Nyalandu aleta madaktari bingwa 50 kumuunga mkono Rais Samia

    Katika kuhakikisha afya za Watanzania hasa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali, kundi la zaidi ya madaktari bingwa 50 kutoka Jimbo la Califonia nchini Marekani, watakuwa nchini kutoa matibabu na ushauri wa kitaalamu bure. Madaktari hao ambao wamebobea kwenye tiba za mifupa, nyonga na mishipa...
  2. Roving Journalist

    UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

    UPDATE: WIZARA YA AFYA YAUNDA KAMATI KUCHUNGUZA MADAI YA MADAKTARI WATARAJALI Madaktari Tarajali wanatoa malalamiko yao dhidi ya Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) Akizungumza katika mkutano huo wa Wanahabari, Dkt. Warsha Wilson ambaye ni mmoja wa waathirika wa matokeo mabaya ya...
  3. Pfizer

    Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Mheshimiwa Rais, Amani iwe nawe daima. Mheshimiwa Rais, Awali ya yote tunakupa pole kwa kazi zako za kila siku za kuhudumia Watanzania, huku tukiamini Mwenyezi Mungu anaendelea kukujalia afya tele na tunatambua pia una majukumu mengi kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu. Mheshimiwa Rais, hii ni...
  4. Roving Journalist

    Prof. Makubi afanya kikao cha kimkakati na Madaktari Bingwa/bobezi ndani ya MOI

    Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Prof. Abel Makubi, leo Julai 12, 2023 amefanya kikao na madaktari bingwa/Bobezi wa MOI ili kujadili kwa pamoja namna ya kuboresha huduma kwa wagonjwa, suala la huduma kwa wateja, uwajibikaji wenye matokeo , kuwa na mtazamo chanya pamoja na kuongeza na kuifanya Taasisi...
  5. Roving Journalist

    MOI yaendesha Mafunzo ya Kimataifa ya Saratani ya Mifupa na Misuli, Madaktari 200 wanashiriki

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imezindua mafunzo ya kimataifa ya matibabu ya Saratani ya Mifupa na Misuli yanayofanyika kwa siku tatu ambapo zaidi ya madaktari 200 kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza, Australia, Malaysia wanashiriki. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Lemeri...
  6. G

    Sijaelewa ni kwanini madaktari wanafunzi wa Sudan wameamua kukimbilia Tanzania badala ya Kenya na Uganda majirani

    Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
  7. T

    Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
  8. M

    MADAKTARI MTUSAIDIE HAPA

    Madaktari njooni mtusaidie hapa. Kipindi ambacho Jacob Zuma alikuwa akigombea urais wa Afrika Kusini, kuna watu walimuuliza kuhusu afya yake, yaani ni kwamba alikuwa akifanya mapenzi na muathirika wa UKIMWI. Sasa kwenye majibu yake alijibu kwamba: “Ni kweli nilikuwa nafanya mapenzi na...
  9. B

    Kwa hali yangu hii kweli nitaweza kudumu kwenye mahusiano? Madaktari wananichanganya kabisa

    Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia. Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
  10. R

    Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

    Ndugu wanajamvi. Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..? Nilimpeleka mtu mida ya usiku...
  11. Wadiz

    Hivi Madaktari (MD) nao wanaumwaga na kulazwa kabisa au hadi kufa?

    Hello, Mimi kama Wadiz a.k.a Baharia Naumia sana na roho mbaya, majidai na dharau za za baadhi ya Madaktari kwa wagonjwa ni kero tishio, baadhi wanajikuta sana hadi najiuliza hivi hawa wana kinga ya kuumwa na kufa, au wana bima ya uhai wa maisha yao. Kuna wimbi la kutuandikia madawa lundo...
  12. Dr. Wansegamila

    DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

    Naandika uzi huu kwa uchungu na majonzi makubwa. Siku za hivi karibuni nikiwa mkoa wa ugenini mishale ya usiku nilianza kujisikia hovyo sana kwa ghafla tu. Hali ilianza kubadilika mida ya saa sita za usiku. Nilianza kujisikia hali ya ganzi upande wa kushoto wa kifua, na mapigo ya moyo kwenda...
  13. JanguKamaJangu

    Nigeria: Madaktari waanza mgomo wa siku 5 kushinikiza malipo bora

    Chama cha Madaktari Wazawa wa Nigeria (Nard) kimesema uamuzi huo unahusisha Madaktari wa Hospitali za Serikali unatokana na Serikali kushindwa kutimiza mahitaji ikiwemo maboresho ya mishahara na malipo mengine. Serikali imedai mgomo huo sio halali na watakaoshiriki hawatalipwa na kudai kuna...
  14. F

    Waalimu, madaktari, wasomi na watu wa sekta nyingine tujifunze kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kuzungumzia kero zetu.

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi! Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
  15. R

    Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

    Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu. Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na...
  16. Suley2019

    Mtwara: Madaktari wafanikiwa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto

    JOPO la Madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Kusini, Mtwara wamefanya upasuaji wa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto wa miaka tisa kwa mafanikio makubwa baada ya kutumia vifaa vya kisasa kufanya uchunguzi na kubaini tatizo hilo. Akizungumza Kwa njia ya simu na chombo kimoja cha habari...
  17. Q

    Madaktari wa JF naomba msome X-ray hii

    Heshima zenu doctors mliopo JF, Naomba mnisaidie kusoma hii picha ya X-ray kisha mniambie huyu mgonjwa ana shida gani. Natanguliza shukrani.
  18. agudev

    Madaktari na wataalamu wa chakula, kwanini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  19. agudev

    Madaktari na wataalamu wa chakula, kwa nini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  20. jMali

    Swali kwa Baraza la Madaktari na Wizara ya Afya

    Ombi: Sijapita muda mrefu hapa JF, naona jukwaa jipya la ku fact check mambo. Sasa sijui tunasubmit issues namna gani hapo, kwa sasa natumia jukwaa hili la mchanganyiko nikiomba mods kunisaidia kama hii thread yangu inaweza kuhamia kwenye jukwaa la Jamii Check. Swali langu kwa wadau wa afya...
Back
Top Bottom