kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Wamarekani wajitokeza kuandamana dhidi ya wanaoandamana kuunga mikono magaidi wa HAMAS

    Kama mbwai na iwe mbwai, watu wameruhusiwa kuhamia Marekani wanashindwa kuvumilia na kuanzisha choko choko zao kwenye nchi za watu, na bila aibu wanaandamana kuunga mkono magaidi wa HAMAS wenye mlengo wa dini ya kiislamu. Sasa wenye nchi yao nao wameanza kuingia barabarani...... As the size...
  2. K

    Viongozi wa BAVICHA wakishiba na kuvimbiwa, wanawaza maandamano bila kujali hali za vijana wanaowataka kuandamana.

    Nawapongeza sana UVCCM maana wanachofanya siku zote ni kuwaheshimisha vijana, huwezi kukuta UVCCM wanapanga kufanya maandamano huku wakijua vijana wanatakiwa kutafuta ugali wao muda huo. Maandamano ya UVCCM yananifurahisha Kwa sababu yanakuja baada ya vijana kushiba tofauti na ya BAVICHA ambayo...
  3. engineerafrican

    Nini tathmini ya matokeo ya vyama vya siasa kuandamana kupinga hali ngumu ya maisha?

    Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha? Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii? Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge? Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo...
  4. Suley2019

    Nkasi: Wananchi wa Kabwe wadaiwa kuandamana kupinga kuongozwa na upinzani

    Wananchi wa kata ya Kabwe jimbo la Nkasi Mashariki mkoani Rukwa wameandamana kukataa kuongozwa na upinzani baada ya diwani wa kata hiyo kufariki huku madai yao ni kuongozwa na upinzani kwa miaka 27 bila maendeleo katika eneo hilo. Kata hiyo ni miongoni mwa kata ambazo tume ya taifa ya uchaguzi...
  5. BARD AI

    Waziri wa Ulinzi wa Liberia ajiuzulu baada ya Wake wa Wanajeshi kuandamana kushinikiza nyongeza ya Posho

    #LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu nafasi yake baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi maisha duni katika kambi za Kijeshi. Wanawake hao waliandamana na kuweka Vizuizi kwenye Barabara zinazoingia...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Kabla hatujaingia barabarani kuandamana leo tarehe 24 Januari hebu tutafakari jambo hili

    2019 Ulifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa. Rough za wazi kabisa zilijitokeza. Maamuzi ya chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) yalikuwa ni kususia uchaguzi ule. Yes , ikawa hivyo. So far viongozi wa ngazi ya juu CHADEMA waliahidi kutokushiriki uchaguzi mkuu wa 2020 endapo kasoro kama zile au...
  7. Elli

    Tumeruhusiwa kuandamana ila CCM hawana amani, tahadhari iwepo! Soma hapa

    Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote. Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa...
  8. Peter Dafi

    Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mkiwaona CHADEMA wanaandamana mjue wameamua kutumia miguu kufikiri

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema. Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri Badala ya Akili/Ubongo. https://www.instagram.com/reel/C2UvdMwtYtD/?igsh=ZWNpZmN3OW8wdHJq
  9. P

    Askofu Mwamakula: Naona huu sio muda sahihi wa kuwahukumu wabunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi

    Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
  10. Roving Journalist

    CHADEMA Katavi yasema inaunga mkono kauli ya Mbowe ya kuandamana Januari 24

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi kimejipanga kutekeleza kufanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24, 2024. Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Roda Kunchela ameyasema hayo akiwa katika ofisi ya chama hicho mkoani humo ambapo amesema agiza la...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Bado sijaona Watu wa kuandamana nchi hii hata wangechukuliwa Wake zao

    Kwema Wakuu! Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24 hayatafanyika. Hayo mambo ya kusema sijui Bakabaka watafanya Usafi wala isije ikawa kisingizio...
  12. B

    Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote

    1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha. 2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu! 3. "Mwabukusi, Mdude, Buberwa, Sauti ya Watanzania, ACT, CHADEMA, TEC, BAKWATA, MAIMAMU, Masheikh, Maaskofu, nk; fursa...
  13. Roving Journalist

    Dar: Polisi yazima maandamano, yakiri kumshikiliwa Sheikh Ponda kwa mahojiano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP. Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki maandamano hayo. ===== Polisi Dar wazima maandamano, Sheikh Ponda akamatwa Jeshi la Polisi Kanda...
  14. Jidu La Mabambasi

    Mmachinga: Oyaaa....! Mwanangu kuandamana barabarani siingii

    Du...mmachinga kamaliza! Machinga wengine ni waelewa, kuna graduates mle! Hongera mmachinga, tumekuelewa!
  15. Etwege

    Mdude Nyagali: Tutawataka Watanzania walio nje ya nchi kuandamana zilipo balozi za Falme za Kiarabu duniani

    Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa. “Tumeambiwa kurudi tena Polisi Agosti...
  16. BARD AI

    Gachagua: Hauwezi kuandamana halafu utarajie Polisi akupige Mabusu

    Naibu Rais huyo wa Kenya amesema Serikali haitowavumilia Wanaoandamana kwa kuharibu Mali za watu pia wajue wao ndio sababu ya Polisi kuingia Mtaani na kupambana nao, vinginevyo wangekaa tu Vituoni. Gachagua amewataka Askari kutekeleza majukumu na kutosumbuliwa na kauli za Wanasiasa wa Upinzani...
  17. BARD AI

    Raila Odinga atangaza kuandamana kwa siku 3 kila wiki kuanzia Julai 19, 2023

    Muungano wa Vyama vya Upinzani wa Azimio la Umoja One Kenya, umesema uamuzi huo unatokana na maombi ya Sekta mballmbali Nchini humo zinazotaka kushiriki Maandamano hayo. Taarifa iliyotolewa na Umoja huo leo Julai 14, 2023 imesema ratiba mpya ya Maandamano itahusisha siku za Kazi na itaanza...
  18. S

    Rais wangu mpendwa nchi hii imekuwa ya migomo? Mbona wakati wa Magufuli hatukuona hata kikundi kimoja kikijaribu hata kuwaza kugoma? Why now?

    Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha...
  19. F

    Hongera watanzania: Hata kama wanatuzuia kuandamana mitaani, tuandamane mitandaoni. Maandamano haya ya kisasa yana nguvu kubwa!

    Heko Watanzania kwa mwamko mnaoonesha wa kufuatilia masuala nyeti ya nchi yetu. Laiti tungekuwa hivi miaka 30 iliyopita tungekuwa mbali sana kimaendeleo.. Mnajua ukweli huu?: HAKUNA NCHI YA WAJINGA NA WAOGA ILIYOWAHI KUENDELEA! Ukiona ujinga na woga vinatoweka basi ujue maendeleo yapo karibu...
Back
Top Bottom