hali ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Natafuta kazi ndugu zangu, hali ni ngumu

    Kwa heshima kubwa na taadhima nawasalimu katika hali zote Mimi ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni ya kidato cha sita, niko Dar es salaamn. Nilisoma chuo kikuu, sikufanikiwa kumaliza kwa sababu ya changamoto za kiuchumi. Ninaomba kazi ili nipate japo pesa ya kula na ya mahali pa kuishi kwani...
  2. engineerafrican

    Nini tathmini ya matokeo ya vyama vya siasa kuandamana kupinga hali ngumu ya maisha?

    Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha? Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii? Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge? Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo...
  3. B

    Raia walia na hali ngumu ya maisha chini ya Rais Tinubu

    15 FEBRUARY 2024 Kano City, Jimbo la Kano Nigeria WATAASI RAIA, HALI NGUMU YA MAISHA KASKAZINI, WAMECHOKA AHADI ZETU VIONGOZI https://m.youtube.com/watch?v=F_dw0D2tcP0 Watuma ujumbe mzito, raia sasa wagombania makabi ya mpunga badala ya mchele kutokana na ughali wa maisha na kumtahadharisha...
  4. M

    Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana. Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
  5. Pain 01

    Jinsi ya kutoka kwenye hali ngumu na kutafuta fursa za kazi zisizohitaji ujuzi maalum

    Habari zeni wakuu, kwa heshima na taadhima nmeona nilete jambo langu hapa. kwa maana katika harakati za msoto wa kila siku nmeona ni vyema kuleta jambo langu aidha naweza kupata idea ama kupata fursa yeyote kwani niko tayari kujifunza So ladies and Gents Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23...
  6. MK254

    Putin akiri hali ngumu, Ukraine wanapelekea moto kwenye counteroffensive

    Sio kawaida kwa huyu jamaa kukiri kipigo, ukiona mpaka anaisema ujue mle kwenye medani ni kichinjio cha wanajeshi wake... Putin says Ukrainian attacks have intensified in recent days Russian president Vladimir Putin said on Thursday that Ukrainian attacks had intensified in recent days...
  7. Dr Matola PhD

    Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

    Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni. Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood...
  8. Rwetembula Hassan Jumah

    Tuna mabinti kama huyu, Wasudani wa nini?

    Sa huyu mrembo wa Kitanzania anatofauti gani na hao Wasudani yaani bongo vitu vya kipuuzi ndo vinazungumzwa.
  9. Lanlady

    Serikali kununua tiketi 4000, ni ishara kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi?

    Suala la rais na waziri mkuu kuahidi kununua tiketi za kutazama mpira kwenye mechi ya taifa stars, je ni dalili kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi? Nini umuhimu wa kuwa na uwanja wa taifa kama kitega uchumi cha taifa?
  10. Bushmamy

    Baadhi ya wanaume wakimbia familia zao kutokana na hali ngumu ya maisha

    Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia. Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
  11. DR HAYA LAND

    Kweli Hali Ngumu mpaka Muda huu 0-0

    No Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
  12. Kiboko ya Jiwe

    Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
  13. Adharusi

    Chama cha Mapinduzi kiseme kuhusu upandaji wa mafuta na hali ngumu ya Maisha

    Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi Nimesema...
  14. peno hasegawa

    CCM kujadili mfumko wa bei kutokana na hali ngumu ya maisha

    Mbeya. Kutokana na mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali nchini, Makamu Mwenyekiti was Chama Cha Mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana amesema Chama hicho kimejipanga kufanya kikao mwezi ujao kujadili suala hilo. Kinana amebainisha hayo leo Julai 28, 2022 baada ya kupokewa na wakazi wa Mkoa wa Mbeya...
  15. Vladivostok

    Mtaani hali ngumu hata kazi za kujitolea hakuna wap tunaekea?

    Nimetoka ofisi moja asubuh kutafuta kazi ya kujitolea wameniambia hakuna imagine kazi ya kufanya bure hakuna vitu bei juu wap tunaelekea hali ni ngumu mno hela haina thaman kabisa soon tutaelewana .
  16. JanguKamaJangu

    Maandamano yaibuka Madagascar Wananchi walia hali ngumu ya maisha

    Maandamano makubwa yametokea katika Mji wa Antananarivo Nchini Madagascar yakihusisha mamia ya Wananchi ambao hoja yao kubwa ni maisha kuzidi kuwa magumu wakiilaumu Serikali ya Rais Andry Rajoelina kuhusu hali hiyo. Polisi wamelazimika kuingilia na kuwashikilia viongozi wawili wa juu wa Chama...
  17. Analogia Malenga

    Walimu tuna hali ngumu

    Walimu tuna hali ngumu (walimu) Na sisi tuna umuhimu (walimu) Tutazua kitimutimu (walimu) Hadi wizara ya Elimu (Walimu) Nimeukumbuka huu wimbo wa wagosi wa kaya jamani
  18. Sky Eclat

    Hali ngumu ya uchumi imenifanya nitafakari tulikotoka na tunakokwenda

    Ile miaka yetu wahenga mama zetu wengi walikuwa wake na mama wa nyumbani. Wengi walifika kuanzia darasa la nane na kuendelea. Enzi za elimu ya mkoloni cookery na needle work yalikuwa masomo compulsory kwa mtoto wa kike. Mishahara ya wazazi haikuwa mikubwa sana lakini wengi tulibahatika kuishi...
  19. MK254

    Benki kubwa ya Urusi yasitisha miamala ya hela ya China - hali mbaya

    China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina.... Na pia inapata tabu kutumia hela ya India ================== June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
  20. MK254

    Urusi yawaomba wanajeshi wa akiba waliostaafu wajitokeze maana hali ngumu

    Urusi imefikia hatua za kuomba usaidizi wa wastaafu maana hali imekua balaa, Ukraine japo kataifa kadogo lakini kamehimili na kupangua mapigo yote, na kama kawaida kwa vita vya muda mrefu huhitaji wanajeshi wapumzishwe ili wengine waje kwenye mapambano, sasa imekua vigumu kuwarejesha nyumbani...
Back
Top Bottom