ardhini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sir John Roberts

    Jeshi la Ardhini la Israeli IDF limeshindwa kuwakomboa Mateka Rasmi

    Taarifa zilizopo Rasmi ni kuwa IDF imeviondoa vikosi vyake vya ardhini huko Gaza leo ikiwa ni miezi 6 tangu kuingia Gaza kwa lengo la kwenda kuwaokoa mateka wa kiyahudi waliotekwa Oktoba 7 2023. Kwa mtazamo wa hara haraka lengo limeshindwa kufikiwa la kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas. Je...
  2. Ritz

    Jeshi la Israel linasema kuwa litaondoa vikosi vitano vya kijeshi vilivyoshiriki katika uvamizi wa ardhini wa Gaza

    Wanaukumbi. The Israeli military says it will withdraw five combat brigades taking part in the ground invasion of Gaza so troops can “gain strength” for future battles =============== Jeshi la Israel limesema litaondoa vikosi vitano vya kijeshi vilivyoshiriki katika uvamizi wa ardhini huko Gaza...
  3. Roving Journalist

    Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na joto la ardhini kikikamilika kitazalisha Megawati 70

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na Umeme wa Joto ardhi kilichopo Kijiji cha Mbeye, Kata ya Isongole. Katika ziara hiyo Haniu ameagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huu kufanya kazi kwa bidii ili...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa vyeti vya kuthibitishwa kwa madereva 999 waliosajiliwa na kuthibitishwa

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE AKABIDHI VYETI KWA MADEREVA 999 KUTOKA LATRA Naibu Waziri Uchukuzi na Ujenzi, Mhe. Atupele Mwakibete tarehe 01 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam ametoa vyeti kwa madereva 999 waliosailiwa na kuthibitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Nchini (LATRA), hii...
  5. F

    Hongera watanzania: Hata kama wanatuzuia kuandamana mitaani, tuandamane mitandaoni. Maandamano haya ya kisasa yana nguvu kubwa!

    Heko Watanzania kwa mwamko mnaoonesha wa kufuatilia masuala nyeti ya nchi yetu. Laiti tungekuwa hivi miaka 30 iliyopita tungekuwa mbali sana kimaendeleo.. Mnajua ukweli huu?: HAKUNA NCHI YA WAJINGA NA WAOGA ILIYOWAHI KUENDELEA! Ukiona ujinga na woga vinatoweka basi ujue maendeleo yapo karibu...
  6. JanguKamaJangu

    Wanajeshi 7 wa Niger wauawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini

    Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema. Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo. Gari lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu...
  7. Lycaon pictus

    Kitu gani huwa kinaishikilia reli ardhini?

    Eti wakuu sana. Ni kitu gani kinaishikilia reli ya treni ardhini?
  8. Komeo Lachuma

    Ni Wendawazimu kujificha kwenye Kichaka Cha Dini. Ni kupoteza Uelekeo na kufunika Kichwa Ardhini Ukidhani wenye akili Hatukuoni

    assalaam alaikum wa rahmatullahi wabalakatuh... huu naandika nikiwa nimekasirishwa na matukio ya watu kadhaa kuamua kujificha katika dini ili kudendeleza tabia cao chafu za njaa, unafiki na chuki. ni aibu kuwa sasa hivi kama Mtu atamkosoa Rais Samia itadaiwa ni sababu ya Dini yake. Huu ni...
  9. JanguKamaJangu

    Zelensky: Askari wa Urusi wanatega mabomu ya ardhini wanapoondoka

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewaonya watu wake mapema leo Aprili 2, 2022 kuwa wanajeshi wa Urusi wanaoondoka katika maeneo yao wanatengeneza kile amesema ni "mazingira ya maafa" nje ya mji mkuu kwa kutega mabomu ya ardhini katika eneo zima hata karibu na nyumba za watu na maiti. Ametoa...
  10. Zanzibar-ASP

    Urusi huenda imebakia na nguvu ya mashambulizi kutoka angani tu, ardhini pumzi imekata?

    Mimi binafsi sipendi vita, na katika vita vya Ukraine sitaki kushabikia upande wowote kuhusu mauaji, japokuwa siungi mkono kabisa uvamizi wa kijeshi wa Russia katika nchi ya Ukraine kwa kuwa ilitosha mgogoro huu kumalizwa kidiplomasia. Nilihisi na hata kutamani kuona Urusi ikimaliza tukio la...
  11. M

    Wanasiasa wa Tanzania epukeni sana Kuzoeleka kila mara na Siti za Ndege Angani, bali zoelekeni na Changamoto nyingi za Watanzania walio ardhini

    Tutaanza sasa Kuwahisi kuwa huenda hamtaki / hampendi Kukaa Tanzania mliko na Wajibu nako na mnataka kuwa Angani 24/7 kwani Tanzania inanuka na Watanzania tunanuka vile vile. Na hata pia Kiafya Mwanasiasa Kusafiri kila mara (tena kwa Ndege) ndani na nje ya Tanzania siyo vyema sana na ni Hatari...
Back
Top Bottom