tuungane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tulimumu

    Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  2. Pdidy

    Hata mkihairisha usafi uko palepale siku hiyo tuungane kusafisha jiji letu

    Sisi wana umoja wa usafi Dar es Salaam naomba tuweke wazi Inasemekana kuna chama kilipanga maandamano kwa bahati mbaya ikagongana na siku ya usafi tunaomba tuwajulishe hata wakihairisha sisi usafi uko pale pale na tunawakaribisha kuwa pamoja usafi n afya Mungu ibariki Tanzania na watu wake
  3. B

    Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote

    1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha. 2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu! 3. "Mwabukusi, Mdude, Buberwa, Sauti ya Watanzania, ACT, CHADEMA, TEC, BAKWATA, MAIMAMU, Masheikh, Maaskofu, nk; fursa...
  4. Mjukuu wa kigogo

    Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

    Wakuu hali inatisha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa inaendelea kuteketea kila kukicha. Hali ni mbaya wakuu!
  5. P

    Kama wao wanavyoungana kwenye batili, na sie tuungane kwenye haki

    Shime wote wapenda haki, kama mnavyoona wao wameungana kwenye batili na dhulma na wizi wa mali ya serikali, basi ni wajibu wetu na sie tuungane kutetea na kulinda mali ya serikali yetu, waliiba sana miaka na miaka sasa, sasa mirija inazibwa wanadai kuwa tayari hata inchi isitawalike? Karibu...
  6. Kichwamoto

    Wanaume tuungane kujenga mnara wa wanawake wenye Chuchu embe, Msambwanda konki, kichwa kidogo na kasura kazuri.

    Salamu tele, Hakika Mungu anaumba kwa utulivu unakutana na mademu wenye Chuchu embe + Msambwanda+ kichwa kidogo+ kasura kazuri Mungu akupe nini zaidi ya baraka zake na ufunuo wa raha, ladha na utamu wa mapenzi. Ni kwa hakika unajisikia una kaupako fulani ka mapenzi na kiu ya kupenzika...
  7. Expensive life

    Ukatili huu wanaoufanya GSM dhidi ya Yanga SC haukubaliki; wana-Yanga tuungane kuupinga

    Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja? Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/- Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa 35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion Haki kila mauzo ya jezi moja...
  8. Mnada wa Mhunze

    Watanganyika wote tuungane tulikatae hilo la waarabu

    Siyo kesho tena bali tuanze sasa! Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo. Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae...
  9. R

    Mbowe: Sisi na vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo sio maadui, lazima tusaidiane kuing'oa CCM

    Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani. Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo, na kwamba wao CHADEMA na vyama vingine sio maadui, lazima wasaidiane...
  10. fundi radio

    Tuungane kwenye maombi ya amani wakati tukisherehekea Pasaka na Ramadhani - Guterres

    Tuungane kwenye maombi ya amani wakati tukisherehekea Pasaka na Ramadhani - Guterres Reem Abaza wa UN News akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kuhusu ziara zake za kila mwaka za mshikamano wa Ramadhan. 6 Aprili 2023Amani na Usalama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...
  11. mandawa

    Naomba wakristo tuungane kumpinga mchungaji Masisi

    Mimi kama Kristo niliolelewa nikijua Biblia ni kitabu kitakatifu, nimesikitishwa sana na huyu mchungaji Masisi kwa makufuru yake kuhusu Biblia. Masisi hana tofauti na wakristo wengi ambao tumekuzwa tukielewa Biblia ni neo la kweli la Mungu, ila kiburi anachokionyesha sijui kwa usomi wa...
  12. NetMaster

    Kilichowatokea Simba kucheza uwanja wa Manungu mbali na mji nao Yanga wamekipata, Viwanja vya mechi viwe vya mjini na sio vya bushi.

    Hata kama kiwanja ni kizuri cha huko bush huwa ni usumbufu sana kuanza safari za ziada kutoka kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuanza safari za kwenda kwenye hivyo viwanja vya mbali huko vijijini. Kwanini vizitumike viwanja vya town ambako kuna huduma nzuri za hoteli, za kijamii, ulinzi, n.k. haya...
  13. rutajwah

    Natafuta vijana wenye ujuzi walio na ujuzi wa kiufundi walio mkoa wa Kagera tuungane tujikwamue kimaisha

    Habari wanjf, kutokana na tatizo la ajira linaloendelea hapa nchini, ujuzi wa ufundi ndo suluhisho pekee la kuondokana na changamoto hii. Hivyo natafuta vijana ambao wako tayari kujikwamua kimaisha ila wamekwama kwa namna moja au nyingine waje tuunganishe nguvu mawazo ili tupambane na...
  14. sinza pazuri

    Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

    Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa. Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz. Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu...
  15. Justine Marack

    Tuungane na Burundi tuifaidi Congo

    Baada ya taarifa za kuwepo harakati za muungano wa Tanzania na Burundi. Ni wakati Sasa jambo hili lipewe nafasi na lifanyike Kwa haraka. Jamii ya warundi ni tiifu Kwa Tanzania na miaka yote kuanzia raia mpaka serikali ya Burundi wamejiona salama chini ya Tanzania mpaka kufikia kuwa na kura ya...
  16. Memento

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  17. B

    Katiba Mpya: Tuungane kuidai ni haki yetu

    Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo. Walisema umoja ni nguvu. Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote. Wako CCM, NCCR, CHADEMA, nk na wengine hata vyama hawana. Shughuli hii inahitaji watu, tena...
  18. Elli

    Tuungane kukemea ajali hizi, nyingi zina uzembe ndani yake

    Ni takribani mwezi na Kidogo tangu gari ya serikali ipate ajali mbaya sana na kuwamaliza abiria wote. Ilikua STL iliyoaminika kuwa ilikua ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Leo Tena gari ya serikali imeondoka na roho 14 za Watanzania ambao ni nyuma Yao wanategemewa na familia zao na ndugu zao. Kuna...
  19. B

    Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa

    Haki ya maoni ni haki ya kikatiba. Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo. Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu...
Back
Top Bottom