Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,899
- 944
KAWAIDA ATINGA JIMBO LA HAI "MLIKUA NA MTU ASIYE NA FAIDA"
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Kawaida amefika kukagua na kujionea shule mpya ya msingi Saashisha iliyopo wilaya ya Hai iliyojengwa na serikali kwa gharama zaidi ya shilingi milioni 540.
Akizungumza baada ya kufika shuleni hapo, Kawaida amesema kwa kipindi kirefu jimbo la Hai lilikua na mbunge ambaye hakuelewa mahitaji ya watu wake na ndio mana maendeleo mengi yamefanyika kipindi hiki ambacho mbunge anatokana na chama cha mapinduzi.
Mbunge wa jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe amemshkuru rais Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kutoa fedha za ujenzi wa shule hiyo kwa watoto walikua wanatembea umbali wa Km 8 kufuata shule ya Hai Day.
Attachments
-
WhatsApp Image 2024-02-23 at 21.16.09.jpeg259.5 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-23 at 21.16.15.jpeg327.9 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-23 at 21.16.16(1).jpeg446.6 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-23 at 21.16.14.jpeg381.8 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-23 at 21.16.13.jpeg276.9 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-23 at 21.16.11(1).jpeg76.4 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-23 at 21.16.08.jpeg197.6 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-23 at 21.16.10.jpeg371.4 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-23 at 21.16.13(1).jpeg388.4 KB · Views: 1