Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,902
- 944
MBUNGE ZUBEIDA SHAIB Atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini
Mbunge wa Jimbo la Mfenesini, Mhe. Zubeida Khamis Shaib amefanya ziara katika kukagua miradi ya elimu ya madarasa yanayokarabatiwa fedha za mfuko wa Jimbo katika Skuli ya Msingi Kihinani
Pia, Mhe. Zubeida Khamis Shaib ametimiza ahadi ya kukabidhi mitungi ya Nishati ya gesi kwa vikundi vya wajasiriamali wa Shehia ya Kikaangoni wanaojishughulisha na shughuli za upishi ili kuweka mkazo kwenye matumizi ya Nishati safi ya kupikia
Aidha, Mhe. Zubeida pamoja na kuwapa wajasiriamali mitungi ya gesi ya Nishati ya safi ya kupikia amewapa fedha kila kikundi Shilingi 50,000 kusaidia kukuza mtaji wa biashara ambao nao wamemshukuru sana Mhe. Zubeida Khamis Shaib kwa mchango wake kwa wajasiriamali hao
Attachments
-
WhatsApp Image 2024-02-29 at 06.46.54.jpeg466 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-29 at 06.46.55.jpeg385.5 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-28 at 23.57.26.jpeg72.5 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-28 at 23.57.29.jpeg65.4 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-28 at 23.57.26(1).jpeg74.4 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-28 at 23.57.25.jpeg63.7 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2024-02-28 at 23.57.29(1).jpeg65.4 KB · Views: 2