kiteto

Kiteto District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Simanjiro District, to the east by the Tanga Region and to the south and west by the Dodoma Region. The district headquarters are located in Kibaya.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Kiteto District was 152,757.[1] According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Kiteto District was 244,669.The District Commissioner of the Kiteto District is Lt. Lepillal Ole Moloiment.[2]

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    Kiteto: Mwenyekiti wa Mtaa Jela Miaka 4 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 60,000

    Mahakama ya Wilaya Kiteto imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela miaka minne au kulipa faini ya shilingi 1,000,000/= kwa makosa ya kuomba na kupokea hongo kiasi cha...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Edward Lekaita Akabidhi Ambulance Hospitali Ya Wilaya Ya Kiteto na mifuko 900 ya saruji katika kata za Jimbo la Kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Ambulance 🚑 mpya kwa uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto na kuwataka kulitunza ili liwanufaishe. Vilevile, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko 900 ya Saruji kwa Kata ya Bwawani (Mifuko 50), AMCOS Matui...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ole Lekaita Akabidhi Magari Mawili ya Wagonjwa Kituo cha Afya Sunya - Kiteto

    MBUNGE OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Wilaya ya Kiteto kimekabidhiwa magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza mara baada ya kukabidhi magari hayo jana tarehe 16...
  4. BARDIZBAH

    Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto

    Msaada tafadhali. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto? Na nauli yake imekaaje?
  5. JanguKamaJangu

    Barua ya wazi ya ndugu wa Wakulima waliokamatwa Kiteto, watoa madai ya kuombwa rushwa ili dhamana ipatikane

    Pia soma = Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi = Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
  6. Roving Journalist

    Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi

    Siku chache baada ya baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wanaodai kuporwa maeneo yao ya mashamba kuamua kurejea katika mashamba hayo, baadhi yao wamekamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi wakidaiwa kuvamia sehemu ya Hifadhi...
  7. BigTall

    Polisi Kiteto wamekamata Wakulima, wanawatesa na kuwanyima dhamana

    Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani. Hakuna taarifa yoyote inayoendelea, Jeshi la Polisi mbona mnafanya maamuzi ambayo ni ya kidikteta...
  8. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Kata ya Makame (Jimbo la Kiteto) Wamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mingi ikiwemo ya Umeme

    Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Salamu za Pongezi na shukurani nyingi kutoka kwa Wananchi. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  9. Pdidy

    Kilo 150 za mirungi zakamatwa kiteto

    Jeshi la polisi limekamata kg 150 zikiwa zimepakizwa na pik pik mbili tofauti Ingawa mirungi imepatikana kg 150 na pikpik zimekamatwa Madereva husika wamekimbia (hapa ndipo najiulizaga). Hawa nsdio tunafikiria watatupa michongo mizima nani kawatuma wanapokea toka wapi namba zao sasa...
  10. Unique Flower

    Tunauza mashamba viwanja Arusha, Boma, Kiteto

    Karibuni wateja wetu , Tunayo mashamba na viwanja maeneo yafuatayo , Kiteto tunayo mashamba kwa bei nafuu inaanza laki saba mpaka ml 1 na laki moja , hayapo mbali na mji huduma zote zakijamii zinapatikana. Zipo za kijijini ni laki 4 tu. Pi kuna viwanja vipo arusha, boma kwa bei nafuu unalipia...
  11. V

    Athumsni Mbisha, mkulima Wilayani Kiteto aliyewekwa ndani nakulipishwa Tsh laki tatu na Gunia kumi za Mbazi na wahuni wa Ushirika Matui

    Osama ni mkulima kihiji Cha Matui Wilayani Kiteto aliyetapeliwa na Viongozi wa Ushirika Matui na kumtapeli Tshs Laki tatu na Gunia kumi za mbaxi Kwa kymsingixia kuwa alujywa anstorosha mbazi zake kutoka Shambani Hili tukio linefanyika Matui mbele ya polisi Matui na Viongozi Amcos Matui...
  12. V

    DC Kiteto ni wakati wa kuitisha kikao cha wadau wa kilimo ili kuwaomba radhi

    Kwenye sakata la zao la Mbaazi Kiteto, wakulima na wadau wa kilimo wameumizwa sana na Maamuzi yako yaliyokuwa yamejaa dharau, kiburi na Majivuno. Mara zote ulikataa kusikiliza upande wa Pili wa wadau wa kilimo, wewe ukakumbatia kundi la Madalali. Matokeo yake wakulima waliokuwa na mbaazi zao...
  13. V

    Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbaazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto, Manyara

    Hali ya kushangaza na kustajabisha Katika zoezi la Mnada wa zao la Mbaazi. Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto. Mnada wa kwanza na waoili kuna tani zaidi ya 150 zilichukuluwa kwa wakulima na kupakiwa kwenye Malori direct kutoka kwenye...
  14. V

    Mkuu wa Wilaya Kiteto Umejisikiaje wakulima wako wa Mbazi kudalaliwa Mbazi zao na Madalali uliowapa Nataka wewe

    Katika Hali ya kushangaza wakulima wa Zao la Mbazi. Waliopeleka na kuchukuliwa mbazi zao Kwa Nguvu na Viongozi wilayani Kiteto Mbazi zao zimepelekwa kuuzwa kwenye Soko la Dar es salaam , MBAZU hizo zilisafirishwa na magari karibu matatu na kukabidhiwa kundi la Madalali wa Kiteto huku nao...
  15. V

    Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbazi zao Toka weeki Moja iliyopita na Bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  16. V

    DC Kiteto anafumbia macho suala la wafugaji kulisha mashamba ya wakulima wilayani

    Ugomvi wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto unachangiwa kwa kiasi kikubwa na Viongozi wa Wilaya kuwasadia jamii ya wafugaji kulisha Mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima. Na wanapata nguvu kubwa kwa DC Wa Kiteto ameweka wazee upande anauoupendelea kwenye sakata hili. Mwaka huu wakulima wa...
  17. V

    Vibali vitumike kwa wakulima wa mbaazi

    Wananchi na wakulima wa zao la mbaazi wanaomba kauli ya Mheshimiwa Rais ya kushauri wakulima wa korosho wasafirishe korosho zao kwa vibali. Pia itumike kwa wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto kuruhusiwa kuuza mbaazi zao kwenye masoko yenye bei kubwa, kuliko kulazimishwa na watu wachache kuuza...
  18. V

    Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

    Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio. Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
  19. A

    Waziri Mkuu aunde tume ya kitaalamu Waichunguze AMCOS

    Nani yupo nyuma Ya VIONGOZI WA AMCOS Wakulima wa Mji mdogo wa Matui Wilayani Kiteto Tunashanga. Nguvu na uhalali wa Viongozi wa AMCOS Matui, Chama hichi Cha ushirika Matui, hakijawahi kuitisha Mkutano wa wanachama Wala kusoma Mapato na Matumizi, Kikubwa Zaidi hata Bodi ya Uongozi haipo ...
  20. Stephano Mgendanyi

    Kero ya Maji Kandiya Haitanishinda - Mbunge Lekaita wa Kiteto

    KERO YA MAJI KANDIYA HAITANISHINDA - MBUNGE EDWARD LEKAITA Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amewaambia wananchi wa tawi la Kandiya Kitongoji cha Kona kuwa changamoto ya Maji waliyonayo haitamshinda kuitatua na ameahidi kushirikiana na RUWASA kutatua changamoto hiyo. Mbunge wa...
Back
Top Bottom