Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 449
- 1,009
Habari Jf , kuna nafasi ya kazi kwa upande wa afisa utawala Waja Hospital, wenye vigezo hivyo au vinavyo karibiana na hivyo mna karibishwa .
Hiyo kazi siwezi kuifanyia huku Dar? Au zikitokea kazi za huku Dar nipostie mkuu.Habari Jf , kuna nafasi ya kazi kwa upande wa afisa utawala Waja Hospital, wenye vigezo mna karibishwa .
View attachment 2922782
Mkuu kuna maisha nje ya Dar , fanya kutuma maombiHiyo kazi siwezi kuifanyia huku Dar? Au zikitokea kazi za huku Dar nipostie mkuu.
Sio kweli kaka, nje ya Dar hakuna maisha kabisa. Tuliozaliwa na kukulia vijijini ndio tunaelewa.Mkuu kuna maisha nje ya Dar , fanya kutuma maombi
We jamaa utachelewa sana kukua kimaendeleo....Sio kweli kaka, nje ya Dar hakuna maisha kabisa. Tuliozaliwa na kukulia vijijini ndio tunaelewa.
Wewe ndio unasema hivyo, ila ukweli haubadiliki. Maisha ni Dar.We jamaa utachelewa sana kukua kimaendeleo....
• Ukweli gani.....? Dar hakuna maisha mkuu... Unapoteza mda tu huko...Wewe ndio unasema hivyo, ila ukweli haubadiliki. Maisha ni Dar.
Daaaa we jamaa akili mgando sanaSio kweli kaka, nje ya Dar hakuna maisha kabisa. Tuliozaliwa na kukulia vijijini ndio tunaelewa.
Maisha ni magumu, ila fursa zipo nyingi mkuu. Ila kwa upande wa kijijini, maisha magumu na fursa hakuna. Hujawahi kuishi kijijini hivyo huwezi kuelewa.• Ukweli gani.....? Dar hakuna maisha mkuu... Unapoteza mda tu huko...
• Dar 90% watu mnaishi maisha magumu sana, hata ndugu zenu wakitaka kuwatembelea mnaishia kuzima simu... ( njaa kali, hela hawana, jua kali,) stress ndo kibao ukiwaangalia hivi, unaweza dhani mmepungukiwa maji mwilini.
Ongea uhalisia, sehemu ambayo hata maji ni shida, utatoboaje? Hela hakuna, mzunguko mdogo.Daaaa we jamaa akili mgando sana
• Wengi tumezaliwa vijijini, ila mfano pale kijijini kwetu, wengi walienda dar walidhani watatoboa life.. lakini hakuna aliyetoboa maisha, zaidi ya kukondeana tu.Maisha ni magumu, ila fursa zipo nyingi mkuu. Ila kwa upande wa kijijini, maisha magumu na fursa hakuna. Hujawahi kuishi kijijini hivyo huwezi kuelewa.
Kama huna connection inabidi uzitafute na ujitengenezee connection na watu wanaoeleweka• Wengi tumezaliwa vijijini, ila mfano pale kijijini kwetu, wengi walienda dar walidhani watatoboa life.. lakini hakuna aliyetoboa maisha, zaidi ya kukondeana tu.
• Mkuu Dar ni kwa wenye vipato vikubwa hasa waliopo kwenye taasisi za kiserikali na wanao miliki mikwanjwa mirefu(kampuni)
• Dar ni mkoa wa kwenda kuwekeza lakini siyo wa kutafuta maisha.
Tofauti ya kutafuta maisha na kuwekeza ni ipi?• Wengi tumezaliwa vijijini, ila mfano pale kijijini kwetu, wengi walienda dar walidhani watatoboa life.. lakini hakuna aliyetoboa maisha, zaidi ya kukondeana tu.
• Mkuu Dar ni kwa wenye vipato vikubwa hasa waliopo kwenye taasisi za kiserikali na wanao miliki mikwanjwa mirefu(kampuni)
• Dar ni mkoa wa kwenda kuwekeza lakini siyo wa kutafuta maisha.
Kijijini ni pagumu sana, maana hela hakuna alafu kufatiliana ni kwingi sanaKama huna connection inabidi uzitafute na ujitengenezee connection na watu wanaoeleweka
Mimi nimezaliwa kijijini, ila wlimu ya msingi na sekondari nimesoma Dar
Katika maisha yangu yote ya Dar nina rafiki mmoja tu naye huyu kuwasiliana mpaka kuwe na taarifa ya msiba au kuwe jambo muhimu la kifamilia
Kinyume cha hapo kwa mwezi tunaweza kuchart mara moja tu kisha kila mtu anaendelea na michongo yake
Dar ukitaka utoboe usiishi maisha ya vijijini (maana vijijini wengi wanatabia ya kufuatiliana)
Kuwa na rafiki ambaye wewe huwezi kuwa mzigo kwake wala yeye hawezi kuwa mzigo kwake
Fanya mishe zako bila kujiuliza fulani akiniona atanichukuliaje ila hakikisha humuumizi wala kumkwaza mtu
Dar fursa zipo nyingi na ukitaka kutoboa usichague kazi haswa kipindi hiki kama unakula na kushiba unaweza kupiga kazi za saidia fundi
Huko vijijini hakuna ishu, pesa ni ya msimu, wanaamini sana ushirikina
• Yani nitoke Mbeya, njombe, kahama, alafu niende kutafuta maisha Dar? 🤔🤔..Kama huna connection inabidi uzitafute na ujitengenezee connection na watu wanaoeleweka
Mimi nimezaliwa kijijini, ila wlimu ya msingi na sekondari nimesoma Dar
Katika maisha yangu yote ya Dar nina rafiki mmoja tu naye huyu kuwasiliana mpaka kuwe na taarifa ya msiba au kuwe jambo muhimu la kifamilia
Kinyume cha hapo kwa mwezi tunaweza kuchart mara moja tu kisha kila mtu anaendelea na michongo yake
Dar ukitaka utoboe usiishi maisha ya vijijini (maana vijijini wengi wanatabia ya kufuatiliana)
Kuwa na rafiki ambaye wewe huwezi kuwa mzigo kwake wala yeye hawezi kuwa mzigo kwake
Fanya mishe zako bila kujiuliza fulani akiniona atanichukuliaje ila hakikisha humuumizi wala kumkwaza mtu
Dar fursa zipo nyingi na ukitaka kutoboa usichague kazi haswa kipindi hiki kama unakula na kushiba unaweza kupiga kazi za saidia fundi
Huko vijijini hakuna ishu, pesa ni ya msimu, wanaamini sana ushirikina
Kutafuta maisha na kuwekeza ni mbinu mbili tofauti ambazo zinaweza kusaidia kuboresha hali ya kifedha ya mtu au kufikia malengo ya kifedha.Tofauti ya kutafuta maisha na kuwekeza ni ipi?
Dar ndio sehemu ya kutafutia maisha mkuu, maana hela inazunguka kwa kasi sana, ila huko vijijini mzunguko ni mdogo sana, na hata hiyo hela yenyewe haionekani kabisa.
Dar ndio sehemu ya kutafutia maisha mkuu, maana hela inazunguka kwa kasi sana
Thread closed 📌📌📌📌📌📌Asante,nawe ni Mhusika hapo WAJA Hospital??hao wanaosema maisha ni Dar tu ukute ndio kutwa wanashinda vijiweni kuongelea mambo ya kina Diamond,Aziz Ki nk,kula ni nyumbani kwa Wazazi wao au kwa Dada zao walikoolewa. Wanachojuaga wao ni kuvaa hereni tu masikioni na kubadili style za nywele
Ajira yangu ya kwanza Serikalini ilikuwa Dar,nilipohamishiwa Mkoani kwa kweli Dar huwa naenda kikazi tu na Kikao kikiisha tu ni Airport narudi zangu Mkoani.
Huku Mkoani mpaka sasa nina Eka 245 nimelima Mpunga, Parachichi, Ndizi, Mahindi na Maharage,ninafuga Mbuzi, Ng'ombe, Kondoo, Kuku mpaka Nguruwe maana huwa wanakijiji wananiletea wenyewe kuniuzia kwa bei rafiki. NATHIBITISHA bila kuhama Dar naamini nisingekuwa na wazo wala akili ya kufanya yote haya
Vijana wa Dar akishakuwa na ka Crown kake na uwezo wa kwenda Element na Kitambaa Cheupe kutafuta papuchi basi wanaonaga wameyapatia na Dar ndio kila kitu
Wewe utakuwa haujaishi DAR au kufika kabisa ..kule kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa ..yaan hata ukisema uuze nyanya Tu...unatoboa kule..mm natamani Sana nikaishi DAR...sema basi Tu sina connection...unaambiwa 3billion zipo mitaani kwa siku• Ukweli gani.....? Dar hakuna maisha mkuu... Unapoteza mda tu huko...