Geita isipojihadhari, itakuja kuachwa mbali sana na Njombe

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Mikoa yote miwili, Geita na Njombe, inalingana kiumri. Ilianzishwa mwaka 2012.

Kila mkoa una rasilimali ya kipekee tofauti na mkoa "mwenzake". Njombe kumeshamiri kwa kilimo, hasa miti ya mbao na nguzo pamoja na kilimo cha parachichi, wakati Geita inatamba kwa uchimbaji dhahabu.

Kwa utajiri mkubwa ulio nao, utajiri wa dhahabu, Geita ilistahili kuwa miongoni mwa mikoa iliyoendelea sana.

Nimekuwepo Njombe kwa siku kadhaa sasa. Inaonekana mji unakuwa kwa kasi. Kuna uwekezaji mkubwa sana kwenye kilimo cha miti na parachichi, uwekezaji ambao unaendelea kukua kwa kasi.

Nimeiona stendi yao. Ni nzuri kuliko ya Geita.

Katika tembea yangu maeneo mbalimbali, sijafanikiwa kuona nyumba iliyoezekwa kwa nyasi.

Inaonekana watu wa huku Njombe wana hulka ya kupenda maendeleo. Wanaonekana ni wachapa kazi.

Japo sojapita maeneo yote ya huu mkoa , lakini kwa maeneo machache niliyofika, inaonekana ni mkoa wenye future nzuri.

Geita, pamoja na utajiri wake mkubwa wa dhahabu, usipokuwa makini, itakuja kupitwa mbali sana na Njombe, mkoa wa kilimo.
 
Ndugu utajili unao husisha kilimo huwa ni utajili jumuishi ila dhahabu ni ya mwekezaji, hana muda wa kuwajengeeni mji wana geita shitukeni
 
Hujui Geita wewe

Geita watu wana hela kuanzia mjini hadi visiting

Geita vijijini kuna dhahabu migodi midogo iko kibao Sio tu hiyo mikubwa.Watu wana hela vijijini Geita Acha

Pili wasukuma wale ni wafugaji .Wana ng'ombe sio utani

Tatu wana zao la biashara la pamba wanauza nje

Nne ziwa lipo wanavua samaki hizi sato na sandala kwa wingi sana

Vijijini wana mapato mazuri ya uhakika kuliko wanavijiji wa njombe

Mjini ndio kabisa biashara ziko juu sana zikitegemea wanavijiji wenye pesa ,wafanyabiashara na wakazi wa mjini wafanyakazi wa migodi na pale kuna soko la madini kwa kanda ya ziwa madini hadi toka Congo yanauzwa Geita ushuru na kodi inayopatokana huwezi linganisha na kodi za hayo maparachichi na mbao
 
Mkuu, umeshafika Njombe?

Nimekata Geita zaidi ya mwaka mmoja. Hapa Njombe sina hata mwezi mmoja. Nimeona utofauti mkubwa sana.

Siwasifii, ila naona kama kiwango cha uelewa wa watu wa huku ni mkubwa pia. Ni watu "wanaojielewa". Wana miili ya kawaida na akili "kubwa"
 
Njombe imeanza kufahamika zamani hata kabla haijawa mkoa kuzidi hata Geita.

Miji yenye dhahabu kuikuta ina maendeleo duni ni kawaida sababu biashara za dhahabu zimejaa uhuni, ukwepaji wa kodi, wawekezaji wengi ni wageni wanaendeleza kwao, n.k. utakuta mji una matajiri lakini watu wengi zaidi waliobaki wana maendeleo duni. Sio huko Geita tu, hata Mbeya kuna wilaya inaitwa Chunya ina matajiri wa mkoa maarufu lakini hapo Chunya kuna maendeleo duni, kumepitwa na wilaya hata za Rungwe zinazojikita kwenye mazao ya biashara.

Mji kuwa na matajiri wachache sio kipimo cha maendeleo kwa ujumla
 
Acha kuilinganisha Njombe na Vimji uswazi na vya hovyo kama Geita.

Njombe ni strategic Region and town.Hapo Geita siku GGM ikifungwa ni umaskini utasalia.
Na kwa nini imekuwa hivyo? Ni halali Geita kuwa kama ilivyo sasa?

Mimi nafikiri, kwa utajiri wa dhahabu uliopo Geita, huo mkoa ilipaswa kuwa na maendeleo makubwa sana.

1. Uwanja mkubwa wa ndege

2. Stendi yenye hadhi kubwa

3. Bandari ya maana

4. Hospitali kubwa

5. Chuo Kikuu kikubwa

6. Viwanja vizuri vya Moira

7. Hoteli kubwa kubwa

8. N.k. N.k.
 
Acha uongo geita gani hiyo watu wananjaa kinyama vijumba slopu,wanashindia michembe na kulalia michembe.vijiji vya geita vimechoka balaa.
 
G
Hujui Geita wewe

Geita watu wana hela kuanzia mjini hadi visiting

Geita vijijini kuna dhahabu migodi midogo iko kibao Sio tu hiyo mikubwa.Watu wana hela vijijini Geita Acha

Pili wasukuma wale ni wafugaji .Wana ng'ombe sio utani

Tatu wana zao la biashara la pamba wanauza nje

Nne ziwa lipo wanavua samaki hizi sato na sandala kwa wingi sana

Vijijini wana mapato mazuri ya uhakika kuliko wanavijiji wa njombe

Mjini ndio kabisa biashara ziko juu sana zikitegemea wanavijiji wenye pesa ,wafanyabiashara na wakazi wa mjini wafanyakazi wa migodi na pale kuna soko la madini kwa kanda ya ziwa madini hadi toka Congo yanauzwa Geita ushuru na kodi inayopatokana huwezi linganisha na kodi za hayo maparachichi na mbao
Geita ina njaa vijiji vya geita vimechoka balaa vihumba vya ajabu ndio vimejaa
 
Mikoa yote miwili, Geita na Njombe, inalingana kiumri. Ilianzishwa mwaka 2012.

Kila mkoa una rasilimali ya kipekee tofauti na mkoa "mwenzake". Njombe kumeshamiri kwa kilimo, hasa miti ya mbao na nguzo pamoja na kilimo cha parachichi, wakati Geita inatamba kwa uchimbaji dhahabu.

Kwa utajiri mkubwa ulio nao, utajiri wa dhahabu, Geita ilistahili kuwa miongoni mwa mikoa iliyoendelea sana.

Nimekuwepo Njombe kwa siku kadhaa sasa. Inaonekana mji unakuwa kwa kasi. Kuna uwekezaji mkubwa sana kwenye kilimo cha miti na parachichi, uwekezaji ambao unaendelea kukua kwa kasi.

Nimeiona stendi yao. Ni nzuri kuliko ya Geita.

Katika tembea yangu maeneo mbalimbali, sijafanikiwa kuona nyumba iliyoezekwa kwa nyasi.

Inaonekana watu wa huku Njombe wana hulka ya kupenda maendeleo. Wanaonekana ni wachapa kazi.

Japo sojapita maeneo yote ya huu mkoa , lakini kwa maeneo machache niliyofika, inaonekana ni mkoa wenye future nzuri.

Geita, pamoja na utajiri wake mkubwa wa dhahabu, usipokuwa makini, itakuja kupitwa mbali sana na Njombe, mkoa wa kilimo.

Geita, iringa na kahama wakijitahidi miaka 10 mbele wanaweza kumfikia Arusha na mbeya
 
Njombe mkoa mzima unawatu laki nane sawa na jimbo la busanda! Geita aka gold region usiilinganishe na maparachichi na ngwengwe region!

Mkoa wa geita Ina miji ya geita, katoro, ushirombo, runzewe na masumbwe.
Ogopa sana wabena na wakinga, wanainuana ogopa sana watu wachache wenye mindset zinazofanana hawa hukimbia kwa pamoja, njombe utajili mkuu ni kuwa na ardhi, watu wachache ila ardhi ni ngumu kuikuta iko tupu, ardhi kule ni lulu, na alie nae anaitupia ipasavyo
 
Njombe mkoa mzima unawatu laki nane sawa na jimbo la busanda! Geita aka gold region usiilinganishe na maparachichi na ngwengwe region!

Mkoa wa geita Ina miji ya geita, katoro, ushirombo, runzewe na masumbwe.
Hayo maeneo yote ya Geita nayafahamu. Umeshafika Njombe?

Jitahidi alau "ukatalii" huko, utagundua utofauti.
 
Na kwa nini imekuwa hivyo? Ni halali Geita kuwa kama ilivyo sasa?

Mimi nafikiri, kwa utajiri wa dhahabu uliopo Geita, huo mkoa ilipaswa kuwa na maendeleo makubwa sana.

1. Uwanja mkubwa wa ndege

2. Stendi yenye hadhi kubwa

3. Bandari ya maana

4. Hospitali kubwa

5. Chuo Kikuu kikubwa

6. Viwanja vizuri vya Moira

7. Hoteli kubwa kubwa

8. N.k. N.k.
Wewe unadhani Kwa nini hakuna? 😁😁😁 Maana hivyo vitu karibia vyote vinapatioana Njombe
 
Mtazamo wangu wa haraka ni:
1. Poor leadership
2. Hulka ya wakazi wake
Hakuna Cha poor leadership,kuwa na sekta ambazo zinagusa wachache kama Madini ni hasara Kwa Mkoa ila faida Kwa kampuni na wachache wenye pesa tofauti na Kilimo,Utalii na misitu vilivyopo Njombe.
 
Hujui Geita wewe

Geita watu wana hela kuanzia mjini hadi visiting

Geita vijijini kuna dhahabu migodi midogo iko kibao Sio tu hiyo mikubwa.Watu wana hela vijijini Geita Acha

Pili wasukuma wale ni wafugaji .Wana ng'ombe sio utani

Tatu wana zao la biashara la pamba wanauza nje

Nne ziwa lipo wanavua samaki hizi sato na sandala kwa wingi sana

Vijijini wana mapato mazuri ya uhakika kuliko wanavijiji wa njombe

Mjini ndio kabisa biashara ziko juu sana zikitegemea wanavijiji wenye pesa ,wafanyabiashara na wakazi wa mjini wafanyakazi wa migodi na pale kuna soko la madini kwa kanda ya ziwa madini hadi toka Congo yanauzwa Geita ushuru na kodi inayopatokana huwezi linganisha na kodi za hayo maparachichi na mbao
Ukitoa mgodi wa huyo mzungu wa GGM ,Geita ni zero kabisa.

Hata hivyo Geita ni Moja ya Mikoa top 10 yenye GDP kubwa hapa Tanzania eti Iko Juu ya Dodoma 😁😁
 
Geitwa imemezwa na mwanza maana pesa nyingi zinazopatikana huko wadau wanawekeza na kujenga mwanza mjini
Swali Kwa nini wasijenge Geita badala yake wakawekeze Mwanza na Kahama? Mbona Njombe haijamezwa na Iringa,Songea au Mbeya?
 
Back
Top Bottom