chekechea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu...
  2. FRANCIS DA DON

    Je, ni haki mtoto wa Chekechea au la kwanza kufundishwa hesabu za kukopa?

    Je, ipi ni ngazi sahihi kwa mujibu wa mtaala kwa mtoto kufundishwa hesabu za kutoa kwa mtindo wa kukopa?
  3. ChatGPT

    Zum zum zum 🐝

    Hii nyuki🐝 ni nyuki🐝 njia nyuki🐝 pekee nyuki🐝 ya nyuki🐝 kumfanya nyuki🐝 mjinga nyuki 🐝 kushughulika nyuki🐝 Sasa rudia kusoma bila nyuki 🐝
  4. Superbug

    Uzi wa kuchambua na kutambua nyimbo nzuri za chekechea

    Wimbo wangu bora wa nursery ni POP GOES THE WEASEL. Wako ni upi? Kama ulisomea kayumba huu uzi haukuhusu!
  5. S

    Natafuta Mwalimu wa Chekechea

    Waungwana habari za mwaka mpya, Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE. Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema
  6. GENTAMYCINE

    Tumecheza na CSKA Moscow yenyewe ya Champions League au CSKA Moscow ya Chekechea?

    Naenda Kulala nitasoma Comments zenu nikiamka Kesho ila Siku zingine tusione Aibu kusema Daraja la Timu tunayoenda Kucheza nayo.
  7. Namche Bazar

    Mwalimu wa Chekechea anahitajika.

    Habari za leo? Mwalimu wa Chekechea ya English Medium (shule ya awali) anahitajika kwenye shule iliyopo Kilapula,Tanga. Anahitajika mwalimu mwenye taaluma ya ualimu na mzoefu na watoto. Mwenye sifa tajwa tuwasiliane PM.
  8. N

    Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

    Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea! Hivi chekechea mtoto anahitaji...
  9. L

    Watoto wa shule ya chekechea waenda mashambani na kujifunza ujuzi wa kilimo mkoani Zhejiang, China

    Shule ya chekechea mjini Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China Novemba mosi ilifanya shughuli ya “Darasa la mashambani”, ambako watoto walikwenda mashambani kujifunza ujuzi wa kilimo kupitia njia ya kuchora picha za mavuno, kutambua mimea ya mpunga na kutengeneza sanamu ya kuwinga ndege.
  10. GENTAMYCINE

    Tujenge Utamaduni wa Kutoa Misaada kwa Shule za Chekechea, Msingi na Upili tulizosoma

    Nikibahatika Kumpiga Mhindi (kwa Kubeti) katika Mechi niliyobeti (weka Mkeka) Yanga SC anafungwa 3 kwa 0 na Al Hilal FC Kesho Jumapili na kupata Millioni zangu 320 nataka nichangie Millioni Tano Tano kwa kila Shule niliyosoma kisha nitamrushia Tsh 600/= kila Jamiiforums Member ya Kununua Soda...
  11. T

    Ni mambo gani ya kuzingatia kama nataka kujenga shule ya chekechea?

    Habari wanaJF, Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ? Ahsanteni.
  12. N

    Wakati wanazi wa simba tunasikitika kuanzia chekechea na utopolo embu wafikirie Zamalek jamani

    Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya kwanza Mambo yameenda ndivyo sivyo tuaanzia round ya awali pamoja na waliostahili kuanzia round...
  13. Gordian Anduru

    Jinsi "chekechea" Jwaneng Gallaxy alivyokatisha ndoto za "giant" simba kwa Mkapa

    JINSI "CHEKECHEA" JWANENG GALLAXY ALIVYOKATISHA NDOTO ZA "GIANT" SIMBA KWA MKAPA Naam wakati ratiba inapangwa Jwaneng Gallaxy walianzia hatua ya PRELIMINARY maarufu kama "chekechea" na Simba wakaanzia First round Lakini kilichotokea hapo KWA MKAPA HATOKI MTU jamaa Ma Giant wa mchongo...
  14. S

    Nina mpango wa kufungua shule ya chekechea na Primary. Naombeni mawazo tafadhali

    Ndugu zangu, nimepata mawazo ya kufungua shule ya chekechea maeneo ya kiluvya, tuna eneo mimi na mkwe wangu la heka tisa. Tunataka kuanza na chekechea, baadaye tuongeze hadi primary baada ya kuisoma biashara na mwenendo wake. Naomba mwenye uzoefu na biashara hii atuambie changa moto zake...
  15. Bushmamy

    Elimu juu maambukizi ya Ukimwi itolewe kuanzia ngazi ya chekechea

    Kundi hili limekuwa likisahaulika sana kupewa elimu juu ya maambukizi yanavyoweza kuambukiza kwa njia ya kushirikiana vitu vyenye ncha kali huko mashuleni kama vile viwembe, pini nk. Watoto hawa wadogo wapo wengine wana maambukizi waliyoyapata kutoka kwa wazazi wao na hawajui lolote kutokana...
  16. Mtini

    Graduation za watoto wa chekechea (Shule binafsi) ni aina nyingine ya upigaji

    Shule za chekechea za binafsi zimekuja na kitu wanaita graduation kwa ya watoto wa chekekechea na huku wakimtaka mzazi kuchangia hadi 70,000 kwaajili ya kufanikisha sherehe ikiwemo kukodi joho. Binafsi naona huu ni upigaji, wizara husika iliangalie ili
  17. E

    Utitiri wa shule za chekechea na Tuition wilayani Arumeru

    Wakuu narudia tena kuirudisha hii mada mpaka tupate majibu kutoka wizara husika. Kumekuwa na utitiri wa shule nyingi za chekechea na zingine zikiitwa Tuition zinazochukua watoto chini ya miaka mitano ambao hawajaanza shule. Katika safari zangu nilizotembea katika mji wa Arusha nimeona mjini...
  18. E

    Kulikoni utitiri wa shule za Chekechea Arusha mjini zisizokidhi vigezo? Mamlaka zitazame hili haraka sana

    Wakuu naombeni msaada kuhusu hii wizara ya elimu. Kuna mambo naona hayaendi sawasawa kuhusu hizi shule za chekechea/nursery. Mimi sio mwenyeji sana nimehamia Arusha majuzi tu nikabahatika kupita maeneo ya Sanawari kuanzia Sanawari ya chini mpaka ya juu nimekuta shule za chekechea ni nyingi...
Back
Top Bottom