ukimwi

  1. N

    Nimekuja kugundua kumbe mwanamke niliyefanya nae mapenzi jana kumbe ni muathirika wa virusi vya ukimwi( V.V.U)

    Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
  2. T

    Ili Kujustify Ngono Zembe, Jamii imejitengezea Myth Mpya, Njia Nyepesi ili Kujikinga na Maambukizi dhidi ya Ukimwi

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  3. T

    Ili kuhalalisha ngono zembe tumejitengenezea dhana mpya eti zinatukinga dhidi ya UKIMWI!

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  4. G

    Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Wasaalam! Leo imekuwa siku yangu ya kwanza tangia nizaliwe kupima ukimwi! Na kupata majibu! Aisee roho kidogo iache mwili! Nakumbuka Kuna siku nilinunua kipimo nikajipima Geto! Lakini kuangalia majibu ikawa ni ngum! Nikaamua nijifunge kitambaa usoni nikakafata kakipo bila kuona nikakafulashi...
  5. chakula cha watoto

    Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

    Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa...
  6. Nigrastratatract nerve

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Wilayani Chato

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI WILAYANI CHATO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo leo tarehe 16 Machi, 2024 wamezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  7. M

    Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

    Habari wadau. Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia. Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission. Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana ila hawa watatu wameniathiri kisaikolojia. Mmoja aliitwa Nelson mwingine Frank na mwingine Abdul...
  8. G

    UKIMWI upo ndugu zangu

    UKIMWI upo ndugu zangu, nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa. Tuwe makini na wadada.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Ulipata Hisia gani baada ya wewe na mkeo kupima Ukimwi na kukuta mpo Salama?

    Kwema! Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi. Haya. Embu eleza hisia ulizopata baada ya wewe mkeo kupima na kupata matokeo negative, yaani mpo...
  10. Mwande na Mndewa

    Dawa ya Ukimwi ipo imefichwa stoo

    Tukiwa katikati ya maambukizi ya ugonjwa wa "red eyes" ambayo inaambukizwa na kirusi nikaukumbuka ugonjwa wa Ukimwi ambao nao inaambukizwa na kirusi. Kama ilivyo kwa Ukimwi,patient zero aliitoa wapi hii "red eyes" ikiwa red eyes inasababishwa na mvua zinazonyesha na kusababisha unyevunyevu...
  11. Tariq hassan

    Msaada: Kusoma majibu ya Maambukizi ya VVU

    Mnisaidie kusoma majibu ya hicho kipimo.
  12. King Jody

    Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu? Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake, mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
  13. BARD AI

    Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu leo January 10,2024 ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam ambapo amesema katika mwaka 2023 jumla ya Watu 8,145,576 walipima Virusi vya UKIMWI (VVU) na Watu...
  14. BARD AI

    Chanjo ya Virusi Vya UKIMWI (PrEPVacc) yasitiswa baada ya kutoonesha ufanisi

    Majaribio hayo yaliyoanza katika Nchi za Tanzania, Uganda na Afrika Kusini yamesitishwa kutokana na takwimu za waliochanjwa kuonesha Chanjo waliyopata haina ufanisi katika kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Majaribio yalikuwa sehemu ya mpango wa #PrEPVacc, ulioanza Desemba 2020 ambapo...
  15. BARD AI

    Mikoa ya Njombe na Mbeya yaongoza tena kwa Maambukizi ya UKIMWI Tanzania

    Utafiti wa Hali ya UKIMWI nchini (Tanzania HIV Impact Survey - THIS 2022/23) umeonyesha kiwango cha maambukizi ya UKIMWI kwa watu wazima (miaka 15 na zaidi) kuwa kimepungua kutoka asilimia 4.9 mwaka 2016/17 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/23. Mikoa mitatu yenye kiwango cha juu cha maambukizi...
  16. Nyafwili

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: UKIMWI bado upo, ninawaomba suala hili lipewe kipaumbele wakati wa mahubiri.

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kuwaangalia zaidi vijana, akilitaja kama kundi ambalo liko hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, huku akiwataka kuimarisha huduma za unasihi na malezi yenye mlengo wa kustahimili mabadiliko yanayotokana na utandawazi...
  17. JanguKamaJangu

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji - TACAIDS asema “Tumebakiza miaka 7 kutokomeza UKIMWI”

    Kutoka Morogoro, Viwanja vya Shule ya Moro Sec katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani, ITV imezungumza na Dk. Jerome Kamwela ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji TACAIDS anasema: "Kama tumebakiza miaka 7 kutokomeza UKIMWI, maana yake kati ya leo mpaka 2030 miaka 7 tu imebaki, maana yake...
  18. GENTAMYCINE

    Wizara ya Afya, TACAIDS na NACP wakija kupima Watu UKIMWI Kawe wakitukuta 90% hatujaathirika nao nakata Rufaa upesi sana

    GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kumpongeza Mwaposa na Waumini wake wasio na sehemu za Kukaa ( huku wakiwa Wanakoga, Wanakunywa na Wanajamba ) hovyo Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na Waumini hao wa Kike Mabinti, Wamama na hata Wabibi wakiwa tayari Kulalwa ( kutoa Ngono ) kwa kuanzia Shilingi...
  19. Mr George Francis

    Siku 470 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi

    SIKU 470 NIKIWA NA HOFU YA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI. [Sehemu Ya 1 ] Tarehe 1 mwezi wa 12 ya kila huwa tunaadhimisha siku ya UKIMWI duniani. Katika kutambua umuhimu wa siku hii kwa jamii na taifa letu kwa ujumla, naomba tupate funzo kupitia historia yangu na jinsi nilivyoishi siku 470...
  20. BARD AI

    Waliozaliwa na VVU na Vijana wanaojiuza kwa Watu Wazima watajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI

    Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa wamekuwa vijana au Watu wazima kujihusisha na Ngono bila kuchukua tahadhari. Dkt. Adeel Shah...
Back
Top Bottom