arumeru

  1. Erythrocyte

    Mkutano Mkuu wa Chadema Arumeru Magharibi wafana

    Ni katika mikakati ya Chama hicho kujiweka sawa kwa ajili ya chaguzi zijazo Taarifa kamili hii hapa
  2. saigilomagema

    Mbona kimsingi mgawo wa umeme umeisha? Kwanini meneja wa wilaya ya Arumeru unatunyanyasa wananchi wa Kikatiti?

    Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?
  3. saigilomagema

    Arusha: kuanzia Usa-River mpaka King'ori ni wiki sasa umeme unakatwa kila ikifika saa 12 jioni

    Huyu meneja katika huu mgawo wa umeme anabagua maeneo kulingana na hali ya watu wanaoishi eneo husika. Anaongozwa na wenye hela anapewa rushwa. Unakuta eneo linakatwa kwa wiki nzima jioni, kwa mfano kuanzia Usa-River mpaka King'ori ni wiki sasa umeme unakatwa kila ikifika saa 12 jioni. Jioni...
  4. Stephano Mgendanyi

    Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
  5. MamaSamia2025

    Sabaya atawafaa CHADEMA Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi

    Natumaini mko wazima. Leo nimeona nitoe ushauri wa kitaalamu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kwenye siasa kinachoonyesha ukubwa wa chama ni namba kwa maana ya idadi ya wanachama, wabunge, madiwani na viongozi wengine waliopatikana kupitia chaguzi mbalimbali. CHADEMA iko vizuri kwa idadi...
  6. Bushmamy

    Arusha: Wanakijiji Arumeru walazimika kuvaa Ndoo na Helmets vichwani kujikinga na Mawe ya ajabu yanayorushwa hewani

    Wanakijiji wa kijiji cha kiwawa kilichopo Arumeru wamelazimika kuvaa ndoo na kofia ngumu vichwani kufuatia mawe yanayorushwa usiku na mchana pasipo kujua mawe hayo Yanatokea wap. Aidha wanakijiji hao wameshindwa kufanya shughuli zao za Kila siku zikiwemo za kujiingiza kipato kutokana na hofu...
  7. Idugunde

    Arumeru: Wandishi wa habari wapigwa mawe na mizimu na kutimka mbio. Mawe hayajulikani yanatoka wapi. Yanamwagika kama mvua

    Waandishi wa Habari mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji cha Kiwawa Wilayani Arumeru, ikiwa ni baada ya waandishi hao kufika kwenye eneo hilo kufuatilia taharuki ya wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na mizimu.
  8. K

    Mbunge wa Arumeru, Dr. Pallangyo umetukosea sana Watanzania. Endelea Kuringa yana mwisho

    “Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki #LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
  9. E

    Utitiri wa shule za chekechea na Tuition wilayani Arumeru

    Wakuu narudia tena kuirudisha hii mada mpaka tupate majibu kutoka wizara husika. Kumekuwa na utitiri wa shule nyingi za chekechea na zingine zikiitwa Tuition zinazochukua watoto chini ya miaka mitano ambao hawajaanza shule. Katika safari zangu nilizotembea katika mji wa Arusha nimeona mjini...
  10. K

    Askofu Shoo, Wabunge Timotheo Mzava wa Korogwe na Dkt. Pallangyo wa Arumeru wanalichafua kanisa au wanachafuliwa?

    Mbunge wa Korogwe Vijijini Timotheo Mzava anatarajiwa kufunga ndoa na Binti wa Mbunge wa Arumeru Mashariki Dr. Jonh Pallangyo. Ndoa hii inalalamikiwa na mtu anayetambulika kwa jina la Anna na wachungaji huko Arusha na Tanga wanafahamu upo mgogoro. Mgogoro huu nimeusoma kwenye gazeti kwamba Mzava...
  11. JOHNGERVAS

    Elisaria Pallangyo ni nani? Je, anafaa kuwa DC wa Arumeru?

    Habari Wakuu, Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa. Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa...
  12. MMASSY

    Ubunifu waibeba Arumeru ujenzi wa madarasa

    Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Lusinde (Mb) amesema kitendo cha ubunifu wa ujenzi wa shule tatu za mchepuo wa kingereza ambazo zitakuwa zinamilikiwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Arusha Dc zitasaidia kuchochea kasi ya Ujenzi wa madarasa kutokana na mapato ya shule hizo kila...
  13. jingalao

    DC Jerry Muro hongera kwa kuanzisha English Medium School Arumeru

    DC Jerry Muro ni DC kijana na mchapa kazi kwani katika wilaya yake anewezesha uanzishwaji wa Shule ya mchepuo wa kingereza yaani English Medium. Katika mkoa wa Arusha kuliwahi kuwa na Shule ya English Medium ijulikanayo kama Arusha School ambayo mfadhili wa Simba Mo Dweji alipata kusoma hapo...
  14. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni; Arusha Mjini: Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
  15. Duniahadaa

    Uchaguzi 2020 Arumeru: Mawakala wa CHAUMA bado wanasota Ofisi ya Mkurugenzi

    Mawakala wa CHAUMA bado wanasota ofisi ya DED ARUMERU. Siku ya kwanza waliambiwa fomu zimepotea. Baada ya muda kuongezwa sasa DED anadai mawakala wametoka wapi wakati chama hakina mgombea ubunge. Viongozi wametishiwa kuwekwa ndani. Mmoja aliyekuwa mbishi alikamatwa na kupelekwa polisi bahati...
  16. K

    DC Arumeru anamtumia Mshili Mkuu wa Wameru kuidharaulisha mila kwa kuihusisha na siasa

    Leo 17 October 2020 kimekaa kikao cha washili wa koo zote Meru kilichoitishwa na Mshili Mkuu wa Wameru, Ezron. Mualiko huo ulikuwa ni kukutana katika eneo maarufu la Mringaringa. Cha ajabu mada zilizo kuwa zina jadiliwa ni kinyume kabisa na mila na desturi za wa Meru. Mada kuu ilikuwa ni...
  17. jingalao

    Uchaguzi 2020 Shughuli imeanza CCM, Mgombea wa CCM Arumeru achukua fomu za uteuzi

    Kumekucha kanda ya kaskazini. Mbunge na mgombea wa ubunge Arumeru Mashariki achukua fomu kwa kishindo.
  18. Chachu Ombara

    Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  19. Analogia Malenga

    Afisa Ardhi Arumeru Matatani

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amemfukuza kazi Ofisa Ardhi wa Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, Nicodemus Hillu, kwa kosa la kurejesha eneo lenye ukubwa wa ekari 3000, kwa mwekezaji Paradeep Lodhia, lililokuwa limefutwa na Rais Dk. John Magufuli. Katika...
Back
Top Bottom