Nyuki (Russian: Нюки) is a rural locality (a selo) in Kabansky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 249 as of 2010. There are 4 streets.
Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki.
Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
Wengi tumesikia watu wakisema au kutaja Gundi ya Nyuki, ambayo kwa ufugaji wa Kisasa imeanza kuvunwa Kama zao la Nyuki pia tofauti na Asali.
Ili kutambua gundi hii hupatikanaje tunapaswa kujua kutokana na nyuki kuwajibika kuitunza asali au kulinda makazi yao, Mungu amewajalia uwezo wa kuzalisha...
Nimefanikiwa kupata shamba la ekarim kama 50 ambapo kati ya hizo 20 ni msitu, lina chanzo cha maji cha ukakika na nimeshauriwa nifuge nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa.
Niefikiria kuweka mizinga 200 ya kisasa ambayo kwa wastani nipate madumu ya lita 20 kama 150 kila ninapovuna.
Mizinga...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania na kazi iendelee
Wanajamvi, nimekuwa na tatizo la nyuki kuweka makazi ndani kwenye dirisha la nyumba changu hali iliyolelekea kuhama kabisa na kukiacha kile chumba
Sina hakika lini nyuki hawa walianza kuweka kambi ila leo hii usiku wa...
Misitu ni eneo la ardhi lilifunukwa na miti. Misitu inatumika kwaajili ya makazi,nishati, chakula, dawa na vipodozi. kwa ujumla misitu inasaidia katika kupunguza, mmonyoko na kutunza na kurutubisha udongo.
Misitu Katika Ufugaji Nyuki
Zaidi ya 50% ya ufugaji nyuki Tanzania unakua unafanyika...
Wakuu, hapa getho kwangu Kuna nyuki wamevamia toka majuzi,, wananifanya nisiishi kwa raha,, mama watoto wangu anashindwa kukaanga vizuri hapa kwa sababu ya hawa nyuki.
Naomba mnipe dawa au namna ya kuwaondoa hawa nyuki.
Kama Kuna dawa za kupulizia ili wasepe hapa jikoni kwangu nipeni maujuzi wadau
Dodoma. Shujaa wa vita vya Kagera, Abinael Chikataa (71) amefariki dunia kwa kung'atwa na nyuki akiwa katika sherehe ya kuogesha wajukuu wake waliokuwa wamefanyiwa tohara.
Tukio hilo lilitokea Julai 15, mwaka huu katika Mtaa wa Kikuyu Kusini, jijini hapa na nyuki hao walikuwa kwenye mti, lakini...
Bi Janeth Sued mwenye umri wa miaka 72, mkazi wa mtaa wa Mtakumbukwa, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameuawa kwa kushambuliwa na kundi la nyuki nyumbani kwake.
Mashuhuda mmojawapo akiwa ni mtoto wa marehemu wameeleza kuwa walikuwa wameketi nje ya nyumba na Mama yake (Sasa...
Mwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Mohamed Makubi amesema tukio hilo lilitokea...
°Nta
°Asali
°Maziwa ya nyuki yaani "Royal jelly"
°Gundi ya nyuki
°Chavusha ya nyuki "Bee pollens"
°Hewa ya nyuki
Sumu ya nyuki yaani bee Venom
Najua wengi wanafahamu kuhusu Asali tu 🙏🏾
Baadhi ya Wafanyabiashara wa Soko la Tegeta Nyuki, Dar es Salaam wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya soko hilo hilo kwa kusema asilimia kubwa inachangia huduma kuwa mbovu hasa wakati wa mvua.
Nurdin Abdul, Mfanyabiashara wa sokoni hapo amesema “Changamoto katika soko letu ni matope, mazingira...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfungulia kesi Leonard Wilson Chishomi katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora mkoani humo kwa makosa ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kinyume na Sheria.
Makosa mengine ni Ubadhirifu na Ufujaji wa Mali ya Umma kinyume na...
Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!
Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu
Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?
Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?
Ni...
Mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Kigoma afariki baada ya kuumwa na nyuki...
Jirani na kwake kuna mwembe watoto walipotoka shule wakarusha mawe na kupelekea nyuki kutoka na kumvamia mwalimu huyo.
Chanzo: BBC
Hivi nyuki wakikuvamia unatakiwa ufanyeje kuepusha madhara? Kifo hiki ni cha...
Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
BREAKING NEWS: Daladala inayofanya safari zake kati ya Mbezi na Tegeta kibaoni imefeli breki katika barabara yenye mteremko mkali ya Wazo Hill.
Inaelezwa kuwa daladala hiyo imevamia Bajaji pamoja na Pikipiki kadhaa. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
East Africa TV
Jambo hili nimekuwa nikiulizwa sana na watu wengi iwapo mtu anaweza kufuga Nyuki wanaoudunga mwiba, (wengi wamezowea kusema Nyuki wanaouma) nyumbani, jibu lake ni ndiyo inawezekana.
Kivipi, hapa ndipo inabidi nikupe shule maana Nyuki ni hatari sana wanaweza kusababisha madhara makubwa kwa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.