nyimbo

  1. A

    Msechu kutungiwa nyimbo punde!

    Katika kuendeleza tasnia na kumpongeza Kwa mafanikio katika fani wasanii nchini, wamepanga kumtungia wimbo maalum Msanii mwenzao Msechu, P. Heko Bongo Celebrities
  2. Meneja Wa Makampuni

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza. Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako. Piga hii namba...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Orodha ya nyimbo na watunzi za Juwata jazz toka mwaka 1977 mpaka mwaka 1997

    Mwk 1977 nyimbo 7 *Selemani *Sakina *Aziza *Dada nalia *Dawa ya mapenzi *Azimio la Arusha *Benk ya biashara Mwk 1978 nyimbo 6 *Mwana acha wizi: Mabera *Mpenzi Zalina: Bitchuka *Ccm: Mwanyiro *Nidhamu ya kazi: Bitchuka *Vijana tujitokeze: *Mariamu: Mabruk Khalfani Mwk 1979 nyimbo 5 *Uzuri si...
  4. Rayvanny wa jamiiForums

    Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

    Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
  5. LA7

    Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

    Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu, Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
  6. LA7

    Natafuta nyimbo za msanii kipofu

    Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha
  7. Kiboko ya Jiwe

    Binafsi sisikilizi nyimbo za wasanii wa kiume wanaojifananisha na wanawake, mnaowasikiliza mna moyo

    Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake. Nahisi uchafu na kichefuchefu, ngoja niishie hapa.
  8. DR HAYA LAND

    2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  9. Andre-Pierre

    Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

    Video vixen wa mapozi anaitwa Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya. Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki. Ni pisi ya viwango na maisha bora!!
  10. U

    Nyimbo ya Harmonize ft Marekabi ni Nzuri , ila beat bado sana kufika level za Nigeria

    Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality. Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
  11. N

    List ya nyimbo zilizopewa majina mazuri lakini zikaimbwa hovyo hadi kushangaza!

    1. Zanzibar ya Harmonize. Niliposikia tangazo lake la kutoa wimbo wake wenye jina hilo nikajua tunaenda kusikia bonge la wimbo utakaotetemesha si tz tu bali afrika mashariki yote. Matokeo yake hiko kitu kilichotoka ni bora angeupa jina jingine tu. Yaani kibao ni hovyo hata kile cha yule...
  12. fundi bishoo

    Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

    Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
  13. M

    Diamond na Harmonize kutoa nyimbo zao siku moja

    Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it" Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue. Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja...
  14. Trainee

    Nyimbo za kwenye vitabu vya siku hizi mbona hatujui zinaimbwaje

    Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana. Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
  15. Balqior

    Naona kama miaka ya 2009- 2013 nyimbo nyingi nzuri sana za mziki zilitungwa kwenye kipindi hicho

    Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile 1)Dynamite ya taio Cruz 2)International love ya pitbull ft Chris brown 3)Coconut tree ya mohombi 4)Bumpy ride ya mohombi 5)Moves like jagger ya maroon 6)On the floor ya Jenifer Lopez 7)Dj got us fall in love again ya usher...
  16. Canabian Rasta

    Tuwakumbuke kwa nyimbo

    Msurprise mtu yeyote kwa jina lake na nyimbo ( dedication ) ajue hisia zako kwake. Anaweza kua mtoto wako, mpenzi wako, adui yako, crush wako na zaidi… Mtaje kwa tag, jina moja au mawili, sehemu alipo, hata kama hayupo JF, huenda akaja kupata ujumbe wake Kutoka kwako. Warning!! zingatia...
  17. musicarlito

    Naomba kuwajua Hawa walioimba Gospel track hizi

    Naomba kujua Hawa walioimba hizi nyimbo ni Nani...najua tuu melody zao nime attach nikiwajua ntashukuru
  18. MamaSamia2025

    Hii ni Top Ten ya nyimbo zinazopigwa zaidi kwenye mabaa ya Tanzania

    List iko hivi, 1. 100 kilos - Ferre Gola 2. Ya Jean - Madilu 3. MayDay - Fally Ipupa 4. Kwangaru - Harmonize 5. Teacher Konde - Harmonize 6. Tetema - Rayvany 7. Vita Imana - Ferre Gola 8. Mario - Franco 9. Bora niinjoi - Jux & Diamond 10. Associe - Fally
Back
Top Bottom