akaunti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Wanaojua kutumia pesa, akaunti zao zinasoma salio kidogo

    Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua matumizi ya pesa akaunti zao zimenona, zinaweza kusoma kuanzia milioni nakuendelea. Hii inatafsiri...
  2. JamiiCheck

    Wakati wa Uchaguzi watu hutengeneza Akaunti feki zenye majina ya Wagombea

    Wakati wa Uchaguzi baadhi ya Watu huibuka na kutengeneza akaunti 'feki' na kuzipa majina ya Wagombea au kubadili jina la akaunti zao na kutumia jina la mgombea fulani. Akaunti hizo hutumika kutengeneza taarifa au maudhui mbalimbali yanayomuhusu Mgombea wa Uchaguzi, hutumika kupotosha taarifa...
  3. R

    Viongozi wa kisiasa,dini, ndugu zetu na watu maarufu wanaotumia Facebuku akaunti zao zinatumika kama link ya picha za ngono

    Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono. Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga. Kama...
  4. Y

    Naomba kujua namna ya kufanya akaunti ya youtube ilipwe

    Habari naomba kujua namna ya kufanya akaunti yangu ya YouTube ilipwe
  5. BARD AI

    Unaweza kurudisha Muamala wa Fedha iliyotumwa kimakosa kwenye akaunti yako ukiwa umefulia mbaya?

    Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
  6. Xiang Hao

    Msaada wa kuverify google admob akaunti

    habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google natakiwa kupokea pin katika sanduku la barua lakini mimi sina naomba msaada yeyote anaeweza...
  7. A

    Naomba msaada kimawazo kuhusu suala la jina katika akaunti ya Benki

    SUMMARY: Jambo liko hivi, mhitimu wa kidato cha sita wa mwaka huu 2023 baada ya kuanza kufanya maombi ya Mkopo wa chuo kikuu alifungua akaunti ya benki kama yalivyo matakwa ya Bodi ya Mkopo wa Elimu ya juu (HESLB). Baada ya kufungua akaunti jina la katikati lilionekana kuwa lingine (Badala ya...
  8. Influenza

    Vodacom yaongoza kwa Wateja wanaotumia huduma za kifedha. Akaunti zaidi ya milioni 9.2 zasajiliwa kwa Januari-Septemba 2023

    Ripoti iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (#TCRA) imeonesha Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom inaongoza kwa Wateja waliojisali na huduma ya kutumia fedha kwenye simu Usajili wa Wateja wanaotumia fedha kwenye simu umeongezeka kutoka akaunti Milioni 47.3 zilizokuwepo mwishoni mwa Juni...
  9. Bull Bucka

    Uuzaji wa akaunti za mitandao ya kijamii: Je, zinakidhi malengo ya soko la mnunuaji?

    Watu wengi, taasisi, na makampuni wanazidi kuhamishia shughuli zao kwenye mitandao ya kijamii kila siku. Lakini kujiunga na majukwaa hayo na kukuza akaunti kutoka wafuatiliaji 0 hadi, labda tuseme 10,000, inahitaji jitihada na muda mwingi, na hilo limeacha watu wengi wakijiuliza, "je, naweza...
  10. Z

    Matokeo Law School Cohort ya 35 yametoka: Sijui matokeo ya jumla yakoje, maana hutoka kimya kimya kila mtu anachungulia akaunti yake tu!!

    Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!! Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa...
  11. H

    Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

    Inakuwa ngumusana kuzikontroo. Mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk Nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela nikamblock Nikamfata kwa akaunti nyingine kakubali freshi tuu alivyo niomba picha nikaachana nae mana...
  12. R

    Kuna watu wanapenda kumkamata Mdude kwa sababu wanalipwa na serikali perdiem zakuzunguka naye; zikiingia kwenye akaunti tu wanamwachia

    Mdude na wenzake wanaishi Mbeya; wamekaa Mbeya toka hukumu ya DP world ilipotolewa na wakatoa na matamko yao hakuna aliyewakamata. Mara paap wamepanga safari waje zao kula bata mjini wanakamatwa usiku wa manane Mikumi; kisha utasikia wamepelekwa makao makao makuu Dodoma mara wamepelekwa Mbeya...
  13. Elias K

    Nani Anamiliki Akaunti Ya Tanzania Leaks?

    Wakuu kuna Akaunti inavuma Sana kule X(Twitter) na inavujisha Siri npzito nzito za wanasiasa. Hata mjadala wa sakata la bandari kwa mara ya kwanza ulianzia kwenye hiyo akaunti. Nadhani ni mbadala wa Kigogo wa awamu ya tano. Mmililiki anaonekana ni mtu mzito ndani ya serikali, ambaye hakubaliani...
  14. Webabu

    Nilitaka nifungue akaunti ya Albarakah CRDB lakini nikasita

    Benki zinazozikubali huduma za kibenki kwa mfumo wa kiislamu zinaongezeka kila siku kutokana na faida zake za uhakika. Moja ya benki iliyoamua kuanzisha huduma hizo kwa Tanzania ni benki ya CRDB chini ya jina la Albarakah. Juzi moja nilipokwenda kupata huduma mmoja ya wafanyakazi wake...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Wanandoa ni Lazima Wa-share Password za Akaunti Benki na Simu.

    WANANDOA NI LAZIMA WA-SHARE PASSWORD ZA AKAUNTI ZA BENKI NA SIMU Anaandika, Robert Heriel MTIBELI. Dunia ya kitapeli huzalisha ndoa za kitapeli, Wanandoa matapeli, Watoto na kizazi cha kitapeli. Kama mnafichiana namba za Siri za BENKI na akaunti na bado mnadanganyana ni MKE na Mume basi ninyi...
  16. B

    Benki ya CRDB kuwazawadia Sh. Milioni 15.4 ya Ada ya Shule wateja kupitia Akaunti ya Junior Jumbo

    Meneja Mwandamizi wa Mauzo Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Timiza Ndoto yake na Junior Jumbo” yenye lengo la kutoa elimu ya fedha kwa watoto na kuwahamasisha wazazi/ walezi juu ya umuhimu wa kuwawekea watoto wao akiba ambapo...
  17. YEHODAYA

    Serikali iruhusu tu mabasi kusafiri usiku na mchana sasa hivi hakuna abiria anasafiri na mamilioni cash kwenye basi kama zamani, ziko kwenye akaunti

    Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi...
  18. BARD AI

    Una akaunti ya Twitter na hautumii? jiandae kuipoteza

    Taarifa iliyotolewa Wiki hii kutoka kwa Mmiliki wa Twitter, Bilionea #ElonMusk, mtandao huo utaanza kuzifuta akaunti zote za watumiaji ambao hawajaingia kwa zaidi ya siku 30. Awali, Sera ya #Twitter ilikuwa na maelezo kuwa ili uweze kumiliki akaunti yako inatakiwa angalau usivuke miezi 6 bila...
  19. U

    Namna ya kufungua paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo Tanzania

    Imekuwa ni changamoto kwa watanzania Na baadhi ya watu kushindwa kupokea malipo yao kutokana Na PayPal ya Tanzania kushindwa kutoa fedha nchini. Sasa nmekuja Na hili jipya, ni kuwa unaweza kupokea fedha zako bila shida wala Shaka yoyote. Huhitaji kuwa Na laini za Kenya au laini za nje ili...
  20. U

    Namna ya kupata paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea fedha nje ya nchi

    Pengine ulikuwa unasumbuka namna ya kufungua akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo nje ya nchi. Ila leo nmekuja na suluhisho. Hauhitaji kuwa na laini ya kenya au kitu kingine. Cha muhimu ni uwe na kitambulisho chako cha taifa. Unaweza ukapata fursa ya kufungua stripe akaunti pia. Taarifa zako...
Back
Top Bottom