paypal

  1. YoyoTheDeveloper

    Nahitaji Line Ya Safaricom kwa ajili ya kutumia Paypal

    Habari zenu wanajamvi.! Nipo Dar nahitaji line ya Safaricom ili niweze kufungua account paypal nipokee malipo mtandaoni. Kuna ambaye anauza hapa dar au wakala au namna yoyote ambayo mtu anafahamu anielekeze niweze kupata. Natanguliza Shukrani zangu. 🙏
  2. C

    Watanzania na Paypal

    Mengi na wengi wameshazungumza sana na kuandika sana kuhusu umuhimu wa huduma ya Paypal kwa nchi yetu. Ajabu, kila kampuni mpya ya Fintech inakuja almost inafanya kama yule mwenzake hakuna aliyethubutu kwenda extra mile. Wanaigana na kuzunguka hapohapo kila siku. Hivi huwa wanasoma reviews na...
  3. McMahoon

    Rais Samia, tunahitaji uruhusu nasi tupokee pesa kutoka Paypal kama wanavyofanya wakenya

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Pole na majukumu ya kuongoza nchi na pia hongera kwa kazi nzuri unayofanya kuifanya nchi yetu inakua kiuchumi na kuwa na amani. Kwa sasa dunia ni kijiji, unaweza kufanya kazi na mtu yoyote aliyeoko nje ya nchi. Tuna tatizo la ajira kwahiyo vijana wengi...
  4. NguoYaSikuKuu

    Paypal Tanzania kuna shida gani?

    Wakuu salamu, Nimejaribu kununua bidhaa Ebay kwa kutumia Paypal nashindwa kabisa kulipia. Inaleta kitu kama hiki chini. Lakini siwezi kuproceed na Payment. Any idea kwa mtu aliyefanya manunuzi recently na Paypal?
  5. Lungutz1

    Msaada: Naomba kusaidiwa kuhusu Paypal services (online money deposite and withdraw)

    Kuna fedha natakiwa kui withdraw kwenye moja ya site za malipo online, ambapo option yake kuu ya ku withdraw ni kupitia Paypal account. Imekuwa ni kikwazo kikubwa kwangu, maana nimejaribu kutengeneza hiyo account ila account bado haikufanikiwa kukidhi vigezo vya kutumika na kupokea malipo...
  6. ubongokid

    Kuna Shida gani PAYPAL

    Najribu kufanya Malipo kupitia PAYPAL lakini naona kama kuna shida ambayo siielewi. Je kuna mwingine ambaye anapata shida kwenye kulipa kwa kutumia Paypal?
  7. U

    Namna ya kufungua paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo Tanzania

    Imekuwa ni changamoto kwa watanzania Na baadhi ya watu kushindwa kupokea malipo yao kutokana Na PayPal ya Tanzania kushindwa kutoa fedha nchini. Sasa nmekuja Na hili jipya, ni kuwa unaweza kupokea fedha zako bila shida wala Shaka yoyote. Huhitaji kuwa Na laini za Kenya au laini za nje ili...
  8. U

    Namna ya kupata paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea fedha nje ya nchi

    Pengine ulikuwa unasumbuka namna ya kufungua akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo nje ya nchi. Ila leo nmekuja na suluhisho. Hauhitaji kuwa na laini ya kenya au kitu kingine. Cha muhimu ni uwe na kitambulisho chako cha taifa. Unaweza ukapata fursa ya kufungua stripe akaunti pia. Taarifa zako...
  9. Moseskyey

    The Best Paypal Alternatives for Personal Use 2023

    PayPal has been the go-to payment solution for personal use for many years, but there are now several alternatives available. These alternatives offer a variety of features, fees, and capabilities that can suit different users' needs. In this article, we'll take a look at the best PayPal...
  10. Suzy Elias

    PayPal kusitisha malipo kutoka USA kwenda Ulaya kwa sababu ya thamani ya Euro kushuka

    Ni kuanzia tarehe 31 mwezi ujao wa Oktoba na sababu kubwa ni thamani ya euro kuendelea kuporomoka jambo ambalo linawapa wasiwasi. Baadhi ya wateja wa PayPal huko Ulaya wameanza kujulishwa kupitia jumbe na baadhi ya kadi zao zimeanza kufungwa. NB: Ni wazi sasa Putin anaelekea kushinda vita ya...
  11. The Sheriff

    Indonesia yazuia Yahoo, Paypal kwa kushindwa kufuata sheria za leseni

    Indonesia imezizuia Yahoo, kampuni ya malipo ya Paypal na tovuti kadhaa za michezo ya mtandaoni kwa kushindwa kufuata sheria za leseni. Sheria zilizotolewa mwishoni mwa Novemba 2020, zinazipa mamlaka nguvu kubwa ya kulazimisha mifumo kufichua data ya watumiaji fulani, na kuondoa maudhui...
  12. Analogia Malenga

    Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

    Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao. Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu...
  13. YoyoTheDeveloper

    Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Habari zenu wakuu, Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money. Napokea maoni, ushauri na...
  14. chizcom

    Paypal na ebay zinaweza kutengana kwa sababu ya ebay kupendelea mfumo wa malipo Adyen

    Kampuni ya paypal kwa habari zilizopo inakamilisha mpito wa mikataba yake ifikapo julai 3 2023. Kujiondoa na ebay swala la malipo. sababu zilizopelekea paypal mpango wa kujiondoa ni kutokana na kushuka sana mauzo ya hisa asilimia -36.23%. Hata hivo mfumo mpya mbadala utakuwa kwenye malipo ya...
  15. Nafaka

    How to verify a PayPal Kenyan account - idendity na proof of address

    Ikiwa umefungua akaunti ya paypal ya kenya kwa kutumia namba ya safaricom, kuna probability tatu. 1. Hutodaiwa kuverify chochote utaitumia kwa muda flani mpaka siku ya siku ndipo wakudai uverify kwa kutuma kitambulisho chako. 2. Baada ya kuifungua watadai utume kitambulisho. 3. Unaweza kuwa...
  16. Nafaka

    Jinsi ya kuwithdraw pesa toka paypal iliyokuwa held baada ya akaunti kuwa limited kwa siku 180

    Nadhani wale wenzangu na mimi mnaotumia Paypal mlishawahi kukumbana na tatizo la paypal kushikilia pesa yako kwa miezi 6 na kisha baada ya hapo kukwambia uitoe ila option iliyopo ni kupitia akaunti ya bank ya US. Sasa leo nawapa njia ya kuwithdraw hiyo pesa. Unatakiwa kuwa na US dollar account...
  17. Q

    Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Habarini!. Anayefahamu makato ya kuhamisha pesa kutoka paypal kwenda benk iliopo Tanzania anifahamishe please,
  18. YEHODAYA

    Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

    Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka Waweza uza chochote mitandaoni Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
  19. Baraka21

    Waziri Ndugulile tunaomba utusaidie kuhusu PAYPAL

    Mh. Ndugulile tunaomba utusaidie kupata huduma ya PAYPAL katika nchi yetu. Tunakukumbusha tu sisi vijana tusio na ajira itatusaidia sana hii huduma.
Back
Top Bottom