kusafiri

Kusafiri is one of the five world centres of the World Association of Girl Guides and Girl Scouts (WAGGGS). It is based in Africa but has no fixed location, instead it moves around existing locations in different African countries.In October 2015, the name Kusafiri was given to the fifth world centre. Kusafiri means 'to journey' in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. HUKU ABROAD

    Hii inawahusu wanaopenda kusafiri nje ya nchi

    Hii ni kwa wote wanaopenda kusafiri. Nachukua nafasi hii kusema kwamba asanteni kwa wote wanaofatilia nakali hizi za Huku Abroad. Leo nataka kuelezea njia moja wapo ambayo watu wengi pamoja na Ma agent wengi wamekuwa haitumii kwenye swala zima la kufata taratibu za Kusafir Abroad. Kwa wenye...
  2. The Sheriff

    Mrisho Mpoto si msanii wa kwanza duniani kutembea na kusafiri peku

    Mrisho Mpoto Watanzania wengi wanamjua Msanii Mrisho Mpoto ambaye anafahamika si tu kwa kazi zake, bali pia kwakuwa hutembea peku peku wakati mwingi. Mpoto amejipatia umaarufu kwa utaratibu wake huo katika ukanda wa Afrika Mashariki, lakini je, ni kwanini aliamua kutovipa viatu umuhimu katika...
  3. Jerrymsigwa

    Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience. Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Mdude Nyangali CHADEMA azuiwa kusafiri nje ya nchi na DCI. DCI kapata wapi mamlaka ya kuzuia mtu asisafiri?

    Hivi huu Ujinga bado upo? Au ndo 4R kwa kiwango cha standard gauge ? my foot !...Kumbe tuna wafungwa wanaotembea? DCI vipi kulikoni? Au una kwazwa sana na watu wenye maoni Huru? Nimetaarifiwa kuwa umeweka zuio mdude Chadema asitoke nje ya Nchi eti? Kwa hiyo anakifungo kwa Mujibu wa Ofisi...
  5. HUKU ABROAD

    Msaada wa kupata barua ya mualiko kusafiri nchi za nje

    Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko 1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa sababu fulani...
  6. Glenn

    Maxence Melo aeleza safari yake katika kutetea Uhuru wa Kujieleza na Haki ya Faragha

    Habari Wakuu, Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania. Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na; 1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa 2. Amehudhuria Mahakamani mara 159 Unaweza kumsikiliza hapo chini
  7. GoldDhahabu

    Faida ya kusafiri peke yako kwenda sehemu ngeni

    Ni vizuri kuwa na mwenyeji unapoenda kwa mara ya kwanza sehemu ambayo hujawahi kufika, lakini kuna faida kubwa zaidi endapo utaenda peke yako. Kwa mfano, kama hujawahi kwenda Kenya, usisumbuke kumtafuta mtu wa kwenda naye unapotaka kwenda kwa mara ya kwanza. Badala yake, ulizia kila kitu...
  8. M

    Ajali: Basi kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage

    Ajali ya Basi la kampuni ya Tokyo Takara na gari ndogo maeneo ya Nyamwage pale, Taarifa zaida wataleta wenye mamlaka husika
  9. Magical power

    MIEZI HII NI HATARI SANA KWA KUSAFIRI TULIA NYUMBANI KWAKO NA FAMILIA YAKO.

    Kama kweli unataka kusafiri subiri kwanza.... Nina maana yangu kama wewe ni mbishi safiri tu.
  10. P

    Wenye uzoefu wa kusafiri nje ya nchi kwa basi naombeni uzoefu

    Habari ndugu wana JF. Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport. Naomba...
  11. GoldDhahabu

    Kwanini Watanzania hawapendi kusafiri?

    Mwanamke aitwaye Cassandra de Pecol kutoka Connecticut, alifanikisha ndoto yake ya kutembelea nchi zote duniani, 193, akiwa na umri wa miaka ishirini na saba. Mpaka anafikisha miaka 18, Canada ndiyo nchi pekee aliyokuwa amefika, tena, ni kwa vile mama yake anatokea huko. Sababu kubwa...
  12. Makamura

    Utafiti na Vithibitishi vya Uwezo wa Kusafiri katika Muda (TIME TRAVEL)

    Jambo hili wengi tumezoea kuliona katika Movie nyingi na hudhaniwa kuwa ni jambo la kufikirika, Lakini kwa miaka ya karibuni kumekuwa na maneno mengi sanaa juu ya uwezo wa kusafiri katika muda. 1. Ufunguzi wa Daraja la SOUTH FORK 1941 Kama tunajua kwa miaka hiyo bhana vitu vingi vilikuwa...
  13. The bump

    Nahisi mabasi kusafiri usiku yameshusha mapato kwenye mashirika ya ndege

    Usafiri wa mabus usiku nadhani ni pigo kubwa sana kwa mashirika ya ndege, kwa mwendo ninao uona sasa mashirika ya ndege kwa safari za ndani ya nchi itabidi waje na ofa sio za kawaida otherwise maumivu yao ni makubwa. Mabus ya Usiku yana jaa mapema kuliko kawaida, yani kama unasafiri usiku...
  14. Mzee Saliboko

    Watanzania wengi hawapendi kusafiri

    Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi. Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya. Why this🤔🤔
  15. JanguKamaJangu

    Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeruhusu Mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa Saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati...
  16. OCC Doctors

    Wakati sahihi kwa mjamzito kusafiri

    Wakati mzuri wa kusafiri kwa mjamzito ni vizuri kusafiri katikati ya ujauzito (kuanzia wiki 14 ya ujauzito hadi wiki 28). Kwasababu katika wiki hizi, nguvu zilizopotea wakati mimba ikiwa changa hujirudi upya, ugonjwa wa kutapikana, kichefuchefu hukoma na kuisha, pia mjamzito anaweza kuzunguka...
  17. BARD AI

    Rais Mstaafu Edgar Lungu aishtaki Serikali kwa kumzuia kusafiri

    Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu amefungua mashtaka hayo akidai Mamlaka za Nchi hiyo zilimzuia kwenda Nchini Korea Kusini kwaajili ya kuhudhuria Mkutano wa Amani. Amesema alikutana na pingamizi la safari yake na kushushwa kutoka ndani ya Ndege huku akitajiwa sababu ni kutaka kusafiri bila...
  18. Mhaya

    Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

    Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania. https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Japokuwa Nchi yetu inashika...
  19. Boss la DP World

    Serikali Ifanye Hili Kabla ya kuruhusu Mabasi Kusafiri Kwa Saa 24, Vinginevyo Mtaua Watu Wengi

    Serikali imesema hivi karibuni itaruhusu mabasi kusafiri kwa saa 24, ni jambo jema sana endapo jambo hili muhimu litafanyiwa kazi. Jambo lenyewe ni kufunga taa kwenye barabara kuu zote, fungeni taa zinazotumia solar panels ili kuongeza mwanga barabarani, kwa wanao endesha usiku watakubaliana...
  20. Wakili wa shetani

    Vita zina mambo mengi sana. Niger wamefunga anga lao. Mali nao wakifunga wanigeria watapata tabu sana kusafiri

    Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger. Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege...
Back
Top Bottom