Naomba kujua namna ya kufanya akaunti ya youtube ilipwe

Enewe,si mbaya kama ni kazi inayolipa. Kuna dogo mmoja huwa nikimfikilia,namuonea tu huruma. Anajiita muigizaji. Hawezi kushirikiana na waigizaji wenzake,ni mbinafsi. Af sasa,kila akituma sms ya mzinga, lazima akwambie kuwa account yake ya Youtube inakaribia kulipwa. Unajiuliza,hii ndo itakuwa tegemeo lake? Jijini Dar?
 
Vijana wa Daslamu ni wajinga sana
Ndo ma content creator, mostly wana wa kulelewa
 
Back
Top Bottom