aina zote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Tunatengeneza Computer Aina Zote na Kuuza Spare

    Tupigie tuje kukutengenezea Laptop/Desktop iwe Mac au Windows PC Ofisini/Nyumbani. Pia Tunauza Spare za Laptop/Macbook kama Batteries Chargers Keyboard Housing Hdd/SSD/Ram Memories Softwares Mbalimbali Tupo Ilala - Dsm 0718290779
  2. J

    Tunatengeneza Computer aina zote na kuuza Spare

    Tupigie tuje either Nyumbani au ofisini tuje kukuchekia Computer yako kama ni mbovu, Pia Tunauza Spare za Laptop na Desktop aina zote, Keyboard za Laptop Battery za Laptop/Desktop Charger za Laptop/Macbook Hdd/SSD/Ram memory Housing za Laptop Screen za Laptop Monitor Fremless Tupo Ilala - Dsm...
  3. Cainan

    Special Thread: Mashine za aina zote katika miradi midogo na mikubwa

    Habarini wakuu, Nimeamua kuandaa uzi collective kwa ajili ya mashine mbalimbali ambazo zinatumika katika shughuli mbalimbali hapa nchini. Nitakuwa natoa maelezo ya machine pamoja na picha (muonekano) na bei yake Post ntazipanga katika sytematic order ambayo itawezesha mtu kupata picha ua...
  4. M

    Fence wires na senyenge

    Tanzania fence factory:(0789020813) tupigie. Tunatengeneza na kuuza fence wire aina zote na senyenge Kwa bei ya kiwandani. 2.0mm bei yake ni 55,000/= 2.5mm bei yake ni 75,000/= 2.5mm(kijani)bei yake=80,000/= Fence wires zote ni mita 11. Tupo Kinondoni mkwajuni dsm Tunafanya delivery Kokote ulipo...
  5. J

    Tunafanya ufundi kwenye Epson Printer aina zote

    Sisi ni Mabingwa wa kufanya matengezo kwenye aina zote za Printer. Lete ofisini kwetu au fundi anaweza kuja ulipo. Tunapatikana Ilala-Machinga Complex, DSM. Simu: 0718290779
  6. Hhimay77

    Magari ya kukodi/ Tunakodisha magari aina zote

    Rhond's company limited, we're car renting company with best services . All types of cars are available (Private) Some of rental purposes include: 1.Tours 2.Weddings 3.Sendoffs 4.Funerals transfer 5.Picnics 6.Projects requiring car rental 7.NGO's and many more Location.Mwembechai Call us...
  7. Hhimay77

    Tunakodisha magari aina zote

    Rhond's company limited, we're car renting company with best services . All types of cars are available (Private) Some of rental purposes include: 1.Tours 2.Weddings 3.Sendoffs 4.Funerals transfer 5.Picnics 6.Projects requiring car rental 7.NGO's and many more Location: Mwembechai Call us...
  8. Salahan

    Biashara soksi aina zote China

    Watoto,zakike na zakiume kila size kila mtindo Kazi yangu ni kukuuzia Yuan ama kukulipia kwa supplier wako Natoa hesabu kwa baadhi ya soksi kwa rate yangu ya leo ya yuan 379 men's socks 6.5rmb(dazen) X 379=2463.5Tsh kwa dazen 1 sawa na 206 kila soksi women's socks 6.8rmb(dazen) X...
  9. Kariakooking1978

    SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  10. IamBrianLeeSnr

    Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

    Habari wanajamii... Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana. Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE. Malipo ya kazi nalipa...
  11. FRANCIS DA DON

    Hakuna mantiki kutoa ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia unabaki kwa mwanaume

    Haina mantiki, na hakuna logic yeyote kwa kutoa nafasi za ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia pamoja na huyo mwanamke mwenye ni la mwanaume kwa 100%. USHETANI! Haina mantiki, na hakuna logic yeyote ya kumuongezea mwanaume mzigo wa kulipa house girl...
  12. Complex

    INAUZWA Pata SSD aina zote na RAM kuanzia 69,000. SSD na RAM zetu ni Mpya kabisa

    Habari zenu wadau. Habari njema kwenu nyote wana teknolojia, Karibu ozone ujiptie SSD, RAM na Vioo vya laptop kwa bei rahisi na nafuu. SSD, RAM na Vioo vyetu ni vipya kabisa kwa maana ya kwamba wewe ndiwe utakuwa mtumiaji wa kwanza. Pia kukuhakikishia ubora wa bidhaa zetu, Kwa SSD tunakupa...
  13. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Ni muhimu kuwa na marafiki wa aina zote

    SHUKA NAYO HII NI NZURI KWA KUJIFUNZA👇🏿👇🏿👇🏿 Maisha ni duara, maisha yana kila aina ya Raha na karaha Zake. Hivyo ukipata Bahati ya kuwa umesoma sana na kuwa na kazi kubwa sana au na fedha nyingi kuna jambo moja muhimu sana hupaswi kulisahau. Jambo lenyewe ni kuwa na marafiki wa aina Zote...
Back
Top Bottom