spare

  1. J

    Tunatengeneza Computer Aina Zote na Kuuza Spare

    Tupigie tuje kukutengenezea Laptop/Desktop iwe Mac au Windows PC Ofisini/Nyumbani. Pia Tunauza Spare za Laptop/Macbook kama Batteries Chargers Keyboard Housing Hdd/SSD/Ram Memories Softwares Mbalimbali Tupo Ilala - Dsm 0718290779
  2. J

    Tunatengeneza Computer aina zote na kuuza Spare

    Tupigie tuje either Nyumbani au ofisini tuje kukuchekia Computer yako kama ni mbovu, Pia Tunauza Spare za Laptop na Desktop aina zote, Keyboard za Laptop Battery za Laptop/Desktop Charger za Laptop/Macbook Hdd/SSD/Ram memory Housing za Laptop Screen za Laptop Monitor Fremless Tupo Ilala - Dsm...
  3. J

    Nanunua Laptop mbovu Kama Spare

    Kama una Laptop mbovu, au nzima umeichoka, au nzima hauitumii umeiacha tuu. Ilete nikupe pesa, bei ni maelewano, Ilala - KArume Dsm 0718290779
  4. H

    Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
  5. B

    INAUZWA Nauza spare za baiskeli

    Tunauza spare za pikipiki aina ya boxer original na HERO kwa jumla na rejareja Bei zetu ni nafuu Sana na tunatuma mikoani pia. Kwa mawasiliano tupigie 0782197274
  6. J

    Nanunua laptop Mbovu kama spea

    Kama una laptop mbovu lete nikupe pesa, bei maelewano. Nipo ilala - dsm 0718290779
  7. K

    Njoo ujipatie spare original, battery original na vifaa vingine vya magari KWA AL HUSSEINY SPARE PARTS, Tanga

    Tunauza spare za magari zote za japani, uingereza, singapore, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k. Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892. Usisime spare, sema KWA HUSSEIN. Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
  8. WENYELE

    Natafuta Duka la Spare orijino za Mitsubishi Pajero

    Wakuu ni wapi hapa Dar nitapa duka linalouza spare orijino za Mitusbishi? Km unafahamu nipatie mawasiliano wakuu
  9. R

    Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

    Listen please Ujumbe: mnalikaribisha JESHI kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka UKUU/UTUKUFU and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo. Utamaduni /tabia /matamanio yanajengwa! Jiepushe na hilo " Mkiwaingiza kwenye siasa,hamtawachomoa ila watawachomoa nyinyi"...
  10. W

    Car4Sale Howo truck na spare parts zake zinapatikana

    Howo mende tipper used, Tractor na spare parts zote za Howo zinapatikana. Kwa bajeti ya Tsh Milioni 78 unajipatia Howo tipper mende used zilizo katika Hali nzuri. Mawasiliano: 0748270719
  11. W

    Howo Truck used pamoja na spare parts zote za Howo

    Jipatie Howo tipper mende, tractor na spare parts zote za Howo. Kwa bajeti ya Tsh Milioni 78 unajipatia Howo tipper mende used nzuri kabisa. Mawasiliano: 0748270719 Karibu sana
  12. passion_amo1

    Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari?

    Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri)hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
  13. passion_amo1

    Mwenye uzefu wa Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari tuelezee kiundani juu ya biashara hizi

    Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
  14. mkadiriaji majenzi

    Spare parts za powertillar aina ya KUBOTA

    Habari wakuu. Kama kichwa kinavojieleza sisi wakulima msimu unakaribia ni muda wa kuandaa mashamba sasa kuna spare za powertillar nimezitafuta bila mafanikio anayejua supplier wa spare za Powertillar aina ya KUBOTA anisaidie.
  15. 42774277

    Msaada wale mliowahi kuagiza/mnaoagiza spare parts Dubai na Kenya.

    Guys nahitaji kuagiza spare parts Dubai bila kwenda Dubai. Kama kuna mtu anaweza kunipa muongozo. Kwa Dubai., 1. Wapi mnanunua spareparts hasa kwa gari za Kijerumani? 2. Mnatumia kampuni zipi za usafiri kwa njia ya maji na anga? Pia kwa Upande wa Kenya, Mnanunua spare parts wapi, na...
  16. Basi Nenda

    Natafuta spare ya Sony MHC-GNZ7D

    Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo chini, kwa kifupi ni kwamba Radio imepasuka sehemu yote ya milango ya tape sasa nataka kuirudisha...
  17. JituMirabaMinne

    Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights. Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo ni nafuu sana. Ni nafuu sana hasa ukilinganisha na bei ya spareparts ambayo utaambiwa ukiingia...
  18. I

    Nitapata wapi spare za DT Yamaha hapa Dodoma?

    Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
  19. kokudo

    Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

    Habari za majukumu, Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no? Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo. Asante kwa comment yako, najua itawasaidia wengi.
  20. A

    Rav4 massawe used

    Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji hiyo gari budget yangu ni mil 7,asanteni
Back
Top Bottom