senyenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Fence wires na senyenge

    Tanzania fence factory:(0789020813) tupigie. Tunatengeneza na kuuza fence wire aina zote na senyenge Kwa bei ya kiwandani. 2.0mm bei yake ni 55,000/= 2.5mm bei yake ni 75,000/= 2.5mm(kijani)bei yake=80,000/= Fence wires zote ni mita 11. Tupo Kinondoni mkwajuni dsm Tunafanya delivery Kokote ulipo...
  2. Mamy7

    Ujenzi wa uzio wa waya (senyenge)

    Habari wanajukwaa, Naomba mwenye uzoefu wa kujua eneo la sq metre 400 (20×20) linahitaji nguzo ngapi na waya kiasi gani kwa kujenga fence (uzio)? Asanteni
  3. N

    INAUZWA Senyenge (barbed wires) zinauzwa bei poa

    Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600 na senyenge ina unene wa milimita 1.6. Inafaa kwe fensi ya nyumba, maboma ya mifugo, shamba nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=. Zimebaki rola3 Mawasiliano: 0685381338. Napatikana Mkuranga, Pwani.
  4. N

    INAUZWA Senyenge (barbed wires) zinauzwa bei poa

    Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6. Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=.Zipo rola4. Mawasiliano: 0685381338. Napatikana Mkuranga, Pwani.
Back
Top Bottom