juice

  1. MSAGA SUMU

    Kama utani vile, gari la mikate na juice yamegongana

    Hii huwa haitokei kila siku gari la kinywaji na kitafunwa kugongana.
  2. O

    Natafuta vijana wa kuniuzia juice

    Natafuta vijana wa kuniuzia juice fresh za matunda za kutembeza kwenye madumu -wa kike /kiume -Dumu la lita 5 akimaliza tatu kwa siku -Mshahara 150,000/= -Nauli natoa ya kwenda anapotembeza. Alie tayari weka namba ntakupigia. -Nipo Dar es salaam temeke
  3. AnoldAngelz

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
  4. AnoldAngelz

    Ni nin Mahijati muhimu katika kufungua banda la juice?

    Nataka kufungua banda la juice,,,,ni mahitaji gani(vifaa) ya muhimu napaswa kuwa nayo? Na ni mtaji kiasi gani unatakiwa kuwa nayo.
  5. R

    Huwa unakagua usafi sehemu unayoenda kupata chakula?

    Wakuu weekend inaendaje? Usafi ni muhimu kila sehemu, na linapokuja suala la chakula mkazo zaidi unahitajika, maana ukizembea kidogo tu unaweza kuathiri vibaya walaji wako hata kupelekea kifo uchafu aliokutana nao hapo ni mkubwa na kutengeneza sumu kali. Umeshawahi kukagua sehemu unayokula...
  6. Black Opal

    Uzi wa Recipes za Juice: Unafanya nini kuongeza madikodiko kwenye juice ili iwe tamu zaidi?

    Wazee wa maakuli kwema? Naomba tutumie uzi huu kuweka recipes mbalimbali za juice tupate vinywaji amazing kipindi hiki cha sikukuu. Ili kufanya juice yangu iwe bomba huwa nafanya haya katika mchanganyiko ninaotengeza; - Ikiwa matunda ni matamu sana labda umetumia maembe yameiva sana pamoja na...
  7. Mr HQ

    Nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme. Je, naweza kupata wapi?

    Habari wan JF Natumai ni wazima, Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani. Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa inakuwa naomba kufahamu.🙏
  8. Z

    Nauliza kwa wanaofahamu: Je inawezekana Juice dispenser ya mitungi mitatu kuendeshwa kwa solar?

    Wakuu habari za kazi. Nina juice dispenser ya mitungi mitatu, lakini ilitengenezwa maalumu kwa kutumia umeme. Nataka kwenda kuitumia mahali ambapo hakuna umeme, ndipo nikawa najiuliza je inawezekana nikanunua mfumo wa solar na ikawezekana kuiendesha hiyo juice dispenser? Specification zake ni...
  9. R

    Zile juice za dukani tunazoambiwa zinaongeza damu ni kweli zinafanya kazi hiyo?

    Wakuu, Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana. Hii ni kweli?
  10. Mr Lukwaro

    Je wajua kuhusu hasara za kunywa Juice nyingi?

    Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia kijinini nadhani tunaelewana ,Hasa ile misimu ya Maembe , Huwa tunayafakamia then tunaenda kucheza sasa...
  11. ikhlas

    Nahitaji kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa

    Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo Chini ya Umri wa miaka 25 Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
  12. Dharafu

    Mashine ya juice ya miwa inahitajika

    Wassalaam! Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika Location: Dar es salaam Condition: used Offer: 500k Karibuni tufanye kazi
  13. IamBrianLeeSnr

    Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

    Habari wanajamii... Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana. Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE. Malipo ya kazi nalipa...
  14. Cetshwayo Kampande

    Chalamila: Huwezi kukwepa kelele Dar es Salaam

    Kasema leo, Dar ni jiji la biashara, wasiopenda kelele waende Dodoma, watu watafute pesa, wale bia, mziki mnene. Maana wanachangia maendeleo ya jiji. ========== Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba Wakazi wa Mkoa wa Dar es salaam kufanya starehe ambazo hazitokuwa na...
  15. john perfect

    Juice ya Beetroot inasababisha mawe kwenye figo?

    habari wapendwa, Je, ni kweli fresh juice ya Beetroot inasababisha mawe kwenye figo?
  16. mamba1

    Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

    Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo. Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
  17. Black Opal

    Ulishawahi kujikuta mjuaji kwenye maakuli ukaongeza kiungo fulani kwenye chakula ukaishia kuharibu?

    Habari wazee wa masotojo, Moja kwa moja kwenye mada. Hii sikufanya mimi, alifanya dogo nyumbani. Alikuwa anataka kutengeza juice amazing ili aoneshe ujuzi wake. Basi akachukua maembe na pensheni freshi, akatia ka hiliki vizuri na sukari safi, sasa kwenye kuongeza madikodiko si akaweka na...
  18. Mohammed wa 5

    Hivi kuna mabadiliko kwenye Juice za Azam?

    Jana Jioni baada ya iftar nikaenda kwa mangi nipate juice kidogo nikaagiza Azam embe ya chupa ya plastic. Ikabidi ni shake before use nikaifungua Nikapiga fundo moja nikaona ladha tofauti tofauti. Nikapiga fundo la pili Ile juice Ina Kama Ute Ute flani wa njano, nikachek exp date 2024 na...
  19. M

    Manual juice maker

    Manual juicer ya kisasa (Bei Tsh 30,000) &Haitumii umeme, rahisi kutumia. &Inatoa juice Safi bila chemical & Portable,rahisi kusafiri nayo &Imeundwa kwa material imara(Aluminum) &Rahisi kuisafisha. WhatsApp link. Golden Online Store Simu no 0658 106 630 Ndani ya Dar ni free delivery. Unalipia...
Back
Top Bottom