Search results

  1. Kaka yake shetani

    Mafanikio hugeuka chuki

    Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki. Chuki zenyewe sio za kuuliza umefikiaje yani ni za kutaka kuona umeanguka sababu wajataka kuona ulivyo. USIONE...
  2. Kaka yake shetani

    Usimfungue mtumwa ambaye yupo kwenye utumwa wake, anaweza kukugeuka

    Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako. Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya kutaka na yeye kufunguka ila mwisho wa siku ndio yeye anayenizunguka nilipo mpeleka kuniwekea...
  3. Kaka yake shetani

    Kataa ndoa inavozidi kuleta taharuki

    Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania. jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
  4. Kaka yake shetani

    Makonda japo kuwa na mapungufu yake ila kila sehemu anayopewa hufanya vizuri, kongole kwake

    Makonda ni moja ya watu wenye kujituma sana kwenye serikali zote tokea kuchaguliwa ila mapungufu yake tuweke pembeni. Mpaka sasa sijasikia UVCCM na chawa wa CCM wakiumuongelea sababu wanajua mabaya yao yanaweza kuwa pigo. Arusha kaenda kuigeuza mda mfupi. WAKUU WA MIKOA KAZI YENU JIFUNZENI...
  5. Kaka yake shetani

    Umri wa uzee lazima uitwe mchawi au mwanga

    Hii tabia ya kuwaita wazee ni wachawi au wanga haijaanza juzi ila imekuzwa na vijana kuona wazee ndio washiriki wa mambo hayo. Je ukifika umri wa uzee na wewe utakubaliana kuitwa mwanga au mchawi. Tukomeshe:
  6. Kaka yake shetani

    Barnaba naomba nikuulize mkeo hakufahamu kuwa kazi yako ni mziki halafu wanawake mjitafakari mnapotaka kuingia kwenye ndoa

    Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake. Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae. Aisee...
  7. Kaka yake shetani

    Mpaka sasa WASAFI TV na FM sijui wapo kundi gani upande wa tasnia ya habari

    Ni jambo zuri kuwa na ongezeko la vyombo vya habari ila kuongezeka kuna takiwa kuwe na utofauti sana ili ukiangalia au kusiliza unajua kilichokupeleka. Wasafi Tv na FM bado wanashida kwenye kujitofautisha yani uwezi kuelewa wanataka nini kama ni kwa ajili ya burudani,michezo,habari au mambo...
  8. Kaka yake shetani

    Kesi ya uchochezi inayowakabili Malisa inageuka kwa Jeshi la Polisi kuhusu vifo vya utata

    Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi. Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao ukageuka kibao kwao kuhusu utata wa vifo vinavyo tokea kupitia wao au kuzuka jambo la kupotea kwa watu...
  9. Kaka yake shetani

    Unafahamu kwanini matajiri wa Tanzania wanaogopa kumiliki ndege binafsi

    Matajiri wetu TZ wanaangalia hasara kwanza itakayotokea, halafu ndege ina umri wa kutumika. Rick Ross ndege yake imezingua
  10. Kaka yake shetani

    China wazindua meli kubwa inayotumia umeme kujiendesha

    Kampuni ya COSCO Shipping, ambayo ni mali ya serikali ya China, imeanzisha meli kubwa zaidi inayoitwa Green Water 01. Meli hii kubwa, yenye uzito wa zaidi ya tani 10,000, inafanya kazi kwa kutumia umeme pekee. Ina urefu wa mita 119.8, upana wa mita 23.6, na kina cha mita 9. Inaweza kutembe...
  11. Kaka yake shetani

    Serikali ingekuwa mmliki wa real estate nyingi ili kupunguza ujenzi wa ovyo na unafuu wa kodi

    Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga. Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama...
  12. Kaka yake shetani

    Kutoboa Tanzania hakikisha uchawi na ushirikina

    Hizi sehemu zenye kugombania gori kuanzia madukani, michezo, sanaa, mziki, ajira, siasa, sokoni, madini, uvuvi n.k bila uchawi na ushirikina kutoboa labda umeshika dini sana au kwenu ukoo uko vizuri. Naeleza ili nilikuwa halmashauri moja yani swala la chai hakuna mtu anayetaka kupewa chai...
  13. Kaka yake shetani

    Ni kwanini ujenzi mkubwa au miradi mikubwa wanapewa wageni sio wazawa?

    Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara kubwa,madaraja makubwa,magorofa marefu,viwanja vya mpira na n.k Ni kweli kwamba sisi ujuzi wetu ni wanyumba za...
  14. Kaka yake shetani

    Kenya inatumika sana kwa tanzania sema ujasusi umelala kwa ufupi

    Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa. kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika sana na makaburu ili tuweze kushindwa kuwasaidia wapiga uhuru huko. Umoja wa afrika mashariki...
  15. Kaka yake shetani

    Aliyesema tanzania IQ yetu ni ndogo ni kweli

    Ni kweli kabisa na siwezi kumpinga ili kuhusu IQ yetu tulivyo watanzania.Watanzania kuna sehemu wakoloni wakati wanatugawa waliona akili zetu sio za kongo kuimba mziki wala kenya ubinafsi na kibaraka. Kiukweli ukiishi nje ya nchi ndio unaona kuwa IQ zetu bado zinatatizo mfano utendaji wetu...
  16. Kaka yake shetani

    Mapungufu kwenye matamanio

    Umeelewa nini hapa tunapokutana kwenye matamanio
  17. Kaka yake shetani

    CPU vs TPU vs GPU vs DPU

    CPU (Central Processing Unit), GPU (Graphics Processing Unit), TPU (Tensor Processing Unit), na DPU (Data Processing Unit) CPU (Central Processing Unit): CPU ni ubongo wa kompyuta. Inafanya kazi na programu na michakato mbalimbali ya kompyuta. Kazi zake ni pamoja na kufanya hesabu, kusimamia...
  18. Kaka yake shetani

    Uturuki wanyama wanaishi kwa raha

    Wenzetu wana tamaduni zao za kuwaheshimu wanyama haijalishi ni mnyama wa aina gani japo kuwa nchi ya kiislamu ila inawapenda wanyama kama mbwa na wanazingatiwa kabisa. Suala la paka na njiwa kule wanapendwa sana na wanajitawala kweli kweli yani paka wa mitaani wana uthubutu wa kukuribisha. Sio...
  19. Kaka yake shetani

    Huyu Dr sulle na wengine muwe mnawatafakari wanacho kiongea kama na wenyewe sijui kama wanaelewa wanayo sema

    Sipendi sana kuingia kwenye hizi online Tv sababu nyingi zina watangazaji njaa na taaluma zao. Tuje kwenye mada Dr sulle huyu anaojiwa na kudai Quruan ndio imeleta kila kitu ambayo sehemu kubwa agano la kale limetoka kwenye quruan,Hapo hapo nikakata kuangalia. sijiu kama anafahamu dini ambazo...
  20. Kaka yake shetani

    Nchi zilizoendelea biashara ya chakula ni kubwa sana na ndio zinalipa sana kwa watafutaji

    Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto. Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza...
Back
Top Bottom