Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,997
- 9,591
Wenzetu wana tamaduni zao za kuwaheshimu wanyama haijalishi ni mnyama wa aina gani japo kuwa nchi ya kiislamu ila inawapenda wanyama kama mbwa na wanazingatiwa kabisa.
Suala la paka na njiwa kule wanapendwa sana na wanajitawala kweli kweli yani paka wa mitaani wana uthubutu wa kukuribisha.
Sio tu paka na mbwa mpaka bata maji wakitaka kuvuka barabara polisi usimama kuwalinda, kuhusu wanyama wengine hapa uturuki wanaheshimu mpaka zebra za barabara na mataa.
Mliofika Uturuki mnafahamu ili