barnaba

Barnaba da Modena was a mid-14th-century Italian painter who painted in a style that was still much indebted to the Byzantine model. He is considered the first Lombard painter of note and was active in Lombardy, Piedmont, and Pisa in Tuscany.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  2. Uzalendo wa Kitanzania

    Kwa mujibu wa injili ya Barnaba mbwa ni bora zaidi ya mwanaume asiyetahiriwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu bali ni kwa mujibu wa kitabu cha injili ya Barnaba inayoeleza kuwa mnyama mbwa yu bora zaidi ya Mwanaume asiyetahiriwa! Nimekuwekea nukuu yote hapo chini: Miserable condition of the uncircumcised in that a dog is better than they "The disciples...
  3. B

    Msanii Barnaba atanisamehe katika hili

    Habari zenu.Kwanza nianze kwa kusema kuwa simchukii msanii wa Bongo Fleva "Barnaba Boy". Nitakachokiandika hapa kinatokana na hisia zangu binafsi. Ni hivi mimi Kwa uwezo wangu mdogo kuhusu mziki wa hapa nchini huwa namuona msanii Barnaba kama msanii mwenye juhudi zaidi lakini ana uwezo wa...
  4. ndege JOHN

    Izzo Be ft Barnaba na Shaa: Love Me

    Here they talk let ’em talk girl Now what they talk Here they talk let ’em talk girl Now what they talk Here they talk let ’em talk girl Now what they talk Here they talk let ’em talk girl Ah haa Kama kijana nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza Na mwisho wa siku akili yangu kwake kabisa...
  5. K

    Barnaba azua gumzo adai alishika Bilioni 2 kwa mara moja

    Katika kurahani na burudani redioni nikiwa nimetune Mawingu Fm Barnaba Classic akiwa anatambulisha Album yake mpya. Albam aliyowashirikisha wasanii wenzake akiwemo Alikiba na Diamond. Adam Mchomvu akamuuliza amewahi kushika Kiasi gani cha pesa kwa mara moja Barbaba Classic akadai Tz Shillings...
  6. sinza pazuri

    Tanzania hajawahi kutokea vocalist kama Barnaba Classic

    Barnaba Classic aka Mopao ama kwa hakika ndio the best vocalist of all time. Hii nchi haijawai kupata fundi wa kucheza na sauti kama Barnaba. Anajua kufungua koo. Kwenye melodies ni noma na nusu. Pia akiimba unaipata ile fleva. Album mpya aloachia leo imejaa ufundi mtu hauwezi kuruka wimbo...
  7. Frumence M Kyauke

    Barnaba Classic azungumzia kuhusu mwonekano wake wa kike

    Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike. Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea sana suala hilo kwa kuwa haliwahusu watu pia kazi yake ya sanaa inaingiliana na mambo ya fashion...
  8. MabatiBeiNafuu

    Fashion Kali ya Msanii Barnaba

    Hii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania. Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
  9. Libya

    Alikiba ft Barnaba - Cheketua video Out

    Mamamamaa! Nyie! Nyimbo Nzuri Sana ipo huko YouTube ya Barnaba Keep watching good music
  10. goodlif1600

    Alikiba ni msanii mwenye taste unique

    Tangu nimeanza kufuatilia mziki huu wa Kitanzania, Bongo fleva nimesikiliza nyimbo za wanamuziki wengi. Lakini huyu mwanamuziki Ana taste flani ukiwa unamsikiliza iko unique Sana. He knows how to sing, kiukweli tukiachana na drama au siasa kwenye mziki it's not a shame to say hata ambao...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kumbe Barnaba alimtema Shilole baada ya kumtwisha zigo la kumlelea watoto wake!

    Baada ya siku nyingi kupita tangu Shilole na Barnaba watemane, imebainika kuwepo kwa siri kubwa zilisababisha wawili hao watemane. Chanzo cha karibu na Barnaba kimedai kuwa sababu zilizosababisha wawili hao kutemana ni pale shilole alipodanganya umri wake...
Back
Top Bottom