Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,997
- 9,591
Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako.
Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya kutaka na yeye kufunguka ila mwisho wa siku ndio yeye anayenizunguka nilipo mpeleka kuniwekea vizingiti.
Mambo mengine tuangalie watu walivyo sio tu kwenye biashara na mengine tu ambayo unaweza kujikuta tatizo kwako.