Huyu Dr sulle na wengine muwe mnawatafakari wanacho kiongea kama na wenyewe sijui kama wanaelewa wanayo sema

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,814
9,185
Sipendi sana kuingia kwenye hizi online Tv sababu nyingi zina watangazaji njaa na taaluma zao.
Tuje kwenye mada Dr sulle huyu anaojiwa na kudai Quruan ndio imeleta kila kitu ambayo sehemu kubwa agano la kale limetoka kwenye quruan,Hapo hapo nikakata kuangalia.
sijiu kama anafahamu dini ambazo ndio zilizoanza za kale kama Ubudha, Uzoroastro, au Uyahudi, kabla ya ueneaji wa Ukristo na Uislamu.

Na ufahamu wake ajui kama uislamu ni wajuzi juzi hata kiumli,mfano mzuri yani utambulisho wa kristo ni yesu je yesu alitangulia mbele nyuma alikuwa mtume.

Bora ni wape link mjionee mashudu

View: https://www.youtube.com/watch?v=UvAFZGo7atY
 
Palikuwa na ubwabwa wakati anahojiwa?

Ni Daktari wa nini kwanza huyo?
ni daktari wa dini, siku hizi watu wanajipa udaktari wa kipuuzi hata bila mtu kusoma na akafanye thesis na analysis atoe jaridida la utafiti wake. Huyu jamaa ni mlevi fulani wa dini, muongomuongo na mjanjajanja ili apate mkate wa kuendesha maisha yake toka kwa nyumbu wasiolewa mambo ya dini
 
Kuna msemo unasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Mimi huwa namchukulia kama waongeaji wa hovyo,akiwa na point hujui asipokua nayo vile vile hujui
 
  • Thanks
Reactions: K11
Tumsamehe huenda ana kazi nyingine kubwa na nyeti nyuma ya pazia ila kajifunika kwa abrakadabra za dini
 
Sulle yupo sahihi,Uislam ni wajuzi juzi huo ni mtazamo wako binafsi sio uhalisi.
kwa hiyo uislamu ulikujaje wakati mtume kaja juzi .kama sio wa juzi mbona una mkubari mtume na sio manabii wengine wa nyuma ambao wangetumia uislamu kuonekana wazamani
 
According to black Arabs from Namtumbo huyo jamaa ni bonge la msomi wa dini na ndie tegemezi wao kwenye kuchambua mashudu ya dini ya Mnyazimngu Allah,
Muslims wengi ni vilaza wa historia ya Mwanadamu,Mazingira, jiografia na Theology kiujumla yaani hata Mungu wao hawamwelewi maana hafanani na chochote yupo complicated kishenzi!

Mjeni na povu la buku jero sasa ukweli ukiuma chomoa!
 
Back
Top Bottom