Search results

  1. Akilihuru

    Mjue Laila Ali (The Iron Lady) malkia wa ngumi ulimwenguni

    Naomba nitoe salam kwa member wenzangu wa JF. Kwa mara nyingine, leo nawaletea historia ya mwanamasumbwi bora wa kike wa muda wote, na wa uzito wote (The GOAT) Laila Ali au unaweza kumwita 'She bee stingin' ni mtoto wa King wa mchezo huo duniani Muhammad Ali 'The Greatest'. Laila Ali alizaliwa...
  2. Akilihuru

    Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

    Vipi wakuu. Ki ukweli inashangaza sana raisi wa nchi ambayo ina jeshi, polisi na serikali, lakini anakosa kupata habari za kiintelejensia kuhusu kile kinachoweza kumtokea mbeleni endapo atataka kutumia mamlaka yake kama raisi kupambana na mtu au nchi inayomshinda kila kitu. Najua fika kuwa...
  3. Akilihuru

    Tuliowahi kusumbuliwa na wazazi wetu kwa sababu ya michepuko yetu tujuane hapa kupitia visa vyetu

    Inakuaje waheshimiwa? Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu. Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇 Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
  4. Akilihuru

    Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
  5. Akilihuru

    Ndoto ya Marekani kuivamia Urusi sasa yatimia

    Vipi wakuu, Wakati vita hii ya Rusia na Ukraine inaanza... 1. Kuna watu walihisi kwamba vita hii ni ya Ukraine na Rusia peke yake, na kwamba kwa vile Ukraine ni kanchi kaunyonge basi Rusia anakwenda kumtandika M-ukraine kwa muda mfupi na kuichukua nchi yote ili iwe Jamhuri ya Rusia hapo...
  6. Akilihuru

    Nimeamua nihame Mji baada ya mke wa mtu kuniletea Msala

    Ni hivi, week iliyopita nilikwenda Tabata kumtembelea brother wangu anaeishi huko na familia yake. Tukiwa pale Tabata tumeketi mbele ya kibaraza kidogo kilichopo mbele ya nyumba ya brother wangu, ghafla nikaona jamaa mmoja na mwanamke ambae namfahamu ni mke wa mtu wanashuka haraka haraka na...
  7. Akilihuru

    List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
  8. Akilihuru

    Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

    Msaani maarufu wa Marekani na producer wa label ya Bad Boy record, anaejulikana kwa jina maarufu la P diddy, sasa tumbo joto baada ya mama yake na Christopher Wallace almaarufu Notorious B.I.G kumuhusisha msaani huyo na kifo cha mwanae kilichotokea mwaka 1997 huko Los Angeles, CA. Inasemekana...
  9. Akilihuru

    Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

    Kwema wakuu, Wengi tulijua tu kwamba jeshi la Kenya halitaweza hata kurusha jiwe kwa kundi hilo la waasi wa M23, kutokana na jeshi hilo kuliogopa vibaya kundi hilo. Sasa hali inazidi kuwa mbaya na kundi hilo linazidi kuteka maeneo mbele ya macho ya jeshi la Kenya huku Wakenya wakiangalia tu...
  10. Akilihuru

    Ni nani aliyewahi kuuelewa mziki wa Michael Jackson?

    Za jioni ndugu zangu, kwema? Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani. Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa...
  11. Akilihuru

    Malawi: Akamatwa akichomoa mipira ya drip za wagonjwa ili wafe auze masanduku

    Za mchana wakuu, Hii imetokea huko nchini Malawi, jamaa mmoja muuza masanduku anaeishi karibu na hospital fulan ya umma aliingia katika hospital hiyo kinyemela na kuanza kuchomoa mipira ya drip walizowekewa wagonjwa wa kipindupindu ili wafe na yeye apate nafasi ya kuuza masanduku yake...
  12. Akilihuru

    Je, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na Samia au Majaliwa?

    Ishu vipi wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, narudia tena kuuliza. Je, serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na kuendeshwa na Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa? Nauliza hivi kwa sababu kuna madudu mengi yanayofanywa na viongozi wa serikali ambao wengine ni wateule...
  13. Akilihuru

    Msaada wa tiba ya ugonjwa huu

    Mambo vipi wakuu, jamani kuna ndugu yetu amekuja kututembelea, sasa tukiwa tumekaa tunapiga stori ghafla damu ikaanza kumtoka puani. Tulipomuuliza akasema kwamba hii sio mara ya kwanza kumtokea, ilishamtokea sana huko kijijini ila marehem babu alikuwa akimpa dawa ya kuzui kutoka pale zinapoanza...
  14. Akilihuru

    M23 yatuma salam za uimara wake kwa vikosi vya KDF na FDNB vilivyopelekwa Congo kuthubutu kuwapokonya silaha

    Za asubuhi wakubwa, weekend inaendeleaje? Leo nawaletea muendelezo wa kile kinachojiri huko Congo katika oparation ya jeshi la kanda yetu hii ya EAC. Oparation hii mahsusi imebuniwa kwa lengo la kuwapokonya silaha waasi wote waliopo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ila walengwa haswa wa...
  15. Akilihuru

    BATTLE: Sinza kwa wajanja & Kinondoni kwa watukutu

    Kwema ndugu, natumai kila mtu ni mzima wa afya. Sinza na Kinondoni ni kata mbili tofauti zilizopo katika mkoa wetu mzuri wa Dar es salaam. SINZA ambayo inatambulika kuwa kwa wajanja, ipo katika wilaya ya Ubungo na ni miongoni mwa maeneo yenye starehe nyingi na kubwa hapa Dar es salaam. Sinza...
  16. Akilihuru

    Ni kwanini Mkoa wa Pwani unaongoza kwa kutoa viongozi wa kitaifa?

    Kwema ndugu zangu. I hope kila mtu ni mzima. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mkoa wa Pwani pamoja na kwamba wenyeji wa mkoa huo wengi hawana elimu ya kutosha, lakini ndio unaoongoza kwa kutupa watanzania viongozi wakuu wa kitaifa haswa kwa upande wa ukuu wa nchi. Toka Tanzania...
  17. Akilihuru

    Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

    Ishu vipi wakuu, Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani wilaya 1) Kinondoni 2) Ilala 3) Ubungo 4) Temeke 5) Kigamboni Swali lililopo ni watu kutaka kujua...
  18. Akilihuru

    Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

    Wakuu inakuaje? sasa twende kazi. Siku mbili tatu hizi kumekuwa na hali ya sintofahamu kati ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na ile ya Rwanda, kila mmoja akimtupia lawama mwenzake na kutishia kuvunjilia mbali uhusiano wao wa kidiplomasia nk. Kwa upande wa Congo ndio wanaonekana...
  19. Akilihuru

    Pitia hapa kama unahitaji movie yoyote ya Kizungu, Kihindi na Kichina

    Kwema wakuu, Hii thread ni special kwa wale wana JF wenzangu wanaopenda movie mbali mbali za kizungu, kihindi na kichina. Lakini kwa bahati mbaya wamesahau majina ya movie husika, pamoja na wale waliocheza movie hizo. Kwa leo naomba nianze na movie hizi kadhaa za kizungu, kihindi na kichina...
  20. Akilihuru

    Je, kuna kuna mchekeshaji ambaye aliwahi kuchekesha na kukonga nyoyo za watu redioni kama Mzee Jangala?

    Kwema wakuu, mishe zinaendeleaje, Wakuu kwa wale wakongwe wa miaka ya 80s, bila shaka mtakuwa mnafahamu mchekeshaji huyu ambae alijizolea umaarufu mkubwa kutokana na fani yake ya uchekeshaji yani comedian. Mzee Jangala alikuwa na timu yake ambayo ilisheheni watu waliokuwa wamebobea katika...
Back
Top Bottom