Nimeamua nihame Mji baada ya mke wa mtu kuniletea Msala

Akilihuru

JF-Expert Member
May 20, 2022
1,444
2,833
Ni hivi, week iliyopita nilikwenda Tabata kumtembelea brother wangu anaeishi huko na familia yake.

Tukiwa pale Tabata tumeketi mbele ya kibaraza kidogo kilichopo mbele ya nyumba ya brother wangu, ghafla nikaona jamaa mmoja na mwanamke ambae namfahamu ni mke wa mtu wanashuka haraka haraka na kuingia katika gesti fulani iliyopo upande wa pili wa barabara anayoishi huyo brother wangu.

Kwanza nikahisi kama vile nimemfananisha, lakini cha kushangaza hata nguo alizovaa huyo mwanamke nilikuwa nazifahamu maana ni mtu tuliepanga nae katika nyumba moja, so namfahamu vizuri tu.

Basi kwa vile yule mwanamke sio wangu na mumewe sina mazoea nae, ikanibidi mimi ile ishu niipotezee tu kama vile sijaona kitu.

Tumekaa pale muda mrefu tukipiga story mbali mbali za kifamilia na kimaisha, hadi mida ya jioni ikabidi mimi niage kwamba nataka kurudi nyumbani.

Sasa wakati nikijiandaa kunyanyuka niingie ndani kuvaa viatu ili nianze safari, wale watu wawili yani yule mke wa mtu na mjinga wake wakatoka tena nje ambapo kulikuwa na gari imefika kuwasubiria.

Sasa wakati wanaingia ndani ya gari huku kila mmoja akiangalia huku na huko kama kuna mtu anaewafahamu anawaona, ndio ghafla yule mwanamke akakutanisha macho na mimi. Na mimi nikamkazia macho kiume kuonesha kuwa nimeona kila kilichokuwa kinaendelea kati yake na yule mjinga wake.

Demu alivyoona kuna mtu anaemfahamu amemuona face to face basi fasta akainamisha kichwa chini, akakaa ndani gari upande mmoja na yule bwege upande mwingine ikawashwa gari wakatokomea.

Basi bwana na mimi nikanyanyuka nikaingia ndani, nikavaa viatu vyangu mdogo mdogo hadi mtaani.

Kufika mtaani nikamkuta yule mwanamke kaishafika, kaishaoga na kubadilisha nguo kama sio yeye vile. Anyway mimi sikumfatilia nikaingia chumbani kwangu nikawasha TV nikawa nacheki cheki news mbali mbali.

Baadae nikasema nitoke kidogo niende kwa shemeji yenu, au wifi yenu aliekuwa kaniandikia meseji kwamba anaomba niende kwao mara moja kuna mambo anataka aniambie.

Basi wakati natoka ile nafunga mlango nikaona anakuja fasta fasta pale niliposimama mimi na kunipa kikaratasi, huku akinisisitizia nikicheki afu akanionesha sign ya mtu kutaka apigiwe simu. Sasa muda huo mimi sikuelewa kile kikaratasi ni cha nini na hiyo simu aliyoonesha nimpigie ningempigiaje wakati sina namba zake.

Anyway nikatoka zangu huku nimekishika kile kikaratasi, kufika nje nikakiangalia, nikakuta namba ya simu na ujumbe kidogo unaosema "Tafadhali kaka naomba unipigie au uniandikie kwa whatspp ili nipate namba zako, kuna mambo fulani nataka tuongee. Baada ya kukisoma nikakiweka mfukoni na kuelekea kule nilipokuwa nakwenda. Nikafika nikaongea na shemeji yenu na kurudi nyumban kupumzika.

Baada nikaiweka ile namba kwa simu yangu na kujaribu kumuandikia kwa kumsalimia "hello sis" hapo hapo hakuchelewa nikaona kaingia akaanza kuandika kwamba amefedheheka sana kukutana na mimi kule, kwamba ni kitu ambacho hakukitarajia, so ameomba nisimfikishie taarifa hizo mumewe wala mtu mungine yeyote, maana jamaa akipata taarifa anaweza kumuua.

Nikamwambia "usijali my sister mimi sina mambo hayo ya kiswahili, yani uwe na amani kabisa ndani ya roho yako".

Pamoja na kumuonesha kuwa siwezi kumfikishia mumewe habari zake, lakini ni bado kama vile alikuwa haamini ninachomwambia. Akaanza kusema kwamba mumewe hamridhishi kama wanavyoridhishwa wanawake wengine ndio maana akaona bora ajaribu upande mwingine, huenda atapata wa kumkata kiu chake, sasa ndo akawa amempata yule bwege niliekutana nae. Akaeleza mengi hadi nikamwambia basi anipe muda nipumzike maana nimechoka sana na asubuhi nahitajika kuingia kazini. Tukaagana, basi mimi nikaendelea na mambo yangu.

Ikapita siku tatu tukisalimiana tu basi kupitia whatspp afu kila mtu kuendelea na ishu zake. Pamoja na kwamba mwanamke mwenyewe anaonekana bado mbichi na uzuri yupo nao, lakini mimi sikutaka kujishughulisha nae kabisa kwa sababu ni mke wa mtu, japo kuna wapangaji wengine walikuwa wakimmezea mezea mate kwa kumtupia ndoano ya vimaneno vya kuchomekea chomekea, ila kwangu ilikuwa ni tofauti kabisa, hata na yeye alilishangaa hilo.

Siku moja mida ya saa moja usiku nikiwa nimetoka zangu kazini nimetulia ndani huku umeme ukiwa umekatika giza totolo, ghafla nikasikia mlango unagongwa taratibu nikajua labda ni dogo fulani wa jirani ambae sometimes huwa namtuma tuma dukani afu nampa vijichenji vinavyobaki. Basi ile kufungua tu yule demu huyo mpaka ndani.

Kumbe alitumia lile giza kama njia ya kuingia kwangu bila kuonekana maana nilikuwa naishi chumba cha uwani afu kwenye kona ya mwisho kabisa. Sasa nikamuuliza unakuja kufanya nini? Akaanza kuniambia kwamba ameona kama nafsi inamsuta kumpa kichochoro chake mtu wa mbali na wakati mimi wa karibu nipo. Nikamwambia hilo mimi halinihusu maana kama kichochoro ni cha kwako na mwenye haki nacho ni mume wako sio mimi.

Demu hakunielewa kabisa akawa anasema bora tufanye haraka haraka kabla umeme haujarudi na watu hawajasikia. Akaniambia na mumewe huwa anarudi saa tano au sita usiku amelewa, kwahiyo tukishafanya ataoga vizuri na kutulia mpaka mumewe ataporudi na kamwe hatojua chochote.

Nikamkatalia nikamwambia siwezi kupita katika kichochoro cha mke wa mtu na wakati mimi ninae ambae yupo kwa ajili yangu tu. Demu akaona kama vile namchelewesha, akaanza kusaula, lahaula...

Ki ukweli hakuna mwanaume ambae angeweza kujikaza katika hali ile. Yani shepu yake hata Beyonce au J. Lopez enzi za ujana wao hawafikii utamu alionao demu yule. Baada ya kuona vile na mimi nikashawishika na kusaula. Aisee ile kushusha tu nguo ya ndani binti akaanza kusisimka kwa kuona kitu ambacho yeye anadai hakuwahi kukutana nacho katika maisha yake. Yani alihisi kama vile kakutana na joka ndan ya suruali yangu. Ila kwa vile alikuwa na kiu ikabidi akubali tucheza kuvunja yai na shababi mimi.

Nikavaa ndom ambayo hata kuingia huwa ni shida, na kuanza kumshughulikia kama alivyotaka. Yani kazi ilikuwepo maana mwanzo mwisho sikuzidisha usawa wa kichwa, alikuwa anabana miguu na kulalamika balaa, sema ndo hivyo mtoto akililia wembe.....

Yani nilikuwa namchezeshea kichwa tu ili nisije kumharibu kizazi. Dakika mbili tatu tu akalowa chapa chapa, yani ashashusha mzigo wakati mimi nilikuwa bado hata wazo la safari halijaanza.

Kutokana na kilio alichokuwa anakitoa huku akiwa amenipa kazi ya kumziba mdomo, nikaamua nimuache tu aende zake maana alikuwa hoi bint taaban, na ukizingatia ni mke wa mtu so siwezi kujisusia.

Mimi ndio nilianza kutoka nikachungulia huko na huku, nikaona watu wote wapo ndani kutokana na giza, nikamwambia atoke akimbilie ndani kwake.

Sasa mziki ukaanza wakati mumewe alipofika na yeye akataka game. Mke hakumbania akampa, jamaa ile kuingia akajikuta kapitiliza moja kwa moja bila break yoyote (sijui alikuwa na kibamia)
Akaona hii sio kawaida, akamuuliza mkewe leo imekuaje mtu mzima nipitilize tu bila kukwama kokote kama kawaida? Mkewe akamwambia labda ulienda kwa mwingine ukala mambo, sasa unarudi kwangu unaona ni bwawa tu.

Jamaa akwambia pumbavu unanijibu hivyo mimi. Ugomvi ukaanza usiku kucha watu hatukulala kutokana na kipigo alichotembeza jamaa mle ndani. Kila alipompiga alitaka kujua ni nani alieongeza njia yake namna ile hadi yeye akakosa break.

Sasa asubuhi ilipofika nikaenda kazini, baadae nikamuandikia yule demu kujua kinachoendelea, akabambia jamaa ameshalifikisha suala kwa wazazi wa pande zote mbili, kwahiyo jumapili kutakuwa na mkutano kati yao na wazazi wao.

Sasa wazee pamoja na kwamba huyu demu kaahidi kutokunitaja, lakini nahisi kama vile anaweza akabanwa hadi akanitaja na ikawa msala kweli kweli maana jamaa anaonekana anaweza kuuwa mtu kwa ajili ya mkewe.

Nilichofanya niliomba ruhusa kazini ya week moja, ili nisikilizie hiyo ishu nikiwa mbali mkoani. Pale ninapoishi wale ninaopigaga nao story nimewambia kwamba nimesafiri mara moja kikazi ila baada ya week nitarudi.

Nimeamini kama kweli mke wa mtu ni sumu, yani nimejikuta naanza kujiweka mbali kabla mambo yenyewe hayajajulikana.

Sasa kichwa tu kimeleta patashika je ingekuwa yote hali ingekuaje. Sisi tunaofuga mijoka ndani ya suruali zetu sometimes tunakumbanaga na matatizo ambayo wenzetu wenye vibamia hawakutani nayo.

Si unaona kuna bwege alikuwa anasugua kila siku lakin mumewe hakushtuka, ila mimi kuchungulia siku moja tu imekuwa msala.

Hebu nishauri, ingekuwa wewe ungefanyaje?
 
Sasa kichwa tu kimeleta patashika je ingekuwa yote hali ingekuaje. Sisi tunaofuga mijoka ndani ya suruali zetu sometimes tunakumbanaga na matatizo ambayo wenzetu wenye vibamia hawakutani nayo.
Tukiachana na tangazo la Mleta uzi.

Wanaume,

Narudia tena leo, Kamwe usishawishike kutembea na Mke wa Mtu. hata awe amekushawishi namna gani.

Utakuja kutobolewa spika, kuuliwa, kuwekwa kilema cha Maisha, kurogwa na mengine mengi.

Be a Man, unastahili kilicho bora. Acha tamaa za Kijinga.
 
ani binti akaanza kusisimka kwa kuona kitu ambacho yeye anadai hakuwahi kukutana nacho katika maisha yake. Yani alihisi kama vile kakutana na joka ndan ya suruali yangu. Ila kwa vile alikuwa na kiu ikabidi akubali tucheza kuvunja yai na shababi mimi.
Nikavaa ndom ambayo hata kuingia huwa ni shida, na kuanza kumshughulikia kama alivyotaka. Yani kazi ilikuwepo maana mwanzo mwisho sikuzidisha usawa wa kichwa, alikuwa anabana miguu na kulalamika balaa, sema ndo hivyo mtoto akililia wembe.....

Yani nilikuwa namchezeshea kichwa tu ili nisije kumharibu kizazi.
Dakika mbili tatu tu akalowa chapa chapa, yani ashashusha mzigo wakati mimi nilikuwa bado hata wazo la safari halijaanza.
Unaonaje ukilipia Tangazo... japo kiduchu tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom